Busara ni jambo la msingi sana lakini pia usimdharau mtu kabla ya kifo chake.
Baada ya hako kautangulizi niwasalimu ndugu zangu sisi watanzania...wote tumeshuhudia kauli chafu na za kejeli alizokua anarushiwa raisi wetu mh Edward Ngoyai Lowasa kuwa amechoka hawezi kushika Mic wala tu kujifuta mdomo!
Jamani Mungu hadhihakiwi.. Yeye ndo anayeamua nani awe mzima na nani apate maradhi.. Mimi nimemshudia mh Lowasa akishika mic mbili hadi tatu mkononi bila kutetemeka...Mungu ametuumba jamani anaweza kufanya lolote