Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais ni mwanasiasa sio mungu inapaswa achukuliwe kama mjumbe wa nyumba kumi au mbunge mitizamo hasi juu ya rais ni kichocheo cha matatizo. Rais ni mwanasiasa yule ni sawa na mbunge tuwekeni...
3 Reactions
7 Replies
201 Views
Samia unataka kuridhiana na nani baada ya kuua maelfu ya vijana wa kitanganyika wasio na hatia yoyote? Kabla ya uchaguzi ulianza kuteka wananchi waliokuwa wanakukosoa na kuwapoteza. Majina tunayo...
34 Reactions
48 Replies
2K Views
Mtume Mwamposa akiongea na waandishi wa havari juu ya Mkesha wa Vuka na Chako unaofanyika leo katika Viwanja vya Kawe DSM amesema moja ya jambo lililomsikitisha mwaka 2025 ni mauaji yaliyotokea...
8 Reactions
38 Replies
1K Views
Huyu kigagula alipofikia ni pabaya. GenZ yeyote atakayethubutu kuvamia magereza kisa kaambiwa na shetani Maria ajue kitakachompata sio kitu kizuri. Anaweza pata ulemavu wa kudumu au kifo...
1 Reactions
35 Replies
591 Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao...
30 Reactions
300 Replies
21K Views
https://youtu.be/4ZAYXzEBXt8?si=izBx2goyWhBTHUYH RV Mahuburi ya Askofu Josephat Gwajima Jana katika mkesha wa mwaka mpya kanisa GCTC - UFUFUO NA UZIMA yalikuwa too philosophical, indirectly...
4 Reactions
2 Replies
329 Views
Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu nchini Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Said Mwaipopo amesema sababu ya Chuki na ukosoaji unaofanywa na Waziri Mkuu mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba ni kutokana...
1 Reactions
6 Replies
350 Views
Nafanya mengi lakini ile siku ya oktoba 29, 2025 imegoma kutoka kichwani, sitasahau kabisa, nimekata tamaa kabisa ya maisha haya chini ya jua uzalendo wangu wa nchi hii uliishia pale! sina imani...
20 Reactions
41 Replies
655 Views
Tusipokuwa makini, hiki kijundi cha tekateka kitaishia kuwa kikundi cha kigaidi kitakachosumbua sana Taifa.
5 Reactions
28 Replies
610 Views
Nimesikiliza kwa makini sana interview Yako na Jambo Digital Tv Online, mwishoni Mwandishi akakuuliza yake yaliyotokea Tarehe 29 Oktoba 2025 ukamjibu iundwe Tume ya Mahakama ya Truth and...
0 Reactions
9 Replies
306 Views
Hamjambo! 1. Kama mnakumbuka vizuri. Baada ya MO29 moja ya mbinu nilizoandika zitakazoshusha hasira za watu ni pamoja na Samia Suluhu kutozungumza zungumza mara kwa mara kwenye luninga. 2...
8 Reactions
93 Replies
3K Views
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amesema Kanisa halitayumbishwa wala kujadiliana katika masuala yanayohusu imani yake, akisisitiza kuwa yuko tayari kuisimamia imani hiyo...
5 Reactions
3 Replies
365 Views
Napenda kueleza hisia zangu kuhusu haya yanayoendelea nchini Tanzania, kiasi cha kuundwa rasmi team mbili kuu. Yalianza rasmi enzi za Magufuli, kutekwa risasi, kufungwa kufilisiwa nk. Huenda ni...
3 Reactions
6 Replies
248 Views
Sina mengi ya kueleza kila mtu aliona, what he did that strong and patriotic man. Kwa mtizamo wangu ,the man anastahili kupewa Tunzo ya kupigania Taifa na rasimali zetu, akiwa the best soldier...
3 Reactions
7 Replies
280 Views
Siku tume huru ya uchaguzi ikipatikana ccm hawana chao tena nchi hii. Chadema ilikuwa inapendwa hata kabla ya haya mauaji ya halaiki ya watanganyika. Baada ya haya mauaji ya kikatiri nadhani ccm...
6 Reactions
10 Replies
248 Views
Kila baada ya nusu saa gari za polisi zinapita .GEN Z leo hatuna mengi tumewapa muda wa kutosha . Karibuni
3 Reactions
2 Replies
194 Views
Na watanzania tulivyo wa ajabu, na licha ya kuwa tulitukanwa kuwa hatufanyi kazi bado tumejazana kwenye kuview nyimbo zao. Inashangaza sana kuona wasanii tena wakubwa waitanzania ambao wanahamasa...
6 Reactions
26 Replies
749 Views
Makamu mwenyekiti CHADEMA bara John Heche anandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kuhusu TRC Kusimamisha safari za SGR kutoka Morogoro -Dodoma kutokana na athari za mvua. "Mradi wa reli ya...
4 Reactions
6 Replies
333 Views
Huwezi kuua watu, miili ya watu umetupa porini, mingine umefukia makaburi ya halaiki, unaendelea kuteka na kuwabambikia watu kesi, halafu ukasema unataka maridhiano!! Ni upuuzi wa hali ya juu...
3 Reactions
0 Replies
150 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…