Nchi imekuwa ya wapumbavu sana hii najua hali wanayopitia watanzania wazalendo simu za vitisho haziishi kuna watu wameajiriwa kutuma hizo simu.
Lazima tujiulize hivi sisi ni malofa na majimga...
Uhuru wa habari utazidi kuminywa..
Vyombo vitazidi kuminywa na mateso yatazidi zaidi..
Maana ya kumteua ni moja tu..
Kumaliza yale yote yaliyobaki...
Kumbuka huyu ni mpenda Sifa yaani hapo Dully...
Patrick Kipangula- Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari Tanzania (JAB) anahoji waliotaka matukio ya Oktoba 29 yarushwe na vyombo vya habari walikuwa kina nani na walitaka...
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha...
1. Amevamia Venezuela
2. Ameua binti huko kwake kwa kutumia askari wa immigration
3. Anataka kuitwaa Greenland kwa nguvu
4. Anawaza kuivamia Columbia
5. Kote alikosulujisha ameshindwa..Rwanda na...
Hamjambo!
1. Wale wazee wa political analysis and evaluation mtakubaliana na Mimi kuwa vijana WA sasa wa CCM hawana ushawishi. Hawana mvuto.
2. Siongei kisiasa naongea uhalisia wa mambo ulivyo...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI --30/01/2014
Ndugu zangu waandishi wa habari, awali ya yote naomba niwasalimie na niwapongeze kwa kufika -mwaka mpya 2014, pia naomba niwapongeze kwa kazi kubwa...
Hapo zamani za kale kwenye kijiji cha msituni kulikuwa na mzee mmoja aliyejulikana kama Mzee Filipo..
Alikuwa mrefu, mnene mweusi..
Alitisha sana!
Kutokana na mwonekano wake alitawala kijiji...
Habari wadau!
Binafsi natabiri ujio wa Paulo tena kwenye gemu baada ya Mama Samia Suluhu kuapiswa.
Pia namuomba Mama Samia Suluhu asije akamsahau Paulo kwenye utawala wake sababu zipo wazi Paulo...
MINISTRY OF HOME AFFAIRS THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
P.O. Box 9223, Dar es Salaam.
Telegram "Usalama"
Telephone
In reply please quote:
22 Januari, 1977.
Ref. No. AHM/PERS/P. 1/14
MHESHIMIWA...
Kuna vid ilitrend sana
Baada unasikia hizi jumla bil kama 6 jama akihesabu
Mh katambi naamini umeaminiwa na n mmoja wa wafuasi wako nakupenda toka ulipokuwa kwa kazi nzuri
Naomba hili mtuwekee...
Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari nguli, mwanasheria na mchambuzi wa maswala ya siasa.
Wakati fulani siku za nyuma kupitia hapa JF alimtabiria Mkuu wa Mkoa mstaafu Paul Makonda kuwa Mgombea...
1. Kuiba uchaguzi hawajali kuchaguliwa
2. Misaada ya mabilioni kuyeyuka hawajali ilimradi tu ni CCM
3. Visa list ya kuzuiawa huko USA hata kwa wafanyabiashara hawajali maana Mama ni Raisi wa...
Kichwa Cha habari kinajieleza hapo juu jamani ukweli acha usemwe tu barabara ya Rujewa - Igawa ni mbovu mbovu sana mashimo kila shemu
Jamani tunaumiza vyombo vyetu da hii barabara ni KERO jamani...
JAMES Mbowe, aliyekuwa mgombea ubunge katika jimbo la Hai kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), achutama, ajutia uamuzi wake wa kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
Kwa mujibu wa Tamko la Rais Na. 10998, kuanzia tarehe 1 Januari 2026, Marekani imesitisha utoaji wa Viza za kutembelea zisizo za uhamiaji zilizo katika Makundi B-1/B-2, Viza za wanafunzi na...
Patrick Kipangula- Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari Tanzania (JAB) anasema vyombo vya habari vya nje havikufuata utaratibu wakati wa kuripoti matukio ya Oktoba 29 nchini.