Umoja wa Ulaya (EU) waionya Tanzania juu ya ufisadi wa Lowassa

Kansigo

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
2,670
2,156
karibuni katika mjadala wa kistaarabu wa mustakabali wa taifa letu

=========================================
=========================================


Habari hii si ya kweli na imekanushwa na Ofisi ya Umoja wa Ulaya kupitia Ubalozi wake uliopo Dar es Salaam, Tanzania.

Haya ni maelezo kutoka kwenye Ukurasa wa Facebook uliothibitishwa wa Ofisi hiyo:-


It is disappointing to see a social media wave, falsely quoting the European Union with misleading claims of interference in the elections in Tanzania by endorsing or warning against candidates.

The EU refutes categorically misinformation originating from malicious documents.

The EU is sending an election observation mission to Tanzania, which will strictly adhere to international standards of independence and impartiality
.

attachment.php
 

Attachments

  • EU NA LOWASSA.jpg
    EU NA LOWASSA.jpg
    39.8 KB · Views: 1,382
  • eu1.png
    eu1.png
    56.6 KB · Views: 378
Mbona source yenyewe ya habari umeificha kama biashara ya bangi?

Ni gazeti gani? La lini? Mtu yoyote anaweza kutengeneza habari fake kama hii. Halafu kiingereza chake kina mashaka makubwa
 
Poacher !!!!!!,the poacher I know is on the other side,is this story cooked ? Who the hell is the cooker.
 
Wajibuni kama Kikwete na Nape walivyomjibu BENSUDA wa ICC.

Ufisadi wa kutisha umefanyika kwenye Hili Taifa na wao wakiwa wanufaikaji wakubwa wa madini yetu na rasilimali zetu walikua wapi?

Wafuate mambo yao wasituletee mambo yao ya kishoga Hili ni Taifa huru watuache wananchi tufanye maamuzi kwani sisi tunawashaurigi kwenye mambo yao nyambafu hao.
 
Na mods watampa likes bwana kansingo kwa habari yake ya kupika na isiyo na tija!!
 
Last edited by a moderator:
Fake news,imeshakanwa! NI propaganda chafu katika ubora WA Hali ya juu,IPUUZWE NA KUTUPILIWA MBALI, (EU) WANATA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI TANZANIA,JAMAA WA KIJANI HILI LIMEWAUMA SANA! WANACHOJARIBU SASA NI KUICHANGANYA JAMII YA WATANZANIA,MSIMAMO NI ULEULE WATANZANIA WAMEAMKA SASA!,EU KAZENI BUTI HIVYOHIVYO,""TUNATAKA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI""
 
Taifa litaonekana ni la wapumbavu kama tutampeleka rais anayetuhumiwa kwa ufisadi
 
Hivi utajisikiaje pale EU watakapokuja na kukanusha huu upuuzi!? Kumbuka jf inafikiwa na watu wengi.
 
Back
Top Bottom