https://youtu.be/7u6YDxC_wp0?si=rbyQ6-9B0eqvLoXY
Wanatumia kila mbinu kujaribu kumwokoa Samia dhidi ya uhalifu wa kibinadamu (mauaji) waliyofanya 29/10 hadi 3/11/2025....
Hakuna ubishi wowote...
Bado sijaelewa imekuwaje Mtu huyu mwenye Dhambi kuwa msemaji wa kanisa hilo, sijaona mahali popote ambapo Mambosasa aliwahi kutubu unyama wake alioutenda, ikiwemo mauaji ya kijinga ya Akwilina...
Wakuu,
Jawabu la swali kuhusu mwafaka kati ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, limeanza kutafutwa baada...
Hii nchi inazidi kupotea kila kukicha , tunazidi kuingia gizani tusijue tutatokaje.
Wahuni wa CCM, wametudharau sana.
============
KUHUSU KUPELEKWA GEREZANI MWANACHAMA WETU DEOGRATIAS PIUS MUSHI...
Kauli za Jaji warioba hazipaswi kuachwa hewani lazima maswali yafutayo yajibiwe.
1) Toa takwimu waliouawa octoba 29
2) Toa idadi ya watu waliokufa vita vya kagera
3) kwanini hutaki kutoa maoni...
Wanaukumbi.
HIZI SIYO HARAKATI NI AJENDA ZA KUVURUGA NCHI 📌
Hakuna jinsi unaweza elezea watu kuwa ni sahihi kufanya maandamano tena ya kisiasa siku ya sherehe muhimu kama Krismasi...
Leo nimewasikiliza hawa Wamachinga wa Dar na mmoja wao anasema ni bora tupoteze uhai lakini tulitibu taifa. Naona hata hawa tujumuishwe kwenye kundi la Wasanii, kususia biashara zao, twende...
Sina miaka mingi ya KUZALIWA, ila NIMEYAONA MENGI kidogo
Je wewe msomaji ulisoma Uzi WA tafsiri yangu ya picha ya Samia na warioba, uku warioba akiwa ameweka MIKONO yake kwenye makalio yake...
Pamoja na yaliyotokea Mungu atuepushie. Ingawa hawa walio kwenye orodha waliingia baada ya damu za binadam kumwagikanhuko zamani
Wanasiasa wasitupeleke huku
Miaka nenda miaka rudi CHADEMA imekuwa ikibagazwa kwa kila staili lakini sijawahi kusikia kuwa mtu yeyote akitishiwa kuuawa au kuteswa kwa namna yoyote ile na watu wa CHADEMA.
Lakini ni jambo la...
Maajabu ya Samia hayo!
Kwamba eti alipata kura zaidi ya milioni 31.
Ambazo eti ni 97.6% ya kura zilizopigwa.
Ila cha ajabu, akajiapisha uani na kuwanyima fursa hao wapiga kura wake milioni 31...
Habari wana jamvi, huwa siandiki kuhusu siasa humu JF, Mara nyingi utanikuta MMU tu, anyway that's not a story. Story ni hili la kujifunza baada ya mambo yote yaliotokea tangu October 29 mwaka huu...
Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linavunjwa rasmi leo Juni 27, 2025 na Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye pia anatarajiwa kulitunuku hotuba ya mwisho.
Moja ya mafanikio makubwa ya...
Watanzania wametakiwa kuwakataa wale wote wanaohamasisha au kuunga mkono mikakati inayolenga kuingiza nchi kwenye machafuko, vurugu au migawanyiko ya kisiasa.
Hayo yamebainishwa na kijana...
Wakuu
Wajasiliamali wa kada mbalimbali kutoka wilaya zote tano za Jiji la Dar es Salaam wamezungumza na waandishi wa habari leo, Desemba 24, kuhusu msimamo wao juu ya maandamano nchini...
WATANZANIA EBU TUELEWE KUHUSU HAYA MAKUNDI MATATU -MWANASIASA, MZALENDO NA MWANANCHI WA KAWAIDA.
Tutaanza na kuangalia hizi dhana tatu.
1. Mwanasiasa ni nani ?
2. Mzalendo ni nani ?
3. Na...
Jeshi la polisi mkoani Tabora limewahakikishia wananchi ulinzi na usalama katika sherehe za Krisimasi na Mwakampya..
Akizungumza na Waandishi wa habari leo Disemba 24, 2025 Kamanda wa polisi mkoa...
Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kusini, Belchomas Ponera, ameeleza kusikitishwa kwake na kiwango kikubwa cha makato na tozo mbalimbali zinazokatwa kwa...