Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kila ukiwaangalia hawa watu unajiuliza sifa zao za kipekee zilizowafanya wapenye kwenye idara zote nyeti za serikali hadi kufikia hapo walipo Kuwa kiongozi unapaswa kuwa na sifa za ziada lakini...
18 Reactions
30 Replies
904 Views
Tangu siku ile sijawahi tena kuwaamini Wanasiasa Fikiria Viwanja vya Jangwani Vimejaa kona zote halafu mgeni rasmi anasema amesahau lile jambo alilowaitia ๐Ÿ˜„ Kisha akasema โ€˜hata ningelikumbuka...
32 Reactions
82 Replies
4K Views
๐—ก๐—ฎ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—ช๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐— ๐—ฎ๐—ด๐—ต๐—ฒ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ถ ๐— ๐—ฎ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ถ๐—บ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฒ๐Ÿญ ๐˜†๐—ฎ ๐—จ๐—ต๐˜‚๐—ฟ๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ ๐—ญ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—ฎ Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe ameshiriki sherehe ya...
0 Reactions
1 Replies
162 Views
Tangu yatokee maandamano yaliyosababisha mauaji ambayo Bongo hatujawahi shuhudia, kumekuwako na minong'ono juu ya ni nani anatawala Bongo yetu na bongo zetu. Kila usomapo, usikia majina matatau...
2 Reactions
6 Replies
297 Views
Mdau anasema yeye ni daktari aliekuwa likizo kabla ya uchaguzi. Alipokea SMS akielekezwa kurejea kazini kabla ya siku ya uchaguzi kwa ajili ya kujiandaa na wimbi kubwa la majeruhi litakalokuwepo...
22 Reactions
62 Replies
2K Views
Dorkasi ameeleza kuwa utawazuiaje watoto ambao ni watu wazima tayari wenye miji yao kuwa wasiandamane wakati wao ndiyo watawala wa kesho, ameeleza hii kufuatia hoja iliyotolewa mbele ya wazee wa...
5 Reactions
5 Replies
292 Views
Kwa raisi atakaefuata, njia pekee ya mafanikio katika maendeleo ni kuwekeza nguvu kubwa katika Elimu, tumejaza watu wengi sana kwa jina la wanaharakati wakiwa na mchango 0 katika taifa, zaidi ni...
2 Reactions
48 Replies
2K Views
Katika pitapita mitandaoni sijafanikiwa kukutana na mahojiano au hata tweet ya Mr Benard Membe l. Akizungumzia chochote juu ya kifo cha Magufuli wala ingizo jipya la raisi Samia Suluhu. Huyu...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Salaam! Nimemsikia kiongozi wa BAWACHA akiunga mkono kauli ya makamo mkt Taifa John Heche kuhusu kutoitambua Serikali na uchaguzi batili uliofanyika. Sasa kosa la kiufundi linakuja pale msemaji...
1 Reactions
2 Replies
198 Views
Juzi tu Baada ya kuapishwa Mh Simbachawene alijitokeza hadharani akiwaelekeza Polisi namna nzuri ya kukamata Watuhumiwa, akapinga ukamataji wa kishamba kwa kutumia mabunduki mengi na magari ya...
10 Reactions
23 Replies
548 Views
Tumepatwa na jua! Msikilize na toa maoni
4 Reactions
35 Replies
686 Views
Mbunge wa Kigoma mjini amewaomba wanachi wa Jimbo lake kutokupika pilau siku ya Mwaka mpya kwani kitapikwa chakula cha kwa pamoja Katika viwanja vya Mwanga Community Center. Aidha Mhe. Baba levo...
2 Reactions
19 Replies
572 Views
Kila kukicha waziri mkuu amekuwa na wimbo mkuu wa " wanataka madini ya nchi yetu". Sasa kama nchi ina URANIUM, Lakini mbona maisha ya watanzania hayaendani na rasilimali zilizopo? Au hizi...
12 Reactions
31 Replies
554 Views
https://tanesw.tra.go.tz/cgme/onln/actn/cgme0504001q?menuId=menu_cgme0833 Mfumo huu unakua na bidhaa nyingi sana unaweza tu bei unaotaka, mfano kuna mpaka scania za mil 0, however ni bidding...
1 Reactions
10 Replies
357 Views
Mange kimambi kakatiwa kibunda chake Cha maana mapema sana baada ya serikali batili ya tanzania kutembeza mkong'oto Kwa manyumbu wasiojielewa kaingiza mitini Instagram Kwa kigezo kwamba kafungiwa...
5 Reactions
50 Replies
1K Views
By Malisa: Kwa dunia Australia inaongoza kwa uranium deposit ya tani 3.6 milion. Kazakhstan inafuata kwa tani 2.9 milion. Kwa Afrika, Namibia inaongoza kwa tani milioni 1. Wote hao Uranium yao...
6 Reactions
18 Replies
454 Views
Askari kutoheshimu sheria za nchi na kufanya uhalifu, mauwaji, utekaji kwa maslahi ya mtu mmoja sio ukomando ni ujinga na uchizi wewe ni mwehu.
3 Reactions
3 Replies
170 Views
Sidhani kama Chadema walikimbia uchaguzi kwa shinikizo la watu wa nje. Hii sio kweli kabisa. Takwa kubwa lilikuwa ni kupata katiba mpya ambayo ingeweza kuleta mazingira ya kutokuwa na udanganyifu...
4 Reactions
3 Replies
144 Views
Hamjambo wote! 1. Leo majira ya jioni nilikuwa natembea kandokando ya morogoro Road kutokea Kimara Korogwe mpaka Ubungo Flyover. 2. Naona kazi inafanyika. Na inaenda vizuri Sana. 3. Ingawaje...
1 Reactions
4 Replies
197 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa sasa Huyu Ndiye Mzalendo nambari Moja Aliyebakia Hapa Barani Afrika. Ndiye Tumaini kuu la watanzania na wa Afrika wote. Ndiyo sauti na nguvu ya watanzania na Afrika...
8 Reactions
78 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ