Utabiri CCM itandoka kabla ya TEC kwasababu mmoja ni ya wezi nyingine ni ya jamii na ukweli. Wovu haujawahi kushinda HAKI. Iko siku tutakuwa na TEC lakini Chama Cha Mapinduzi kitakuwa na jina...
GT
Habari ndiyo hiyo huko chamani kwa sasa ni mwendo wa kuwindana tu. Hamuwezi kuelewa kwa sasa ila kadri siku zinavyosonga mtaelewa.
Ndo mtajua kwa nini Mpango aliachia umakamu wa Rais pia Samia...
Kama tuna ushahidi kuwa miundombinu yetu na ya watu binafsi iliharibiwa kwenye vurugu za Oktoba 29 lazima walioiharibu na waliopanga uharibifu wakamatwe na kuadhibiwa mara moja ili iwe fundisho...
Naanza kukubali nyuma ya mafanikio ya mwanaume Kuna mkono wa mwanamke sio Kwa busara na hekima za Maria Nyerere
Mwingine baada ya kupata cheo kaamua kuachana na Mumeo Ili huru kufanya mambo yake...
Wakili Hekima Mwasipu, mmoja wa Mawakili wanaowawakilisha Rosemary Mwakitwange, Wakili Deogratius Mahinyila na Wakili Edward Heche ambao ni waleta maombi kwenye kesi ya kuhoji uhalali wa Tume ya...
Kwa ujinga wanaofanya CCM wanajikuta wanazalisha kundi kubwa linaloipinga CCM pamoja na Serikali yake au kwa akili ndogo za Viongozi waliopo.
Magufuri hakutumia nguvu kubwa kuirudisha CCM...
Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa ndege maalum aina ya Boeing 787-8 Dreamliner kwenda Morocco kuwachukua wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars baada ya kuondolewa na wenyeji Morocco...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda, mara baada ya mazungumzo na...
Wana wa Mungu jf , heri ya mwaka mpya
Nipo na ujumbe muhimu sana kutoka kwa yuleyule atupae pumzi, na yule yule ajuae lini tutatoweka katika ulimwengu wa anasa n.k
Nataka kutana na uongonzi wa...
Ndugu wa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba 'aliyetekwa' takribani miezi mitatu iliyopita leo, Jumanne Januari 06.20226 wamefanya maombi kwenye nyumba aliyokuwa...
Ati amiri jeshi. Hehehehe. Uliona wapi Amir anaua watu wake. Heheheh. Sasa aogopa watu. Hajui nani amuamini. Hehehe walahi hii kali.
Jeshi lajizima mnala naye ajua. Yeye si amir jeshi sasa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ambayo Tanzania imeshinda kuwa eneo bora la Utalii wa Safari Duniani (World’s Leading Safari Destination)...
Kutoka Tanzanite Street, Ununio -Bahari Beach, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam ndugu na jamaa wa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole wakiongozwa na...
Anaandika Rais wa TLS kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X, Boniface Mwabukusi.
HATUTAENDELEA KUKAA KIMYA DHIDI YA UOVU.
Hii ni project yenye sessions 27 mpaka sasa zimefika tano. Nadhani...
Wakuu tunaendelea na mjadala wetu juu ya wanaojiita wakatoliki 120 ambao binafsi nawaita wakatoliki 'Feki' yaani wa maji ya jioni na watu wasiojitambua na waliofanya mchezo wa kitoto dhidi ya...
Hamjambo wote!
1. Mimi ni Mtibeli. Dhehebu(shule) ya mafunzo ya dini ni Kanisa la wasabato.
2. Ukweli ni kuwa kwenye nchi Maskini hasa za Afrika huwezi ukaleta ugomvi wa nginjanginja na Kanisa...
Sijajua kama ni awamu ya sita au saba, ila nachojua ipo kama jike la hayawani lililopo kwenye joto. Inatafuta mkunaji ila haiko tayari kukunwa.
Bado haijapata beberu sahihi kufanya hiyo kazi...
Anaandika Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Rais Boniface Mwabukusi kupitia ukurasa wake wa X zamani Twitter juu ya maandamano ya waliojiita Wakatoliki walioenda Ubalozi wa Vatican...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.