Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Najua hakuna mahakama. But let it be on record! Hakuna Jaji atakataa kupokea maagizo. Na hili naweza kusema with brevity kuwa hawana jinsi, nao wanatetea uhai wao! Ni vyema mkaenda mahakamani ...
3 Reactions
9 Replies
230 Views
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasilino wa CUF, Mohamed Ngulangwa amejitojitokeza kuwania nafasi ya umakamu mwenyekiti wa CUF katika uchaguzi wa marudio wa chama hicho ulioamuliwa na Msajili wa vyama...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
Kupitia ukurasa wa Instagram na (X) zamani Twitter anaandika John Heche ambaye ni makamu Mwenyekiti CHADEMA "Nimetoka Gereza la Ukonga kumuona Mwenyekiti… Nimefanya kila jitihada kuweza kumuona...
11 Reactions
18 Replies
810 Views
Dar es Salaam. Makada watatu akiwamo aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Tanzania Bara, Othman Omar Dunga, wamepitishwa kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho Taifa...
5 Reactions
17 Replies
572 Views
Wakati Mahakama ya Kimataifa Uhalifu wa Kibinadamu (ICC) ikitarajiwa kuchagua majaji wapya ifikapo Desemba mwaka huu, Jaji Deo John Nangela amejitokeza kugombea nafasi hiyo. Kuonyesha kuwa Jaji...
2 Reactions
37 Replies
1K Views
Usipokuwa na uwezo wa kufanya reasoning na kushndwa kuelewa historia, unaweza usielewe kuwa watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ujasiri na uthubutu walio nao ni kazi ya Nature ( Mungu) ili...
9 Reactions
18 Replies
373 Views
Mahakama ya ICC yafanya maandalizi ya uchunguzi kuhusu yaliotokea October 29,2025 By the way, hii ni ya sasa au ile ya zamani? Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, (ICC), kupitia Baraza la wanasheria...
4 Reactions
1 Replies
326 Views
Usingelifanya harakati zako ( nzuri, I can say by now) ukiwa hapa! Walijua una siri zao nyingi, lazima wakumaliza as they have done! Nakuombea huko ulipo tukuone tena. AMINA
32 Reactions
251 Replies
5K Views
Hakuonekana akijichanganya na wenzake, inasemekana wengi walikuwa wanakwepa hata kupiga naye picha. Mwenye picha zaidi ya hizo atuwekee hapa, nitamshukuru.
32 Reactions
160 Replies
3K Views
ARUSHA: SERIKALI imepiga marufuku matumizi ya mitandao binafsi zikiwemo baruapepe, WhatsApp, Instagram, You Tube, Facebook kutuma nyaraka na taarifa za serikali. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
3 Reactions
31 Replies
854 Views
Wanasheria Tito Magoti na Bob Chacha Wangwe kupitia Kesi Na. 59 ya mwaka 2025 wameishtaki Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika...
5 Reactions
8 Replies
495 Views
  • Redirect
Leo Februari 21, 2026 Makamamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameandika katika ukurasa wake wa X kuwa amezuiwa kumwona Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu alipokwenda kumtembelea katika...
2 Reactions
– Replies
– Views
Vijana hawana Kazi licha ya kua wana Elimu. Vijana wameshuhudia wenzao Walotekwa, kuuliwa . Vijana wanashuhudia Viongozi, WATOTO wao na familia zao kwa ujumla wakiendesha magari ya mabilion...
3 Reactions
9 Replies
571 Views
  • Redirect
Inaelezwa kwamba amechukuliwa na watu wanaoitwa Wasiojulikana na kupotezwa. Ikiwa bahati ya mtende basi tutaokota maiti Yale kama tulivyookota ya Bajoo, Au kama ilivyo kawaida itakuwa kwaheri ya...
2 Reactions
– Replies
– Views
Idara ya usalalama wa taifa makini ni ile ambayo inamuambia rais aliyepo madarakani ukweli. Kama raia wanamchukia kwa ufisadi na mambo yasiyofaa anaambiwa ukweli. Sio kumdanganya kuzunguka na...
7 Reactions
29 Replies
615 Views
Kwenye Msiba wa Jenista Mhagama mliruhusu viongozi wa serikali kuhutubia Madhabauni, Haikuwa sahihi hata kidogo. Viongozi wengi wa serikali wamejaa Dhambi za wazi kabisa ikiwemo Utekaji n.a...
11 Reactions
23 Replies
693 Views
Hamjambo Watanzania wote! 1. Nilipendekeza mbinu kadhaa za kudhibiti maandamano huku mbinu kuu niliyoitoa ni kupiga Lockdown ( Curfew). Hii mbinu ni kabambe na ikipigwe ni ngumu kufanya...
5 Reactions
59 Replies
1K Views
Wakuu, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA), Brenda Rupia ameyasema hayo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari, leo Februari 21, 2026.
4 Reactions
4 Replies
270 Views
Wanayotaka wananch wasikilizwe kabla hali haijawa mbaya tuna nafas kubwa sasa ya kubadilisha hali hii
9 Reactions
40 Replies
2K Views
Wakuu, Akiwa anazungumza leo na wanahabari Mkurugenzi wa Mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia amesema kuwa CHADEMA hawaitambui tume ya kuchunguza yaliyotokea Oktoba 29 kwani imejaa CCM na hata...
1 Reactions
8 Replies
335 Views
Back
Top Bottom