Kanisa Katoliki mnakwenda wapi? Mmesahau kipigo cha Padre Kitima

Kanisa Katoliki mnakwenda wapi? Mmesahau kipigo cha Padre Kitima

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,578
Reaction score
103,351
Mnashirikiana nao vipi katika mazishi haya ya Kardinali Pengo?

Sisemi mjenge uadui na serikali, hapana. Ila msiwahusishe, waje kama waombolezaji wengine na wapewe kiti cha mbele , lakini si wabeba msiba.

Msiwasafishe kwa ya 29/10.

Kesho hamtawakemea wakitenda maovu
20260220_192435.jpg
 
View attachment 3546648
Vatican ni nchi na ina ubalozi wake Tanzania.

Huelewi diplomasia siyo kila tukio la kukaza.

Mugabe alipigwa marufuku kunyaga ulaya lakini msiba wa Paoa John Paul II alihudhuria Vatican ambapo ndege lazima ituwe Rome Italy.
 
Kwan wewe ujui jama fr pengo alikua ni nani apa tanzania na gvm kwa ujumla nje na jua kiongoz mkubwa kwenye kanisa ka RC?
 
Vatican ni nchi na ina ubalozi wake Tanzania.

Huelewi diplomasia siyo kila tukio la kukaza.

Mugabe alipigwa marufuku kunyaga ulaya lakini msiba wa Paoa John Paul II alihudhuria Vatican ambapo ndege lazima ituwe Rome Italy.
Perfect, soma unielewe. Nimesema waje kama waombolezaji wengine. Wapewe hata kiti cha mbele kama serikali ( ingawa ni serikali haramu), lakini wasigharamie msiba.
 
Naamini kwenye mahubiri watapigwa vidonge huko huko kama ilivyokuwa kwa Mhagama
Mipasho haisaidii,hilo kanisa linaihitaji zaidi serikali maana bila kuweka mrija hazina halitoboi
 
Back
Top Bottom