Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

=== Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Ubia nchini (PPPC), Bwana David Kafulila, amesema kuwa wakati wa kupitisha sheria za ubia, Tanzania iliruhusu kutatua migogoro kwa mamlaka za ndani. Hata hivyo...
9 Reactions
30 Replies
548 Views
Kuna tetesi kuwa kutakuwa na maandamano makubwa sana hapa nchini ambayo yatakuwa mahususi kwa ajili ya kuwakumbuka wananchi na raia wema waliouwawa Oktobab 29 mwaka 2025. Japokuwa rais Samia...
6 Reactions
43 Replies
682 Views
Ahadi za mwana TANU 1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja 2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote 3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma 4...
2 Reactions
2 Replies
114 Views
September 25, viongozi wenzetu na wanachama watakuwa na mashauri yafuatayo kwenye mahakama mbalimbali hapa nchini. 1. Dsm, criminal session No 19605/2026 shauri la Uhaini dhidi ya Mwenyekiti wa...
3 Reactions
8 Replies
212 Views
Hali Hii imeleta jambo Jipya Duniani, hasa baada ya chama hiki kuwa Maarufu zaidi kwenye Dunia huku kikiwa hakina hata Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa, Kinafuatiwa kwa mbaali na Republican ya...
4 Reactions
9 Replies
213 Views
Mungu wa CCM na Mungu wa Mwenyekiti wa CCM, siyo sawa na Mungu wa CHADEMA na Lissu. Hawa ni Mungu tofauti. Mungu wa Mafwele, Wambura na Mkunda, Mulilo siyo sawa na Mungu wa wengine. Na...
19 Reactions
80 Replies
1K Views
Mimi sishangai kamwe, katuga huyu huyu baada ya hii kesi ambayo inatarajiwa kufutwa baada ya Lisu kuwavua chupi hawa mawakili pompooo wa serikali kupewa ujaji. Kama aliyekuwa hakimu kesi ya mbowe...
0 Reactions
3 Replies
65 Views
Tukomae, Tupambane, ni mwendawazimu pekeee ambaye anaweza ku normalize Mauaji ya Oktoba 29, na kukaa na Samia, na kupiga Picha eti 'Tumeyamaliza'. Vijana waliuliwa kwa Risasi za Kivita , Snipers...
7 Reactions
4 Replies
137 Views
Hivi CCM ninyi matuchukuliaje watanzania. Hivi mtu anakuwaje Jeuri na anajikuta mkubwa kuliko nchi na hatoki ofisini.. Tizama aibu tuliyoipata..
8 Reactions
44 Replies
840 Views
Mambo yote yafanyike kama yanavyopangwa nia iwe kukomoa au kutenda haki. Lakini ikumbukwe kuwa Kuna mwisho na ni vizuri mwisho ukawa mzuri. Zaidi ya yote kumbukeni kwamba kuna uwezekano wa...
7 Reactions
18 Replies
342 Views
Akizungumza wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Laban Kihongosi, amewataka wananchi kutokubali kushawishiwa kushiriki maandamano kwa...
2 Reactions
32 Replies
385 Views
Vyombo vya usalama vya Tanzania Wapo makini kuilinda serikali inayoua watu wake na kufanya uchafu mwingi lakini vimeshindwa kuilinda nchi. NB.hali sio nzuri "YOU BERA WATCH YOUR BACK"
2 Reactions
12 Replies
212 Views
Wamasai na serikali walizozana kuhusu ardhi ya Loliondo. Hili suala kulikua ni, haki ya jamii au ni maslahi ya taifa ?
0 Reactions
4 Replies
69 Views
Jambo Moja la Uhakika ni kua, CCM hasa hili Genge lao la wahuni, linatabirika , sio watu ambao Wana Akili. Tungeendelea kufanya Siasa ambazo, zinawalazimisha Kufungulia watu Kesi za Ugaidi, kuita...
1 Reactions
2 Replies
53 Views
Heshima sana wanajamvi, Makamu wa Rais Ndejembi alihutubia UN na kusisitiza suala la kulitambua taifa la Palestine. Hivi taifa la Palestine likitambuliwa linatusaidia sisi waTanganyika. Kuna...
20 Reactions
60 Replies
985 Views
Kiongozi wa CHADEMA alikamatwa na kushtakiwa kwa ugaidi, lakini aliachiwa. Je, ilikuwa haki au presha ya kisiasa ?
0 Reactions
3 Replies
59 Views
Mzee Nchimbi, sio lazima utafute Mawazo kwa Wazeee katika suala dogo kama hili.. Kimàhesabh, Ukijiuzulu wewe mwenyewe kama Alivyofanya Lowassa, Utaonekana wewe ndio Snitch, Mkorofi, uliyekua...
17 Reactions
50 Replies
1K Views
Taifa límejaa Hudhuni sana ,vilio Kila Kona, Kuanzia kutekwa, kupotezwa, Kuuliwa, mpaka Hela mfukon kwa wéngi imepotea !!!. Vita dhidi ya Kanisa imepamba moto, Viongozi kufa ni Sherehe kwa...
4 Reactions
6 Replies
116 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…