That is called natural law. Ni uwezo wa binadamu kufahamu kuwa kipi ni sahihi na kipi kibaya.
Mpaka sasa Watanzania wameshatambua kuwa rais Samia hawafai. Maana hakuna anachowasaida zaidi ya...
Friends and our Enemies
Katika muendelezo wa kumshukuru Allah muumba wa mbingu,ardhi na vyote vilivyomo naendelea kuipongeza serikali inayoongozwa na Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea...
Mwanamtandao Clemence Mwandambo ameweka bayana kuwa anampenda rais Samia na kazi zake zote, na hakubaliani na wanaosema kuwa 'Samia Must Go', amehoji kuwa sasa ndo amekwishaondoka, je hapo kwenye...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema...
Mimi ni mzalendo sijiiti mwanaharakati ninaumia na mambo yaliyopo maana yake unakuta katika nchi ya Tanzania walioajiriwa serikalini wanajikuta mabosi wa wananchi"
Hayo ameyasema Clemence...
“Kama CHADEMA isingefungiwa kufanya shughuli zake za kisiasa, huenda matukio ya tarehe 29 yasingetokea,” ilielezwa katika mjadala wa One Against One kati ya mtangazaji nguli Chief Odemba na Wakili...
Watu wa ndani wanasema waziri aliandika barua ya kujiuzulu baada ya kiburi cha maafisa wa Polisi na maovu mengi aliyokutana nayo.
Kama Polepole, Mama Samia kabadilisha na kujifanya kumtengua kwa...
Huyu mkulungwa ukiangalia hulka zake, sio mtu wa kutaka madaraka kwa nguvu, na sio mtu wa kubeza raia. Na ni wazi na dhairi kuwa CCM bado kuna watu wanataka mabadiliko.
Mchizi ni kama ana...
Hii Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu(ICC), mbona inachukua muda mrefu sana hata kutoa taarifa ya wapi wamefikia au ni kinaendelea?
Jamani tufanyieni wepesi basi kabla machungu...
Habari wana Jf,
Naomba kufahamu ni kwanino Wanzibar wanayaita mapinduzi ya kumng'oa Mkoloni wa kiarabu ni Matukufu? Au kwa lugha nyingine "yaliyotukuka"??
Ni nini hasa kinachopelekea yaitwe...
Wanabodi, leo kuna msomi mmoja Bw. Kidawi Limbu, amethibitisha pasi shaka kuwa uchaguzi wa Zanzibar wa 2015, kama usinge futwa, Maalim Seif Shariff Hamad, wa Chama cha Wananchi CUF ndie angelikuwa...
Wanabodi,
Kwanza tazama na kusikiliza mahojiano haya kwa kituo!.
Utangulizi: Somo la Historia ni somo la mambo ya kale kwa lengo la kujua yaliyotokea nyuma, kulinganisha na yanayotokea sasa, ili...
Wanabodi
Vyanzo vya kuaminika vimethibitisha kwa "Atheer" taarifa za kifo cha Mheshimiwa Sayyid Jamshid Al Said, Sultan wa mwisho wa Oman aliyekuwa Zanzibar, akiwa na umri wa miaka 95, baada ya...
Wadau, Amani Iwe Juu Yenu, Nimekua Nikifatilia Michango Mbalimbali Ndani Na Nje Ya Tanzania. Binafsi Napenda Siasa Na Harakat Zake, Kuna Kitu Kimejificha Na Hakisemwi Kuhusu Zanzibar!
Jambo...
"Nimeona umati mkubwa wa watu waliovaa vizuri, watu ambao wana malengo, watu ambao wanajielewa".
"Nikaangalia angalia kama kuna aliyevaa dera au kijora lakini sijaona". Abate Christian Temu OSB |...
Mwanadiplomasia mkubwa ambae pia ni Waziri wa mambo ya nje Jamuhuri ya watu wa China, Wang Yi, Januari 10, 2026 alipofanya ziara Ikulu Jijini Dar es Salaam alitoa kauli ya kuonya Mataifa ya...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa hakuna siku itatokea chama hicho...
Wasalam wandugu,
Kuna mambo mawili yananipa shida, pia yanampa shida mkulu,
Mosi, mapinduzi ya Zanzibar, kila mwaka tarehe kumi na mbili January kunafanyika sherehe ya mapinduzi ya Zanzibar...