Kwanini polisi wananyanyasa wenye maoni mbadala na ya Serikali?

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Sikuhizi polisi wananyanyasa upinzani wa serikali sijui upandishwe cheo sasa cheo hicho unachotaka cha kazi gani kunyanyasa watu zaidi au ulinzi.

Hivi sisi zimetimia kweli kichwani yani upandishwe cheo kwa uhalifu ina maana unaenda kuhatarisha usalama wa watanzania million 60 unanyanyasa unapiga watu ovyo ili upande cheo ?

Ina maana unataka upande cheo ili uzidishe ukatili usio na kichwa wala miguu usio na faida yoyote na sio ulinzi kwa watanzania.

Watu kama hawa nimenza kuwaona unashangaa mtu anakukamata kwa kesi ya kukusanyika halafu anaanua nguo zako kwenye kamba, sasa nguo kwenye kamba zinahusika nini na kukusanyika huu ni mfano yule kamanda wa mbeya alishusha bendera ya Chadema huku kesi aliyowapa watuhumiwa haviendani je alitaka cheo ?

Huku Dar Polisi anapiga watu wanaoenda mahakamani kufuatilia kesi za mpinzani wa serikali kinyume cha sheria anataka cheo ?
 
tuna politicimen wengi na si policemen!
 
Sikuhizi polisi wananyanyasa upinzani wa serikali sijui upandishwe cheo sasa cheo hicho unachotaka cha kazi gani kunyanyasa watu zaidi au ulinzi.

Hivi sisi zimetimia kweli kichwani yani upandishwe cheo kwa uhalifu inamaana unaenda kuhatarisha usalama wa watanzania million 60 unanyanyasa unapiga watu hovyo ili upande cheo ?

Inamaana unataka upande cheo ili uzidishe ukatili usio na kichwa wala miguu usio na faida yoyote na sio ulinzi kwa watanzania.

Watu kama hawa nimenza kuwaona hasa kwa murilo na yule kamanda wa kule mbeya unashangaa mtu anakukamata kwa kesi ya kukusanyika alafu ana anua nguo zako kwenye kamba sasa nguo kwenye kamba zinahusika nini na kukusanyika huu ni mfano yule kamanda wa mbeya alishusha bendera ya Chadema huku kesi aliyo wapa watuhumiwa haviendani je alitaka cheo ?

Huyu murilo huku anapiga watu wanaoenda mahakamani kufuatilia kesi za mpinzani wa serikali kinyume cha sheria anataka cheo ?
Uchawa ulio liingiza taifa kwenye wizi wa halaiki wa kura na mauaji ya halaiki ya watanganyika.
 
Sikuhizi polisi wananyanyasa upinzani wa serikali sijui upandishwe cheo sasa cheo hicho unachotaka cha kazi gani kunyanyasa watu zaidi au ulinzi.

Hivi sisi zimetimia kweli kichwani yani upandishwe cheo kwa uhalifu ina maana unaenda kuhatarisha usalama wa watanzania million 60 unanyanyasa unapiga watu ovyo ili upande cheo ?

Ina maana unataka upande cheo ili uzidishe ukatili usio na kichwa wala miguu usio na faida yoyote na sio ulinzi kwa watanzania.

Watu kama hawa nimenza kuwaona unashangaa mtu anakukamata kwa kesi ya kukusanyika halafu anaanua nguo zako kwenye kamba, sasa nguo kwenye kamba zinahusika nini na kukusanyika huu ni mfano yule kamanda wa mbeya alishusha bendera ya Chadema huku kesi aliyowapa watuhumiwa haviendani je alitaka cheo ?

Huku Dar Polisi anapiga watu wanaoenda mahakamani kufuatilia kesi za mpinzani wa serikali kinyume cha sheria anataka cheo ?
Low IQ , uchawa na ukizingatia wengi wao waliingizwa kwa kadi za chama

Matokeo yake taasis inaonekana ya hovyo
 
Sikuhizi polisi wananyanyasa upinzani wa serikali sijui upandishwe cheo sasa cheo hicho unachotaka cha kazi gani kunyanyasa watu zaidi au ulinzi.

Hivi sisi zimetimia kweli kichwani yani upandishwe cheo kwa uhalifu ina maana unaenda kuhatarisha usalama wa watanzania million 60 unanyanyasa unapiga watu ovyo ili upande cheo ?

Ina maana unataka upande cheo ili uzidishe ukatili usio na kichwa wala miguu usio na faida yoyote na sio ulinzi kwa watanzania.

Watu kama hawa nimenza kuwaona unashangaa mtu anakukamata kwa kesi ya kukusanyika halafu anaanua nguo zako kwenye kamba, sasa nguo kwenye kamba zinahusika nini na kukusanyika huu ni mfano yule kamanda wa mbeya alishusha bendera ya Chadema huku kesi aliyowapa watuhumiwa haviendani je alitaka cheo ?

Huku Dar Polisi anapiga watu wanaoenda mahakamani kufuatilia kesi za mpinzani wa serikali kinyume cha sheria anataka cheo ?
Tulipokosea pakubwa ni pale tulipoipa siasa thamani kubwa kuliko taaluma
 
Back
Top Bottom