Na kale kambaumbau kao kule duniani kako bize na 'vimbavu' vyake eti "hizo ni drama tu kupotezea kupanda mafuta". Hivi wapi hakujapanda mafuta?!!!! Nyambaaaf
John Heche ni moja ya viongozi ambao wapo loyal na harakati za upinzani na amekulia humo tangu akiwa kijana mdogo.
Na alikuwa chaguo zuri sana la kuwa Makamu Mwenyekiti ila tu katika mazingira...
Ukiangalia namna ya mambo yalivyotokea ile Oktoba 29 mwaka 2025 ni wazi kuwa hii serikali iliyopo madarakani haikuchaguliwa na wananchi.
Haipo madarakani kwa mujibu wa ibara ya 8(1)(a) ya katiba...
Kwa ujumla raisa Ameqakosea wananchi ambao wanalipa kodi ili kulipa mishahara ya Wabunge na posho zao.
Kama hili bunge lisingekuwa rubber stamp ilipaswa rais Samia aondolewe madarakani kupitia...
Bado mtatudanganya Muungano Una faida? Bado mtatudanganya faida za Muungano ni pamoja na usawa wa kiuchumi?
Tanganyika mafuta 4000 Kwa lita Zanzibar 2900?
Kwamba kodi za mafuta Tanganyika...
Ulituambia ndani ya siku 100 utaanzisha mchakato wa katiba mpya, leo ni siku zaidi ya 150
Tuliona ukazuga na Warioba na kupiga picha ili akusafishe,
Nakuonya kwa Mara ya mwisho ili la katiba...
Ukiambiwa dunia duara, au ukaambiwa malipo ni hapahapa duniani ukae uelewe na usibishe.
Wakati Tundu Lisu anasaliti harakati za rais wa awamu ya tano hayati Magufuli, Chadema walikenua meno na...
Habari wana jamvi.
Mwaka jana baada ya timu ya Arsenal kufanya vibaya kwenye ligu kuu ,mashabiki wake kote duniani walipaza na kumzomea kocha mkuu Wenger aondoke ili kupisha mabadiliko ya...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Aprili 6, 2026 anakagua madhara yaliyotokana na kuungua kwa soko la wafanyabiashara wadogo la Simu 2000, lililopo Ubungo jijini Dar es Salaam.
Ajali hiyo ya...
Takwimu ziko wazi kipindi Nyerere anapigania uhuru asilimia kubwa ya watanzania walikuwa wajinga
Kuwatetea kundi lenye watu wajinga wanaijiita machawa au mazuzu ni gharama kubwa sana.
Nyerere...
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba leo Aprili 06, 2026 wakati akiongea na wafanyabiashara waliounguliwa na vibanda vyao eneo la Mawasiliano, Ubungo ametoa wito kwa wananchi kulinda amani ya nchi na...
Taarifa ya Azam inaeleza kwamba soko la Mbuyuni huko Moshi linateketea usiku huu.
Moto umeanza usiku wa saa 7 tarehe 06/02/2024
Hivi kwanini masoko hayaungui mchana?
============
Kufuatia...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa wito kwa viongozi kubuni vyanzo vipya vya mapato na kuacha sheria za kikoloni za kukandamiza watu ili kupata mapato. Ameyasema hayo leo Aprili 6, 2026...
Kuteuliwa kwa huyu mama mwenye kila kashfa ambae alitakiwa kua jela bado mna mashaka kwamba Magufuli hakuzungukwa na chatu?
Kuachiliwa kwa Seth Singa Singa wa IPTL bado watanzania mko usingizini...
CCM na huyo Samia wao, wametenga hela nyingi kwa Content Creators ili wawe wanahoji mambo ya kijinga ili kuwasahaulisha watu Ugumu wa maisha, Ripoti ya CAG na Mauaji waliyofanya tarehe 29 Oktoba...
Pamoja na kusifiwa sana, rais Mama kazidi. Jana, kwa kutumia viti kumi vya rais vya ubwete, alimteua mtu wake aka black box ya mama Angela Kizigha kuwa mbunge. SIyo huyu ambaye marehemu Magufuli...
Tunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi?
Mkweli hata Kama Ukweli unauma ila anausema hata Samia na NYERERE wako kapu moja, tumeshuhudia mara kadhaa nyerere alisema kuna rushwa ndani ya...
Wakuu,
Ibara ya 15 kwenye katiba ya Tanzaia inampa mamlaka Rais kutoa msamaha kwenye kosa LOLOTE ambalo atakutwa na hatia nalo.
Anaweza kumwachia huru mtu kwa muda maalumu au moja kwa moja mtu...
Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Gidel Kiswaga akizungumza leo Aprili 2, 2026 kwenye Bunge la 13 Mkutano wa 3 kikao cha 3 Dodoma, ameeleza kuwa kulingana na hali ya kukosekana kwa mafuta...