Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wamasai na serikali walizozana kuhusu ardhi ya Loliondo. Hili suala kulikua ni, haki ya jamii au ni maslahi ya taifa ?
0 Reactions
4 Replies
71 Views
Jambo Moja la Uhakika ni kua, CCM hasa hili Genge lao la wahuni, linatabirika , sio watu ambao Wana Akili. Tungeendelea kufanya Siasa ambazo, zinawalazimisha Kufungulia watu Kesi za Ugaidi, kuita...
1 Reactions
2 Replies
54 Views
Heshima sana wanajamvi, Makamu wa Rais Ndejembi alihutubia UN na kusisitiza suala la kulitambua taifa la Palestine. Hivi taifa la Palestine likitambuliwa linatusaidia sisi waTanganyika. Kuna...
20 Reactions
60 Replies
988 Views
Kiongozi wa CHADEMA alikamatwa na kushtakiwa kwa ugaidi, lakini aliachiwa. Je, ilikuwa haki au presha ya kisiasa ?
0 Reactions
3 Replies
60 Views
Mzee Nchimbi, sio lazima utafute Mawazo kwa Wazeee katika suala dogo kama hili.. Kimàhesabh, Ukijiuzulu wewe mwenyewe kama Alivyofanya Lowassa, Utaonekana wewe ndio Snitch, Mkorofi, uliyekua...
17 Reactions
50 Replies
1K Views
Taifa límejaa Hudhuni sana ,vilio Kila Kona, Kuanzia kutekwa, kupotezwa, Kuuliwa, mpaka Hela mfukon kwa wéngi imepotea !!!. Vita dhidi ya Kanisa imepamba moto, Viongozi kufa ni Sherehe kwa...
4 Reactions
6 Replies
117 Views
Kama Rais hutambuliwa ni Raia namba mojaz ,Kidini, NCHIMBI kwenye KANISA alikua ni Raia wa Umuhimu wake na namba Moja !!. Ifike Mahali KANISA KATOLIKI, likubali kua Kama mbwai na iwe Mbwai tu...
11 Reactions
51 Replies
815 Views
Rev. Peter Simon Msigwa Makonda, Kanisa si Serikali, lakini Kanisa ni sehemu ya jamii. Watu wanaoketi kanisani Jumapili ndio wanaokutana na hali halisi ya maisha Jumatatu. Maumivu yao hayaishii...
0 Reactions
1 Replies
45 Views
Mnakumbuka MH Polepole ?. Kile alichokifanya kwanza , kujiuzulu nafasi zake zote, kisha akaanza kukosoa UOVU wa CCM , kilikua na Thaman sana, na Watanganyika Wakamuamini 100% na Ule Ukweli...
3 Reactions
12 Replies
177 Views
Nafahamu ni wengi nchini wanatekwa, wanauliwa. Nafahamu katika mizani ya kiroho, binadamu tu sawa. Kuna vijana wametekwa sababu ya mapenzi. Jukumu la Kanisa ni kusemea sauti za vijana hawa. Kwa...
9 Reactions
19 Replies
374 Views
Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?. Taifa lina haki ya...
43 Reactions
198 Replies
3K Views
Kuanzia Kesho Mikutano ifanyike NCHI Nzima, Kila Tawi, Kata, Wilaya, Mkoa , Itisheni Mikutano ya Dharura NCHI nzima, mkihamasisha Wananchi Kua Tayari na WASIKUBALI KAMWE LISSU KUFUNGWA !!. KAMA...
6 Reactions
31 Replies
473 Views
Mpaka Lissu anamuulizia, Nchimbi hajaamua kukaa kimyaa kama Machawa wanavyojaribu kutuaminisha. Nilitegemea, Vyama vyote vya Upinzan, viungane, viulize NCHIMBI Yuko wapi??. Dr Nchimbi, alikua ni...
12 Reactions
37 Replies
642 Views
Tukio la kushangaza limetokea katika eneo la Makole, baada ya dereva wa basi la kampuni ya SATCO lenye namba za usajili T308 EME kudaiwa kutishiwa kwa silaha ya moto na mtu ambaye hakufahamika...
10 Reactions
57 Replies
2K Views
MISEMO YA WIKI 1. “ONE OF THE PENALTIES FOR REFUSING TO PARTICIPATE IN POLITICS IS THAT YOU END UP BEING GOVERNED BY YOUR INFERIORS .” PLATO (Adhabu mojawapo ya kukataa kushiriki siasa ni...
1 Reactions
3 Replies
93 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amesema ushiriki wa wanawake katika michakato ya amani ni muhimu katika kupata suluhisho...
0 Reactions
1 Replies
71 Views
Overt Act: Kitendo cha wazi Overt Act: Prosecuting a charge of treason typically requires proof of an overt act—an open, observable action that demonstrates the treasonous intent An overt act...
2 Reactions
5 Replies
154 Views
[Mahakama imeanza.] [Karani anasoma kesi ya Criminal Session, Kesi Na. 19605 ya 2025.] [Jamhuri dhidi ya Tundu Antipas Lissu.] KATUGA: Iwapendeze Waheshimiwa Majaji, naitwa Nassoro Katuga...
1 Reactions
2 Replies
245 Views
𝗦𝗛𝗘 𝗥𝗜𝗦𝗘𝗦: 𝗗𝗜𝗣𝗟𝗢𝗠𝗔𝗦𝗜𝗔 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚’𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗞𝗔𝗠𝗣𝗘𝗡𝗜 𝗬𝗔 𝗔𝗙𝗬𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗠𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗧𝗢𝗧𝗢 Ndani ya Jiji la New York, Marekani, imefanyika Sherehe Maalum ya Kampeni ya SHE RISES - Advocacy for...
1 Reactions
20 Replies
137 Views
Kazi ya Basata ni kupiga faini tu. Haijajenga chuo chochote cha sananaa kwa mfano pesa zao hazijulikani zinaenda wapi. Wanaweza waka amka leo ni kutafuta milioni 30 kwa kupiga faini wasanii...
0 Reactions
0 Replies
35 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…