Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,373
- 12,017
Mama Hawa hawakurudi ccm kwamba wanaipenda nchi au wanataka siasa safi walikuja kufata vyeo vya udc au UuRC
Mama wakumbuke Hawa watu walizunguka nchi nzima kuisema chadema ilivyo mbaya na Ili Hali haishiriki uchaguzi.
Wenje aliongea mpaka kujikojolea jukwaa
Mzee wasukuma ndani yeye ni ccm kindaki ndanki umpe TU ubalozi akafie mbele huko
Jerry Muro mrudishe TBC 1 akawe ripota wa habari za udaku