Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa majibu makali mbele ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikiyashutumu mataifa ya Magharibi na asasi za kimataifa kwa kutoa...
Leo nimesikia tangazo la Samia Land clinic, mradi kwa ajili kutatua matatizo ya ardhi.
Kuna Samia cup, Samia Stadium, Samia SGR Station, Samia this Samia that...
Kuna mradi mpya utaanzishwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Tuna kila sababu ya kutembea vifua mbele. Tuna kila sababu ya kujivunia Utanzania wetu,tuna kila sababu ya Kujivunia kuzaliwa Tanzania. Rais Samia katuheshimisha ,Rais...
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu inayopatikana jijini Arusha, inatarajiwa kutoa hukumu ya kihistoria kesho, Ijumaa, Machi 6, 2026, katika kesi inayopinga uhalali wa mchakato wa uchaguzi mkuu...
Nairobi. Dereva raia wa Kenya, Nelson Wanjohi Kirika mkazi wa Kenya anayeishi nchini Afrika Kusini Edward Mwangi Mwai na Aziz Hama raia wa Tanzania, leo Machi 6 wamefikishwa mahakamani jijini...
1 Day to Go
📍 Arusha, Tanzania
🗓️ Saturday, 7th March, 2026
8 countries, 1 Agenda : Building a single, competitive regional market that unlocks opportunity for the over 300 million...
UN: The Commission of Inquiry must be independent, ensure accountability, justice, reparations, non-recurrence, and include full participation by victims and civil society.
EU: Any inquiry must...
Jaji Mkuu, George Masaju ameyasema tarehe 04 Machi, 2026 mara baada ya zoezi la uapisho wa Mahakimu hao lililofanyika Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma.
Asema ni hujuma na dharau dhidi ya Serikali, aahidi kula naye sahani moja, huku akisisitiza kuwa ametumwa kuwashughulikia wezi wa fedha za Serikali…
Ataka akamatwe na kuzuiwa kuondoka nchini...
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imetoa uamuzi wake uliosubiriwa kwa muda mrefu kuhusu shauri lililopinga uhalali wa uchaguzi mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020.
Katika hukumu yake...
Mijadala imekuwa mingi juu ya unabii ndani ya biblia uliotolewa na nabii Yeremia, Yeremia 49 kuhusu nchi ya Elamu, ambayo ni Iran ya leo. Nabii Katika kufafanua zaidi juu ya unabii huo, Pirooz...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia kajitoa na kujitolea Maisha yake kama Zawadi kwa watanzania. Rais Samia anafanya Kazi usiku na mchana Mpaka Huruma Zinanishika Mimi. Muda na wakati wote unaona...
Waziri Mkuu Mwigulu ameyasema hayo leo Wilaya ya Karatu wakati wa ziara ya kikazi, akiwa anamzungumzia mkandarasi wa kigeni aliyepewa kujenga mradi wa umwagilia na kushindwa kuutekeleza, na...
Mmoja wa watuhumiwa wa utekaji huko nchini Kenya ana asili kama Mzanzibari au Mwaraba kama sio Msomali kulingana na picha zao na sio mtanganyika kwa asili
Je, wenzangu mnahisi huyo mtu asili...
Siyo siri, serikali ya Awamu ya 6 ina matatizo ya kukubalika na jamii.
Sitaingia katika sababu za kufikia hapo.
Lakini wakati wa msiba wa baba Yetu Cardinali Pengo, imejidhihirisha wazi kuwa watu...
Waziri Mkuu ametoa wito kwa watendaji kuwajibika kuhakikisha wanatatua kero za watu kwa wakati. Ametoa wito huo akiwa katika ziara ya kikazi wilaya ya Karatu
Ukitaka kuona ni jinsi gani watu wanatoa comments za kumbeza raisi Samia na hata kumtukana yeye na mtoto wake Abdul, basi wewe nenda kwenye post za Mwashambwa.
Sasa ushauri wangu kwa Mwashambwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.