Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hawa NCCR-MAGEUZI nimewashangaa.. Wamelaaniwa na wameanza kuchanganyikiwa. Wakati wanaongea na Vyombo vya habari leo, wwamesema kuna Kiongozi wa dini ya Kikristo, na Mwananchi aitwaye Joseph...
7 Reactions
23 Replies
510 Views
Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe. Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
2 Reactions
7 Replies
196 Views
Huyu Dada alisifika sana kuwa mpigania Haki, Uhuru leo hii asikiki tena. Mwenye kufahamu Alipo Huyu Bibie Atujuze. Kuna nyakati wafuasi wa Chama Fulani walimtikuza sana na kumpambania Kuwa...
12 Reactions
35 Replies
507 Views
KUMSOMESHA MTOTO WA KIMASIKINI NI FAIDA KIUCHUMI LAKINI NI HASARA KIBIASHARA-KAFULILA Akizungumza katika chuo cha SUA, David Kafulila alieleza kuwa katika kipindi cha mpito cha maendeleo, ni...
8 Reactions
18 Replies
675 Views
SAMIA NA MAPINDUZI YA BANDARI ZA TANZANIA Kuna uwekezaji ambao unaonekana kwenye majengo, magati, reli na mitambo. Lakini kuna uwekezaji mwingine ambao thamani yake kubwa haionekani mara moja kwa...
1 Reactions
7 Replies
135 Views
Linaweza kuwa swali la kijinga sana lakini lililobeba tafakuri kubwa Ukimya na kutoonekana kwake hadharani kumezua sintofahamu kubwa inayotoa mwanya wa speculations za kila aina Kwamba yuko house...
16 Reactions
67 Replies
2K Views
Tanzania ni moja ya nchi chache sana za ajabu. Nikisema ajabu namaanisha ajabu kweli. KABLA YA KUPIGA KURA Viongozi wetu kabla ya uchaguzi huwa wanatutambua,kutupenda,kutushirikisha na...
0 Reactions
1 Replies
51 Views
Naomba kuuliza hivi hawa wambunge kutoka mikoa ya kanda ya ziwa wapo?? Barabara ni mbovu sijawahi kuona toka mwaka 2021 mpaka sasa hakuna kipindi kina barabara mbovu kama miaka hii mitano...
0 Reactions
14 Replies
150 Views
Duniani kila kumbe kiishicho kitakufa. Kila auawe ima atauawa au atakufa tu. Kila afurahiaye maumivu ya wenzake ataumia Kila asababishaye au kushabikia mateso ya wenzake atateseka Namuonea huruma...
5 Reactions
38 Replies
542 Views
Sikuelewa kwa nini Lissu na Katuga kila mara walikuwa wanakumbushana kuwa mahakama siyo mama yako mpaka siku Heche alipoanza kufanyiwa cross examination. Heche huyu huyu aliyetoa ushahidi...
11 Reactions
134 Replies
2K Views
M-hali gani? Kumekuwa na sintofahamu baada ya mwanadada huyu mlimbewende kutumbuliwa, hebu tujuzane iwe onyo au usikute kongole kwa vijana wengine viongozi. Pia soma Dkt. Evaline Munisi ateuliwa...
4 Reactions
8 Replies
498 Views
Najiuliza tu,siku vyombo vya dola vikisema hatupokei maagizo ya kisiasa ys mtu yoyote,tutafanya kazi kulingana na kanuni na taratibu zilizopo. Najiuliza tu,siku vyombo vya habari vikisema...
1 Reactions
12 Replies
156 Views
Tanzania tuna taasisi ya kiserikali ya RITA ambayo moja ya majukumu yake ni kutambua na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa na vifo. Kwa Tanzania na dunia ya leo, cheti cha kuzaliwa ni muhimu maana...
0 Reactions
6 Replies
183 Views
Wakitoka madarakani watalilia na kutaka HAKI maana wanajua umuhimu wa haki. Hawa wataomba hata Dunia iwasaidie watendewe haki maana haki ni kama OXYGEN. Lakini kwa vile wakitimiza, WAKITENDA...
0 Reactions
1 Replies
22 Views
Ndugu zangu Watanzania, Ni Swali ambalo wengi wamekuwa wanajiuliza Sana na kukosa Majibu. Hivi ni Kwanini Asilimia Kubwa ya wanachama wa CHADEMA Wanatukana sana Matusi Utafikiri Vichaa au...
3 Reactions
14 Replies
146 Views
Mhe. Lissu: Nimekutana na Kamishna wa Polisi Ramadhani Kingai ambaye nilikuwa nimependekeza awe shahidi wangu wa leo, nimekutana nae Mahakamani kwenye chumba hiki hiki waheshimiwa majaji, naweza...
15 Reactions
82 Replies
1K Views
My Take Chadomo muwe mnadanganya wajinga mnaowaokota huko mtaani na wasiojitambua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
3 Reactions
13 Replies
108 Views
Najua wengi watashangaa hata kuhoji. Kwa vile Yesu anaishi mbinguni na duniani, si vigumu kumuona kama ambavyo nimemuona. Niaminini wanangu. Nilikutana naye tukapata kanywaji pale Manzese halafu...
1 Reactions
27 Replies
402 Views
Tume ya Jaji Kisanga(white paper) ilituvusha bila taharuki lakini tume ya Jaji warioba ilituletea chaos Ukiniambia ni ipi ilikuwa tume bora nitakwambia ni ile iliyotuachia amani yetu Tanzania.
0 Reactions
2 Replies
44 Views
Wamama na watu wanaolalamika kubomolewa nyumba zao ukifuatilia aliyehusika kubomoa nyumba hizo ni mtu wa Kilimanjaro. Watu wa mkoa huo kukudhulumu eneo lako ni kitu cha kawaida sana. Fuatilia...
7 Reactions
43 Replies
576 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…