Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uzi wangu uliopita umefuta, ila lazima haki ipiganiwe Mnakumbuka hii picha kwenye hii ziara Matokeo yake ni kuwa Manchester United ilipewa tender ya karibu dola million 19 sawa na TZS...
0 Reactions
2 Replies
237 Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Waliaandaa mpango ambao walikuwa na uhakika nao kuwa utaua vijana wengi wasio na hatia. Vijana walipewa pesa na ahadi lukuki kama watakubali kujitoa mhanga kuiangusha serikali. Waliwadanganya...
3 Reactions
72 Replies
1K Views
Puuzi so.called Waziri wa Mambo ya Nje Anampongeza kwa kupata asilimia 98. Hakuongelea mauaji yaliyotokea 29.10.2025. Huyu ndiye adui wetu!
3 Reactions
12 Replies
331 Views
Wanajua yote yanayoendelea mradi wa Mwendokasi kua; Emirate wamewekwa kama bortion lakini nyuma ya pazia yupo Mwanae Wanajua kua anae endesha mradi wa mwendokasi wasasa hivi anakula na baadhi ya...
11 Reactions
23 Replies
628 Views
Wiki iliyopita nilikuwa Kigoma katika pitapita zangu nikapita katika Barabara hii ipo Kijiji cha Matyazo, Wilaya ya Kigoma Vijijini, Barabara hiyo kutoka Kalinzi hadi Matyazo ndiyo njia kubwa ya...
0 Reactions
3 Replies
235 Views
  • Redirect
Maisha ni fumbo kubwa sana. Uzi tayari
0 Reactions
Replies
Views
Japokuwa ni wachache waliofanya huu upuuzi. Lakini kwa ujumla Gen Z ni kizazi cha hovyo kabisa hapa nchini. Yaani mtihani wa taifa mtoto anajibu matusi ya nguoni!
2 Reactions
20 Replies
526 Views
Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita ameanza ziara yake ya siku saba kwenye majimbo ya mikoa ya Dar es Salaam, jana tarehe 10 januari amekutana na kufanya mkutano...
1 Reactions
6 Replies
263 Views
Hakuna namna ya kuficha ukweli huu kwa mapambo ya maneno: udhaifu wa Rais wa sasa unatokana moja kwa moja na ukweli kwamba hana uhalali wa kisiasa wala wa kimaadili. Huyu si Rais wa ridhaa ya...
22 Reactions
20 Replies
786 Views
Watu wanafikiri kuasi au waasi ni kwa jeshi tu hapana muasi anaweza kuwa mwanasiasa rais, mbunge au diwani Sasa lazima tujue rais anapogeuka muasi na kiburi dhidi ya nchi tunamchukulia hatua gani...
2 Reactions
2 Replies
100 Views
  • Redirect
Makamu Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo bara, Isihaka Mchinjita, amehoji ukimya wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kushindwa kuchapisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kwenye...
0 Reactions
Replies
Views
Kama itakusaidia kufanya kazi zako ( of which I do not expect from you), basi itumie. Sikiliza clip hii
3 Reactions
4 Replies
264 Views
Mtangazaji wa Clouds Media, Adam Mchomvu, amedai kuwa "Mimi kodi yangu asipewe mchezaji" akisema, hali ya miundombinu, kama barabara za ndani ni mbovu kila chocho, wagonjwa wengi hawapati dawa, na...
18 Reactions
26 Replies
771 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko makubwa ya kimkakati katika safu ya washauri wake, akiwateua aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, na...
14 Reactions
86 Replies
3K Views
Mwanamitandao Clemence Mwandambo amesema amekuwa akitumia video anazochapisha mtandaoni katika kuwashauri wanasiasa na kuwasilisha mawazo yake, lakini mara nyingine wanasiasa wamekuwa hawataki...
8 Reactions
30 Replies
924 Views
..Othman Masoud anamuona Hussein Mwinyi kama mateka asiyeweza kuitetea Zanzibar, hadhi, maslahi, na haki zake. ..Hussein Mwinyi anamuona Othman Masoud kama mchochezi asiyetaka Wazanzibar wawe...
12 Reactions
225 Replies
18K Views
KABENDERA ANADAI BEN SANANE ALIUAWA NA 'BWANA MKUBWA'! Mwishoni mwa mwaka 2020, nilipata ujumbe mzito kutoka kwa Rais Magufuli kupitia kwa mtu wake mmoja ambaye jina lake linatunzwa. Rais...
81 Reactions
456 Replies
27K Views
Tuna utawala duni na wa ajabu nyakati hizi kuliko wakati wowote. Watawala wamenyimwa hekima, ufahamu na maono, kwani wanajitengenezea kaburi lao wenyewe. Wajinga wanaamini kuwa kulishambulia...
11 Reactions
29 Replies
763 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…