Hongereni magufuli, Lowassa, mngwira NA rungwe kutokua na matusi kwenye mikutano yenu Bali team zenu za kampeni ndizo zimekua NA matusi hususani chama kimoja wapo ndicho kinaongoza kwa kuporomosha matusi.
Ni kweli,lakini si shangai mwenye ana maneno ya kashfa mfano asiye kuwa na pesa akapige mbizi,Biharamulo samabzeni kinyesi chenu ili kiwe lami duh,hivyo sishangai akishindwa kukemea matusi kwani ni hulka yake,najiuliza leo tukimchagua na siku tukakosea kumkumbusha ahadi zake tutasikia kama hutaki hama nchi ..........
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.