Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema kusitishwa kwa safari za treni kati ya Morogoro na Dodoma hakutokani na kuharibika kwa reli bali ni hatua za kitahadhari ili kudhibiti...
Hii inafikirisha sana, nchi zilizoendelea muuaji angekuwa tayari ameshakamatwa yupo ndani na ameachia ngazi kulinda heshima ya raia wake na nchi yake.
Lakini Tanzania, Mtu aliyepora uhai wa...
Mwaka 2025 umeisha , ila hope utaanzia ulipoishia, vijana wangu Mungu awepe pumziko la milele pale mlipo ,na hukumu kwa mujibu ya matendo yenu hapa Duniani , najua niliwalea vizuri ,ila Mungu ndo...
Heri ya Mwaka Mpya Wakuu
Huyu Bibi anatuona sisi wajinga na wapumbavu .
Siku anaongea na wazee walevi wa Dar Es Salaam alitunanga kuwa nguvu iliyotumika ilistahili, maana aliridhia na alitoa...
Nadhani kuna watu wanafikiri wakiongea maneno matamu matamu basi watu wa ICC kule The Hague watasahau amri za kuua walizotoa na mauaji ya kutisha ya Oktoba 2025. Hakuna kitu kama hicho.
Anzeni...
Waziri Simbachawene ametoa maagizo mbele ya kamera kwamba ukamataji ufanyike mchana na askari wawe wamevaa sare bila ninja. Na akaongeza kuwa watoe taarifa kwa serikali za mitaa. LAKINI bado...
Mara ya mwisho alitoa masaa 24 na tishio kali sana kwa samia na genge lake.
Kwa alivokuwa anazungumza inaonekana lilikuwa ni jambo lilio ndani ya uwezo wake kuwadhuru magaidi hawa...
Nimeanza na maandiko matakatifu yasemayo "Linda moyo wako kuliko kitu Chochote kwa maana ndiko zitokako chemchem za uhai" (2026 dedication)
Mnaposema wamekufa muwe mnasema wamekufa wakiwa...
Nauliza tuu wana bodi hivi namba 1 na namba 2 walikaa pamoja na wasaidizi wao wakaona watuletee namba 3?? Walitumia vigezo gani?? Au tuwaache tuu waendelee na mambo yao sisi hayatuhusu??
Serikali ya kidikitea. Haiko madarakani kwa lidhaa ya wananchi huwa haina sababu ya kujali mahitaji ya wananchi.
Hii serikali ya haramu iliifungia Jamiiforums kwa siku 90. Siku 90 zilishaisha...
Mfalme Daudi licha ya kuwa ni mteule wa Mungu hakukaa tu na kutegemea maombi kuwakomboa waisrael kutoka kwenye ukatiri wa wafilisti. Daudi alimuua Goliathi kwa mapambano ili kuwaokoa waisrael na...
Rais Samia Suluhu Hassan bado yumo katikati ya tatizo kubwa na tishio la maisha yake mwenyewe...
Rais Samia Suluhu Hassan bado anatafunwa na kufunikwa na KIBURI na JEURI kwa sababu ya madaraka...
Naami heading pekee inajitosheleza kuelewa nachotaka kuongelea
Imekuwa kawaida kwa mashirika na taasisi mbalimbali za serikali kudai fidia pale mteja anapoenda kinyume na makubaliaono ya awali...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amefika nyumbani kwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu. Leonard Qwihaya, Mbezi Beach...
Chama Cha Mapinduzi kimeibuka na ushindi katika uchaguzi mdogo wa mbunge Fuoni Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar.
Matokeo ya uchaguzi huo yalitangazwa usiku wa jana Desemba 30, 2025 katika ofisi...
Wanasemaga kaskazini hatokagi fala. Sasa huyu jamaa anayejiita Paul Makonda, alitoa ahadi kama anaongea na wanafunzi wa chekechea—ahadi hizo ziko wapi? Kwa sasa yuko zake Morocco kwenye AFCON; no...
"Kitu cha thamani ‘mbunge’ anawafanyia wananchi Dodoma Mjini ni kuwapa ‘gari la mazishi’ wakazikane? Kupanga ni kuchagua. Wananchi wa Dodoma Mjini walichagua ‘gari la mazishi’ siyo ‘gari la kubeba...
Internet haisahau.
Miaka 12 iliyopita katika kesi ya Lwakatare, aliyekuwa mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliwatuhumu mpiga picha wa Rais Kikwete wa wakati huo...