Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni General Dan Caine, mkuu wa majeshi ya Marekani [Chairman of the Joint Chiefs of Staff]. Nimemtazama na kumsikiliza leo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika baada ya operesheni ya...
64 Reactions
96 Replies
3K Views
https://x.com/NNgabu_/status/2010247428734361807?s=20
0 Reactions
0 Replies
214 Views
1. Wewe unajua kabisa kuwa waliopiga kura ni wanafiki wasiofika hata milioni 1 nchi nzima na wewe unayejidai ni mtu wa dini sana ukakubali kutumia takwimu feki eti wapiga kura waliojitokeza ni...
27 Reactions
55 Replies
1K Views
  • Redirect
Kuna vitu vinafanywa na serikali ukiviangalia vinaumiza, vinatia watu hasira. Na Hata hakuna anayejali, au kuumia kama ambavyo wananchi tunaumia. Hapo juu Kuna Picha nne, ingawa nimeziunganisha...
2 Reactions
Replies
Views
Ujanja wa CDM kutengeneza scenario ya makada wao kuwa wametekwa wakati wanatekana wenyewe kwa wenyewe umegundulika kuna mamia ya wanachama wametekwa na viongozi wa juu wa CDM hii yote ni...
1 Reactions
40 Replies
735 Views
Nasikia walikuwa Ikulu jana wanamichezo. Anakusanya 'hooligans" because these so called michezo eg football are rooted in hooliganism ( refer to football hooliganism ). Anawagawia bibahasha vya laana
5 Reactions
10 Replies
360 Views
Awali ya yote napenda niwasalimie shikamooni! Pia nisiache kuwasalimu kwa kauli mbiu ya "KAZI NA UTU" Mh waziri pamoja na Mrajisi Mkuu tifa ,baada ya salama naomba nisiwachoshe niende Moja kwa...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
"Hawa watu wametukaba koo kweli"; Alisikika Mwigulu Nchemba akimwambia Jakaya Kikwete ktk korido za Lumumba "Na sisi tutahakikisha tunatumia kila njia kujisafisha, na kama mbwai basi na iwe mbai...
6 Reactions
11 Replies
485 Views
Utasikia makada uchwala wanaongea hadharani kuwa TEC wanaifadhili CHADEMA tena bila hata aibu huku wakijua upuuzi wanaousema hauwezi kukubalika na mtu yoyote. Mtu mpuuzi analipwa pesa na kufanya...
5 Reactions
7 Replies
241 Views
Nilmjua katambi akiwa chadema Hana sifa na hadhi ya kuwa WAZIRI WA mambo ya ndani kama ambavyohafai chawene. Magufuli alimchunguza na kubaini jamaa anatembeza sura na kitombo IKULU akamtumbua je...
5 Reactions
20 Replies
765 Views
Vijana wa Jimbo la Mlimba, mkoani Morogoro, wameonyesha mshikamano mkubwa kwa kumsukuma gari la Mgombea Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalim, mara baada ya kumaliza...
2 Reactions
3 Replies
233 Views
Simbachawene ameonekana kuwa mkubwa kuliko samia mwenye ushawishi ndio maana wahuni wamemtoa asisikike. Nchi upumbavu mwingi sana hii tusitarajia mabadadiliko yoyote tena bali ni upumbavu tu
7 Reactions
26 Replies
830 Views
Kitabu The Prince, Mwana Mfalme, ni kitabu kilichoandikwa na mwanasias wa kale katika dola la Roma, Niccolo Machiavelli, mwaka 1513. Huyu aliangalia utawala ulivyokuwa, misingi yake, kuendelea au...
5 Reactions
13 Replies
402 Views
Hamjambo! 1. Moja ya mambo yaliyonifanya niandamane na kunusurika kuuawa ni pamoja na kupinga Utekaji, mauaji, wasiojulikana na siasa zisizo za haki kwa wapinzani. Ingawaje sina chama lakini mimi...
1 Reactions
1 Replies
253 Views
Let us wait and see baada ya miaka 3 iliyobaki ya Trump!
4 Reactions
38 Replies
755 Views
Kwa nini asiwachague Wazanzibar wastaafu wamshauri? Watanganyika tukatae hili, kama anaweza kutawala akawatawale Wazanzibar wenzake
1 Reactions
3 Replies
242 Views
Askofu wa Kanisa la Matendo Makuu ya Mungu nchini Tanzania kutoka Ushirika wa Wachungaji wa Kipentekoste, Askofu Pius Ikongo, amesema Kanisa Katoliki nchini Tanzania chini ya Baraza la Maaskofu...
8 Reactions
97 Replies
3K Views
Dongo la Mwigulu siku ya leo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
4 Reactions
47 Replies
1K Views
Somo hili nalileta kwenu kwa ujumla yaani lina cut across kada zote zinazotakiwa kuhudumia jamii na pia jamii yenyewe inayotakiwa kuhudumiwa. MOSI: Lazima mjitambue kwamba ninyin ni watanzania na...
0 Reactions
1 Replies
160 Views
Katika taarifa zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii, NICODEMUS LOYORE ameachiliwa huru mchana wa leo, baada ya kukamatwa tangu tarehe 19.12.2026. Loyore alikamatwa akiwa ofisini kwake jijini...
9 Reactions
14 Replies
778 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…