Hakika majaji wanaweza kuwa na rasimu ya hukumu vichwani mwao. Hata sisi wafuatiliaji wa mwenendo wa ushahidi mahakamani wa kesi hiyo tuna hukumu zetu (zisizo rasmi) vichwani mwetu. Tunasubiri...
UTANGULIZI:
Habari ndugu MTANGANYIKA, leo ni mambo mengi kweli ya kusema ambayo yanatatiza sana moyo wangu. Nimejaribu kuandika wiki kadhaa lakini naishia kufuta kila nikimaliza kuyaaandika...
Jana usiku, wanajeshi wa UPDF walivuka hadi Tanzania kupitia ziwa Victoria kwa boti kadhaa. Walikuwa chini ya uongozi wa Luteni Kanali Nsaju.
Wapo kusaidia Samia kuanzisha vurugu dhidi ya vijana...
Huyu jamaa yeye utamsikia unapokaribia uchaguzi tu, atapiga porojo zake ili ateuliwe
Ni miongoni mwa mawaziri duni kuliko uduni wenyewe, hana lolote zaidi ya uchawa
Nakulilia Tanganyika
Kila mwenye akili timamu anajua kuwa maswali mengi ya Katuga kwa mashahidi, iwe kwa upande wa mashahidi wa Jamhuri au kwa mashahidi wa mshitakiwa, huwa ya kipuuzi, ya kupoteza muda, yasiyohusiana...
Katika hili tunao wakandarasi, wakandarasi ambao wanafanya kazi ya uondoshaji wa takataka kwenye points mbalimbali. Lakini tunakiri pia kwamba teknolojia pia inayotumika ni teknolojia pia kawaida...
Tarehe 16 Septemba 2026 Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius John Ndejembi alitembelea Ubalozi na Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Dar es Salaam kwa sasa tunahamisha takataka kutoka point A tunapeleka point B. Tunahamisha huku kwa watu tunapeleka Pugu Kinyamwezi. Kwa hiyo kwa lugha nyepesi ni kwamba huku unaweza ukakuta...
The war remains active, with no ceasefire or peace agreement in place. Fighting continues along multiple fronts, while both sides increasingly rely on long-range drones and missile strikes...
Miji yetu ukiangalia kwa sehemu kubwa na hata ujenzi wa barabara uliokuwepo tangu zamani, ulikuwa ni ujenzi wa barabara ambao hauna lami. Leo hii nikiwaambia wanitajie lami vizuri ya majitaka na...
Tukiwa tunapambana na Ripoti ya Jaji Chande. Huenda AFCON 2027 ikapelekwa Bondeni kutokana na na maandalizi duni. Viwanja bado, hoteli duni, barabara hoi.
**Tujiandae kwenda bondeni.
Hutuwezi kuwa taifa lenye nguvu imara na lenye maendeleo makubwa kama tutaondoa ushindani wa ubora .
Tunaweza kuliua taifa taratibu Kwa sababu ya kikundi Cha watu wachache wenye tamaa wadhaifu...
My Take
Kuna nyumbu watabisha na kuanza kutukana Walisema kibaraka anawania tuzo ya Mabeberu 😂😂
Kazi nzuri sana ya kuhuisha sera Bora za biashara na uwekezaji zimefanikisha wawekezaji wa ndani...
Bado naamini chini ya utawala huu wa raia wanasiasa wanaweza kumaliza mambo Yao TU Kwa busara na maridhiano ya kweli.
Simaanishi wako juu ya Sheria ila nimefuatilia mataifa makubwa ya...
TUKUMBUSHANE KIDOGO:
Kwa wasiojua HISTORIA, DGIS, wakati wa Mkapa, Mzee Apson(RIP) alipotaka sheria ibadilishwe ili TISS iwe ni taasisi HURU nje ya SIASA, inayoshughulika na USALAMA wa...
Sahivi zile tender kubwa na nono wanapewa foreign kampani iwe za kichina, na wahindi watanzania ambao kihualisia ni kama wanaishi kama passenger hapa Tanzania
Ni ukweli Makampuni ya wazawa...
Wandugu
Ilikuwa inanipa shida kufahamu taswila ya kesi ya Lissu lakini sasa taswila imeonekana .
Na hii ni baada ya makamanda kuikimbia kesi.
Maswali yalikuwa mengi je kesi ina taswira gani ...
Yaani kwa lugha nyepesi, tunahitaji elimu na taaluma ya mambo ya usafi wa mazingira. Hii maanake ni maanake ni kwamba mzee wetu hapa amezungumzia kuhusiana na kujenga utamaduni endelevu ili kuwena...