Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Tamko la Waziri wa Maliasili na Utalii Dakta Hamisi Kigwangala la kuwataka Wananchi wa Kaya takribani elfu tatu katika Kijiji cha Kimotorok Wilayani Simanjiro wahame kupisha shughuli za uhifadhi...
0 Reactions
Replies
Views
Rais Magufuli leo anauzindua rasmi Ukuta wa Mirerani unaozunguka machimbo ya madini ya Tanzanite. Ukuta huo umejengwa na vikosi shupavu vya Majeshi yetu ya ulinzi. Tukio hili litarushwa mubashara...
27 Reactions
315 Replies
38K Views
Wadau madini kuandamana kumpongeza WADAU wa madini na wachimbaji wa mkoa wa Manyara, wanatarajia
kuandamana Jumamosi ijayo, kwa lengo la kumshukuru Rais John Magufuli 
kwa kukubali kutia saini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mtu mmoja amefariki dunia kwenye msafara wa Waziri wa Utalii Hamisi Kigwangalla, aka HKigwangalla huku mheshimiwa waziri mwenyewe akiwa amejeruhiwa.... Aliyefariki ni mwana JamiiForums mwenzetu...
8 Reactions
666 Replies
138K Views
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti amewataka madiwani wa vyama vya upinzani kujiunga na CCM ili waweze kushirikiana naye kutekeleza ilani ya uchaguzi ya chama tawala. Amesema yupo tayari...
6 Reactions
132 Replies
14K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Hamis Malinga amefariki dunia kwenye hospitali ya rufaa ya mkoa huo alipokuwa amelazwa, mbunge wa Babati Vijijini, Vrajlal...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Manyara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Dunia inaendelea kusimama nasi, inaendelea kutufuta machozi, inaendelea kutupatia faraja na kutufariji, Inaendelea kutushika mkono, inaendelea kutupatia ushirikiano...
8 Reactions
128 Replies
5K Views
Madkatari wa Hospitali ya wilaya ya Manyara wanadai fedha zaidi ya milioni 70 ikiwa ni malimbikizo ya fedha ya posho ya dharura. Watishia kugoma wasipolipwa. Source: ITV habari
0 Reactions
8 Replies
998 Views
Diwani wa Kata ya Masakta Wilayani Hanang', Marco Martini Kia (CHADEMA) amejiuzulu nafasi hiyo na kujiunga na CCM Hanang. Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti, ametaka Diwani wa Kata ya...
2 Reactions
48 Replies
8K Views
BASHUNGWA AMVAA MKANDARASI WA STENDI YA KATESH - HANANG OR TAMISEMI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa hajaridhishwa na kasi ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Redirect
Shirikisho la vyama vya wachimbaji wadogo Tanzania leo limefanya maandamano ya amani kuunga mkono na kumshukuru Rais John Magufuli kwa kusikiliza na kutatua baadhi ya changamoto zilizokuwepo...
1 Reactions
Replies
Views
Kitu kikikutwa kwako au shambani ndo kusema mwenye ngozi ndiye aliyekula nyama au? AK-47 iliyokutwa huko shambani kwa diwani ni yake kweli au laah maana ina shida imetumika kwa matukio sana
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hakimu mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya hakimu mkazi Manyara Mh. Simon Kobero mnamo tarehe 27/ 05/2021 amemhukumu kwenda jela kutumikia kifugo cha miaka 2 au kulipa faini ya sh. 300,000/= mwenyekiti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkuu wa mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti amemshukia mbunge wa Babati Vijijini (CCM), Vrajlal Jituson kuwa atamchukulia hatua kali endapo ataendelea kuchochea migogoro ya ardhi kwenye eneo hilo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Redirect
Kama tulivyotarajia tangu awali , Serikali ya Tanzania imekizuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo , kuwafariji watu wa Hanang , ambako viongozi wake wamekatazwa hata kutembelea Wagonjwa...
2 Reactions
Replies
Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Manyara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
1 Reactions
55 Replies
23K Views
VIDEO- MANYANYASO YA POLISI KWA WANAKIJIJI WA KENDWA | Mzalendo.net Jee amiri jeshi mkuu Jakaya Kikwete na Generali wa Jeshi la Polisi Saidi Mwema haya ndio malezi ya Jeshi lao zidi ya raia wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Serikali ya Kenya kwa mara nyingine imezua magari yaliyosajiliwa Tanzania kupakia au kushusha watalii kwenye Uwanja wa ndege wa kimataifa Jomo Kenyatta (JKIA), hifadhi za taifa na mapori ya akiba...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
World bank nasikia wametunyima mkopo dola million 300 kutokana na serikali kuweka msimamo ya kuhusu mimba za utotoni.Kwangu mimi niliyepitia shule najua ni vitu vya kawaida sana kwa hizi...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom