Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimejiwa na wasi wasi sana yawezekana polisi wetu wanalindwa na Magwanda wanayovaa lakini hawana mafunzo ya kutosheleza ya kujikinga na adui Haiwezekani kajitu kamoja kabisa kampige ngumu Moja...
3 Reactions
9 Replies
547 Views
Utetezi wa tano wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 15, 2025. Hii ni baada ya kutupiliwa mbali kwa pingamizi lake la awali, hukumu ipo hapa: GE2025 -...
19 Reactions
43 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ukiachana na uchapakazi , uzalendo na kubadilika kulingana na Mazingira kwa Mheshimiwa Jenista Mhagama. Lakini ukweli unabakia kuwa heshima na unyenyekevu wake ni...
5 Reactions
53 Replies
2K Views
Timu ya watu Kwenda kumshawishi Lissu kwamba Aachiwe huru ila aondoke nchini imegonga mwamba baada ya Lissu kugoma sharti hilo, Wakamshauri Rais kuwa Kama kagoma basi afungwe kifungo cha muda...
64 Reactions
136 Replies
6K Views
WATU WENGI HUFIKIRI UKATILI NDIO UJASIRI. HUWEZI UKAWA KATILI NA HAPOHAPO UKAWA JASIRI. HAIPO HIVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kuna kufundishwa kuwa jasiri na kuna kufundishwa katili...
4 Reactions
14 Replies
337 Views
Haya Samia kasema walioandamana siku ya uchaguzi walitoka nje ya nchi, tunajifanta kukubaliana naye. Je, JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wenye jukumu la kulinda mipaka yetu walikuwa...
4 Reactions
21 Replies
831 Views
Atashinda na kuapishwa na kuunda serikali ila vuguvugu hili litamsumbua sana. Kiasi fulani watu wamesha jua inawezekana hivyo kuliamsha tena itakuwa mara kwa mara. Atakuwa mara nyingi kwenye...
10 Reactions
17 Replies
664 Views
Guys, Waziri Mkuu Dkt. Nchemba akizungumza na waandishi wa habari, wakati akitoa tathmini ya uharibifu uliotokea wakati wa Maandamano Desemba 29 na siku zilizofuata alisema kuwa vituo vya mafuta...
10 Reactions
30 Replies
1K Views
Katika ulimwengu huu kosa vyote ila kamwe usikose akili. Katika ulimwengu huu kubali kukosa vyote ila sio kukosa utashi wa kukataa udhalimu na kusimamia kutetea haki na ukweli. Wakati Wananchi...
24 Reactions
55 Replies
1K Views
GTs, 1️⃣ Baada ya matukio ya mauaji ya vijana waliokuwa kwenye maandamano kuanzia tarehe 29 Oktoba, Rais Samia alihutubia wazee wa Dar es Salaam. Badala ya faraja na uwajibikaji, hotuba ilibeba...
6 Reactions
17 Replies
517 Views
Siku 9 kwenda D9 Vitu vya muhim sana vimeanza kupanda bei Sokoni hakushikiki, nimepita buchani, nyama imefika 15k. Wenyewe wanasema kuanzia tarehe 7 hawafungia mabucha yao Baadhi ya kampuni za...
2 Reactions
11 Replies
359 Views
Watu wameingia kwenye taharuki kufuatia kinachoitwa D9 ambacho ni maandamano yaliyopangwa kufanyika usafiri wa umma, vituo vya mafuta, upatikanaji wa Kondomu na vyakula vikavu. CHADEMA ndio...
4 Reactions
39 Replies
1K Views
Kutoka kwa Tundu LISSU... Akiwa anandika kutoka Gereza la Ukonga Central baada ya takribani siku 240 za mahabusu, anaeleza kuhusu mtikisiko wa kisiasa nchini Tanzania na kiwango kikubwa cha...
7 Reactions
7 Replies
767 Views
CHADEMA wajanja sana wameshirikiana na jua pamoja wanaharakati kutoka nje kukukasha vyanzo vya maji ili ionekane mama hapendwi ila UVCCM😂 Haiwezezekani wazungu watuonee wivu Kwa rasilimali zetu...
8 Reactions
22 Replies
544 Views
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 14, 2025 amehoji mikakati na mbinu za wanaharakati za...
0 Reactions
2 Replies
156 Views
Nimeshangaa eti Samia naye anaonesha kuumia na kusikitisha kuona Jenista Mhagama kafa. Hivi analia kweli au anajifanyisha? Hahahaaa... 🤣🤣 Dunia🌎 simama nishuke. Msanii wa Royal tour analeta...
5 Reactions
17 Replies
556 Views
" ukifuatilia sana hili sakata la wasanii na wananchi kwanza huwezi kugombana na mwenye nyumba, wewe msanii ni mpangaji na mwananchi ni mwenye nyumba. Alafu hata sisi watu wazima tunakuambia...
0 Reactions
3 Replies
270 Views
Mnamo dec.9 wanasiasa na wanaharakati wasiojulikana na wanaojulikana lakini wakiwa mafichoni kusikojulikana, walituma mitandao ya kijamii kuhamasisha vijana kufanya maandamo haramu yasioyo na...
5 Reactions
44 Replies
938 Views
Huku kwenye serikali za mitaa tunakoishi watu wanawaona wafuasi wa chadema kama ni rejected society, kama ni watu wenye laana, kama ni watu wasio na akili timamu, kama ni kikundi cha matusi, kama...
2 Reactions
20 Replies
413 Views
Huu ni msimu wa kilimo kwenye maeneo mengi ya mikoa ya Tanzania, hebu ndugu zangu watanzania tutafute maeneo tulime, Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassani anagawa mbolea za ruzuku za kutosha huku...
5 Reactions
10 Replies
312 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…