Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kauli iliotolewa hivi karibuni na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha imenisikitisha sana. Kauli hiyo kwa upande wangu naiona kama ya ubaguzi kwa baadhi ya Wananchi ambao wanamtazamo totauti na...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna ya taarifa za kufungwa kwa baadhi ya vituo vya kutolea huduma ya afya vilivyopo chini ya Taasisi ya Aga Khan, Tanzania kwa sababu za changamoto za kiuendeshashaji. Fununu hizo zinaeleza kuwa...
9 Reactions
79 Replies
6K Views
Shule ya msingi Kitefu iko Halmashauri ya Wilaya Meru mkoa wa Arusha. Kuna mtoto amefanyiwa ukatili na anadaiwa ni baba yake kwa kumchoma na nyaya za umeme, huyu bwana alikuwepo leo shuleni baada...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
  • Closed
Mh Rais, mimi ni raia wa Tanzania na ni mwananchi wako mwema. Naomba kwa masikitiko makubwa tena makubwa nikujulishe tu ya kuwa: Juzi nilipigiwa simu na Mkuu wa Wilaya ya Lindi akinijulisha...
10 Reactions
73 Replies
6K Views
Rais Samia Pole na Majukumu ya Kuliongoza taifa. Kwa niaba ya madereva Guide wa Utalii nipende kuelezea kero juu ya kona kali ya perving ya kupandia kutoka ndani ya Crater. Mh Rais ni kwamba...
9 Reactions
27 Replies
4K Views
Huduma za kuingia na kutoka Zanzibar zipo tofauti Sana na huduma za viwanja vingine vya ndege Duniani. Nadhani mentality ya wizi au Rushwa umepelekea serikali ya Zanzibar kujaza taasisi nyingi...
9 Reactions
17 Replies
3K Views
Mzee Kinana muda wake umepita. Raisi anatakiwa atafute makamu ambaye anaweza kufanya vitu kwa manufaa ya umma kwa ujumla wake na sio kwa CCM pekee. Kwa mwenendo wa sasa, watu wasioelewa wataona ni...
18 Reactions
50 Replies
3K Views
Nadhani kuna haja ya Mahakama kufanya tathimini katika hili jambo. Majaji wengi hawaandiki hukumu kwa mkono wao na fikra zao binafsi, wanaandikiwa hukumu! Ukifanikiwa kumjua anayemuandikia hukumu...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Rais Samia salaam! Ni furaha kuona umekuja kutembelea mkoa wetu wa Katavi. Furaha imetuelemea tuliposikia kwamba safari yako ni ya kichama zaidi na sio kiserikali ingawa ni vigumu kutofautisha...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Juni 9, mwaka 1979 Kamanda aliyeongoza Vita vya Uganda dhidi ya Iddi Amin alitamka kuikamata Ngome ya mwisho ya adui. Haikupita muda Amiti Jeshi Mkuu, Julius Kambarage Nyerere akatangazia Taifa na...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo tarehe 11, July 2024. Umealikwa kuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho ya siku ya kupambana na rushwa Afrika. Hongera Dr. Hussein Mwinyi, kwa nia yako thabiti ya kuzuia na kupambana na rushwa...
2 Reactions
3 Replies
617 Views
Anonymous
Chanzo cha uhakika ndani ya corridor za Ikulu kimenihakikishia Samia anataka kuisuka upya Serikali yake. Chanzo hiki kimenieleza pia kuwa mabadiliko zaidi yatafanywa kimkakati na kuna...
121 Reactions
244 Replies
35K Views
Ninapata mashaka na mifumo ya control number huenda imechezewa sana. Katika hali ya kushangaza, mifumo hii ina tabia za kutofautiana sana kutoka taasisi moja hadi nyingine na ndani ya taasisi...
19 Reactions
117 Replies
6K Views
Maswali chechefu: 1. Je, kwanini Mhe Rais Samia jana aliisifu TPA na kuimwagia minyama kwa "Gawio kubwa ambalo halikuwepo huko nyuma" baada ya kupokea Gawio la Tshs 153.9 toka kwa Mkurugenzi...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwanza, ninaomba kutangaza "Conflict of Interest" katika jambo hili. Ninaandika haya baada ya kuwa mimi ni sehemu ya waathirika wa mfumo wa elimu unaotolewa na Chuo cha Ustawi wa Jamii. Nilikuwa...
12 Reactions
30 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Wafanyabiasha wa Mafuta wa nje ya Nchi kutoka Congo, Malawi, Rwanda na Burundi wanalalamikia TRA kwa kuchelewesha Document kitu ambacho kinawatia hasara. Tatizo hilo limeanza hivi...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Huyu ni Mmiliki wa Sharjah Trading (nitaeleza kwa undani kuhusu hii kampuni). Miaka michache iliyopita wakati wa utawala wa Magufuli alikamatwa, akafunguliwa kesi ya utakatishaji fedha akafanya...
13 Reactions
34 Replies
9K Views
Kama ilivyoshindwa mambo mengi, kufikia hadi kuuza Bandari basi ni vema sasa kurejesha tena usafiri wa Daladala kama ilivyokuwa awali Kutoka Kariako hadi Mbezi kupitia Kimara. Hii ni kwa sababu...
18 Reactions
88 Replies
10K Views
Kuna jambo nimelifanyia utafiti nimegundua makampuni na mashirika ya umma yanaiba fedha nyingi sana serikalini. Kuna fundi nilimtuma akalipe huduma ya kuunganisha maji. Nakumbuka jumla ya fedha...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
MASIKINI INASIKITISHA SANA NILIKUWA SAFARI NIMERUDI JANA NIKASEMA NIKAMWONE DADANGU KIPENZI MAKAZI MAPYA MBEZI BEACH NIKAKUTA BARABARA AMBAYO DADA NAE ALICHANGIA 50000 HAIFAI....... Kabisaaaa...
0 Reactions
0 Replies
407 Views
Back
Top Bottom