ICC iharakishe hiyo kesi ili hawa wapumbavu tuwatimue

ICC iharakishe hiyo kesi ili hawa wapumbavu tuwatimue

ICC iharakishe hiyo kesi ili hawa wapumbavu tuwatimue
Hakika !!Kimbilio lilo baki ni hilo majeshi yetu hayana uzalendo yana njaa .Ingawa ICC huwa inajivuta sana lakini naamini ataitwa tu
 
Wanaweza kuioa hiyo hati mwishoni mwishoni mwa utawala wale ili iWe rahisi kumnyaka Kama walivyomfanyia Durtete.
Au labda ajiongezee muda abaki madarakani Kwa awamu Nyingine maana Bunge lote ni la Chama chake …
 
Ni ngumu kumshughulikia rais akiwa madarakani na yeye Hilo analijua ndiyo maana anatamba
 
Abdul amekupa kiasi gani, nyie ndio mliuza ndugu zenu utumwani kwenye masoko ya utumwa Zanzibar.
 
Huwa hawarakishi; ili waweze kupata hatia ni lazima kila kitu kifanywe kwa utaratibu ili kisifungue mwanya wa kukata rufaa au watu kutokutwa na hatia.
Mbona Kwa Netanyau walienda Chap Sana.

By the way arrest warrant utoka baada ya uchunguzi, au prosecutor akiamua kufungua kesi basi arrest warrant inatoka
 
Mbona Kwa Netanyau walienda Chap Sana.

By the way arrest warrant utoka baada ya uchunguzi, au prosecutor akiamua kufungua kesi basi arrest warrant inatoka
hapana hawakwenda haraka; kuna condition moja muhimu sana na binafsi naona Tanzania inayo. Vyombo vya ndani kushindwa au kutotaka kuchunguza uhalifu unaodaiwa.
 
ICC iharakishe hiyo kesi ili hawa wapumbavu tuwatimue
Itakuwa ni matumaini ya hovyo kabisa kuitegemea ICC ilete mageuzi hapa.

Hii ni kazi ya waTanzania wenyewe, na ni lazima waifanye wenyewe.
 
Back
Top Bottom