Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wale raia waliokuwa na silaha na wakichangamana na polisi kukamata mashabiki wa Chadema wametokea wapi? Nani amewatuma? Je, ni salama kwa shughuli za Jeshi la Polisi kufanywa na raia waliobeba...
7 Reactions
107 Replies
14K Views
Si mseme tu Kwamba mlifunga kanisa ili kuhakikisha huyo Shetani anakuwa Rais, Sasa hivi hata akihubiri siasa madhabauni mbona hamlifungii tena. Hii Serikali na huu utekaji na uuaji wanaona...
1 Reactions
4 Replies
209 Views
Vyombo vyetu vya usalama kumbe wakati mwingine wale wanaovidharau na kuvikebehi wanastahili kusikilizwa. Inakuwaje jambo Zito kama hilo wanaleta taharuki kumbe hakuwepo na hata linalo fanana...
2 Reactions
6 Replies
200 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amesema kuwa suala la kuahirisha safari za treni au ndege kutokana na hali ya hewa ni jambo la kawaida, hata katika nchi...
2 Reactions
39 Replies
854 Views
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda lililopo Mkoani Morogoro. Akizungumza baada ya ukaguzi huo, Dkt. Mwigulu amesema kuwa...
0 Reactions
0 Replies
155 Views
Ni nani kati yetu ameshafika pale Soga kwenye ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR!? Ni wangapi wanajua ABC zake!? Ni wangapi wanachukua hatua ya kukemea ama kupiga kelele? Yaliyotokea Upanga kwenye...
70 Reactions
222 Replies
21K Views
https://youtu.be/aVlUdCvR93Q?si=quqP1lgRF2pBKGJw Sijui ile Tume ya mchongo chini ya Jaji Othumani Chande inatafuta nini tu wakati ushahidi wa ushiriki wa vyombo vya dola (Polisi, TISS, magereza...
13 Reactions
20 Replies
801 Views
viongozi wa kiafrika tunapaswa kuiga nchi zilizo endelea tuache ujinga na upumbavu
1 Reactions
6 Replies
192 Views
- Autaja mradi wa ujenzi wa mabwawa ya kuhifadhi maji ya Mvua eneo la Kidete. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 amezungumza na wakazi wa Tindiga wilaya ya kilosa mkoani...
0 Reactions
1 Replies
172 Views
Leo tarehe 30 Disemba, 2025 Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Kuu Dodoma ikiketi chini ya Jaji Ephery Kisanya imetoa uamuzi wa muhimu katika kesi dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuhusu...
2 Reactions
14 Replies
462 Views
Mtu hawezi kuua watu vile kama hana ushirika na jeshi, nchi zenye jeshi lenye msimamo kama wa Gen Z asingefanya yale, jeshi ni la kulaumiwa sana
3 Reactions
31 Replies
603 Views
Kitabu cha Torati kinachosomwa na dini kuu 3 duniani yaani Uislamu, Ukristo na Uyahudi kina hadithi ya kusisimua sana kuhusu nabii mmoja wa kale aliyeitwa Mussa. Hadithi ya maisha ya Mussa...
6 Reactions
5 Replies
298 Views
Askofu Gwajima amesema hakubaliani kabisa na utekaji. Ameongeza kuwa watekaji sasa hivi waa ujasiri wa kukupigia simu na kusema watakuteka, na watu watakusahau. Kuna watu wamekimbia nchi kwa...
8 Reactions
19 Replies
817 Views
Huko serikalini ni kama watu wamepanick hata hawaeleweki. Sababu nikwamba hawaelewi washike lipi waache lipi. Mambo ni mengi: . Ukosoaji unaongezeka . Utekaji unaendelea . Shinikizo kutoka ndani...
2 Reactions
4 Replies
142 Views
Kuna mpasuko wa kidini unaanza kunukia Tanzania na ukifuatilia kwa makini utagundua mgogoro huu unaongezeka kila siku. Cha kusikitisha Chanzo kikubwa ni wanasiasa, wale wale waliofanya makosa...
9 Reactions
51 Replies
2K Views
Sisi kama vijana tumevumilia changamoto hii kwa muda mrefu sana. Tumekuwa tukinyamaza, tukifanya kazi, tukijaribu kusukuma maisha, lakini kwa kweli mambo yamezidi kupindukia. Tumefikiria sana...
7 Reactions
11 Replies
494 Views
[Jina lako kamili] [Anuani yako kamili – mtaa, kijiji/kata, wilaya] Simu: [Namba yako ya simu] Barua Pepe: [Ikiwa unayo] Tarehe: [Andika tarehe ya leo, mfano: 28 Julai 2025] Kwa: Meneja wa...
2 Reactions
5 Replies
342 Views
Waislam ndio walikua front kupigania uhuru, ukisikiliza hotuba yake mwalim Nyerere Bagamoyo aliwashukuru waislam kuwa mbele kupigania uhuru ambapo taasisi nyengine zilikua kimya. Ndio hivi sasa...
3 Reactions
35 Replies
822 Views
PART 1. Ndugu zangu Watanzania! Amani ya Bwana na iwe nanyi! Ashukuriwe Mungu kwa kutuwezesha kuuona mwaka mpy kwani siyo jambo rahisi kwetu Sisi watanzania baada ya kushuhudia maelfu ya watu...
4 Reactions
2 Replies
206 Views
Ameandika Wakili Peter Madeleka kupitia mtandaoni; "Huo hapo ni uamuzi wa Mahakama na ni halisi (Authentic). Kimsingi, haueleweki na Hautekelezeki kisheria. Haiwezekani Thadey Sabinus Kweka...
3 Reactions
9 Replies
347 Views
Back
Top Bottom