Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Labda kama wao hawakuzika ndugu zao ile MO29 na itafka sku tu watatoa ya moyoni kwa yanayowakuta hasa hawa wakuu wa Mkoa ambao walikubali kutumika kuua Raia majumbani mwao! Nategemea wabunge...
1 Reactions
7 Replies
198 Views
Ndani ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA hali si shwari baada ya baadhi ya wanachama kutaka kuingia kwenye Uchaguzi ili kumchagua Mwenyekiti baada ya Tundu Lissu kusota Rumande kwa mda...
1 Reactions
32 Replies
617 Views
Wakuu, ni Nabii Rolinga ten, Mtumishi wa Mungu ambaye Karama yake ya Unabii siku zote imetimia !!. Awaonya wanaofungua makanisa , awataka washughulike na MTU na sio Waumini . Asema, Hamna Mfalme...
30 Reactions
169 Replies
8K Views
Kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika Twaha Mwaipaya juu ya jeshi la polisi kuwanyima ndugu wa clemence Mwandambo haki ya kumuona na baadaye kuchukuliwa mbele ya ndugu zake. "Jeshi la...
5 Reactions
16 Replies
570 Views
Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!! Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana...
18 Reactions
75 Replies
1K Views
Wakuu, Mwanasiasa mkongwe na mzoefu, Dkt. Mary Michael Nagu, amejiunga rasmi katika mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuchukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Hanang...
11 Reactions
118 Replies
6K Views
Mama anjotahidi sana kuwanyanyua vijana kwa kuwapa ajira ambazo zinmwagwa daily kiti ambacho jpm aliamuaa makusdudi kuwaangamiza vijana kwa kutotoa ajira kwaa muda wake wote. Hata zile chache...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi. Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha...
11 Reactions
120 Replies
3K Views
It was just like a sucker punch...! Hii inaitwa mwana kulitafuta mwana kulipata! Hit them where it hurts! {Severely} Vuna vyote lakini kamwe usivune aibu! Hasira za TK sijui ataangushiwa...
13 Reactions
32 Replies
845 Views
Asante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado..... Well done our security forces...
13 Reactions
87 Replies
3K Views
KADA wa CCM Hussein Bashe anatajwa kuwa ndiye chanzo cha kuvuruga Kikao cha Kamati Kuu kilichopangwa kufanyika leo cha kupitisha majina ya wagombea ubunge wa majimbo na viti maalum baada ya...
10 Reactions
95 Replies
7K Views
Leo siku ya 5 huko Iran Maandamano yanazidi kupamba moto na hakuna watu waliouliwa kama kuku Imagine hapa kwetu oct 29 tu ndani ya siku moja jitu limetoa oda ya kuua watu zaidi ya elfu 10 Yaani...
30 Reactions
103 Replies
2K Views
Sasa nataka kujua wale wa Oktoba tunatiki, semeni mtatiki wapi? No reforms no Election yatinga Meza Kuu za CCM. Kiko wap? 🤣🤣🤣🤣 Haya Muliro jiandae kuwagonga Virungu vya Ugoko na CCM wanaotaka...
59 Reactions
144 Replies
11K Views
  • Redirect
Huyu jamaa ni kama Lucas Mwashamba wa bei ya jioni Hivi toka ameanza kujipendekeza kwa watawala ashawahi kupata nini? Nauliza tu kwasababu kila baya la serikali likiibuka basi atatoka na uzi wa...
1 Reactions
Replies
Views
Na Malisa GJ . Kikosi maalumu cha jeshi la Marekani (Delta Force), kimetumia dakika 124 tu (masaa mawili na dakika 4) kutua Ikulu ya Venezuela (Palacio de Miraflores) na kumnyakua Rais Nicolás...
7 Reactions
24 Replies
637 Views
Wanalalamika kuwa oh sovereignty ya Venezuela imekiukwa. Madulo alikuwa haheshimu sovereignty ya watu wake, why dunia yenye akili iheshimu sovereignty yake? Unaua watu uili ubaki madarakani...
3 Reactions
3 Replies
167 Views
  • Redirect
Samia hana mamlaka ya kuongea na wananchi anaongea nini na wananchi wakati wanauwa wananchi akatafute genge lake huko wakae wapige zogo.
2 Reactions
Replies
Views
Kinachoendelea Venezuela chaweza kuwa kutisha mahayatollaj wa Iran ak kuiandaa dunia kwa anguko la serkali ya kikatili ya Iran. Waiting na Idi Amin Mama angekuwa kwenye kundi hili. Achunge...
5 Reactions
16 Replies
269 Views
  • Redirect
Kipimo cha akili na uelewa ni pamoja na kutambua wanaokuzidi uwezo na uwezo wao. Ni SWALA mpumbavu atamwona Simba na ataenda kucheza akitikisa makalio yake mbele ya Simba . Si ushujaa ni upumbavu...
2 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom