Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii Ofisi ikifutwa ni nini kitakosekana kwenye siasa za Tanzania? Naona kuwa na ofisi hii pamoja na waajiriwa wake ni ufujaji wa pesa za maskini walipa kodi wa nchi yetu.
3 Reactions
4 Replies
174 Views
Mjumbe wa Baraza la Chama cha Wananchi (CUF), Mohammed Ngulangwa, pamoja na wenzake wawili, wamejikuta wakishikiliwa na Jeshi la Polisi na kutolewa nje ya kikao kinachoendelea cha baraza la chama...
1 Reactions
8 Replies
324 Views
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia akiongea na waandishi wa habari leo Februari 21, 2026 amesema kama chama wanasikitishwa na hawataacha kukemea na matukio ya utekaji na...
1 Reactions
1 Replies
240 Views
Unguja. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amewataka wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu Zanzibar kuwa mstari wa mbele kulinda, kuuenzi...
0 Reactions
5 Replies
265 Views
Wamarekani bado wametukalia kooni, hawapoi wala hawaboi. Jeanne Shaheen a senior US senator from New Hampshire. ============= The violent suppression of opposition voices before & after...
5 Reactions
13 Replies
438 Views
Hatimaye Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewatoa hofu Watanzania kuhusu afya yake kwa kueleza kuwa anaendelea vizuri baada ya kufanyiwa...
3 Reactions
247 Replies
31K Views
Mradi Taarifa Aina za madini Dhahabu, fedha, shaba, chuma, madini ya ujenzi, madini ya viwandani, madini ya vito Idadi ya leseni hadi Juni 2025 2,288 (uchimbaji, utafiti, uchenjuaji, biashara)...
2 Reactions
11 Replies
602 Views
Wakuu, Hebu njooni hapa tujadili huyu jamaa sanamu lake tulijenge wapi === POLISI TUACHENI TULE BATA Haya yamesemwa na miongoni mwa wananchi wa mji wa Musoma katika mkutano wa Mbunge wa Musoma...
0 Reactions
1 Replies
352 Views
Kati ya watumishi wa umma/serikali ambao hawapaswi kuendelea kukalia nyadhifa zao ni Msajili wa Hati Dar es Salaam Mama Subira Sinda. Mama huyu amekuwa akishirikiana na wahuni na wadhulumaji kwa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Najaribu kufikiri kuwa kuna namna Viongozi wa Kisiasa ni lazima nao wawe na taaluma ya Uongozi (Governance) kama wanavyo toa matamko kwa waandishi wa Habari
4 Reactions
4 Replies
222 Views
  • Redirect
Kifo cha Banjoo This job can be done in less than 24 hrs. Easy , easy , easy , easy. Lakini haipaswi kufanywa na nyie Polisi kwa sababu you are suspects....,
3 Reactions
– Replies
– Views
Taarifa zinaonyesha kwamba Mashahidi wa serikali kwenye kesi inayoitwa ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na Wenzake wako 24 , kati yao 21 ni maofisa wa Polisi wa Tanzania , akiwemo Kingai na Omari...
73 Reactions
200 Replies
37K Views
Wapinzani wa Samia wote wanateswa kupitia magereza
2 Reactions
13 Replies
392 Views
20 February 2026 https://m.youtube.com/watch?v=LIsKjhnAdxM Mwakilishi wa Jimbo la Pandani na Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani kwenye Baraza la Wawakilishi, Profesa Omar Fakih Hamad, anazungumzia...
0 Reactions
1 Replies
173 Views
nchi imefikia hatua inaongizzwa na mama na mwana. kibaya zaidi hawajui nani atashika nchi miaka ijayo na kuwafilisi mali zao. Arrogance. Kuna watu hawafikirii kesho yao. Ikiwa malipo ni hapahapa...
7 Reactions
23 Replies
612 Views
Evance Kamenge, Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema “CCM ikitoka kwenye misingi ya kuanzishwa kwake itatoka Madarakani, naoingana na aliyesema CCM itakaa madarakani Milele huo ni uongo”
1 Reactions
8 Replies
260 Views
Haya ndugu zangu Lissu anaendelea kupitisha dozi huko. Hii statement alivyoitoa mahakamani kila mtu alicheka Soma Pia: Shahidi wa Kesi ya Lissu (P7): Nauli ya kuja mahakamani leo nimepewa na...
4 Reactions
7 Replies
712 Views
Kuna habari ya wanaume wawili kutoka Zanzibari ya kuwa wametekwa na watu wawili walio kuwa na gari aina ya IST nauliza kweli wanaume mnatekwa kwenye gari aina hii? Rais wa Zanzibari chukua hatua
1 Reactions
1 Replies
286 Views
Back
Top Bottom