Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watawa wa Shirika la Masista wa Afrika wa Benedektina Bikra Maria Msaada wa Kristo Ndanda wamesema wanamuunga mkono Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa...
1 Reactions
34 Replies
1K Views
  • Featured
Kanisa katoliki nchini limeweka marufuku kwa watawa wa kike na kiume na kiongozi yeyote wa kanisa katoliki kujihusisha na kampeni za siasa au kutambulishwa na chama chochote cha kisiasa kama...
26 Reactions
121 Replies
6K Views
Hii ni thread muhimu ya Mambo muhimu ya kumdai mgombea Urais kupitia CCM tunapoelekea kufanya uchaguzi oktoba 29. Katika thread hii tuweke bila aibu ni mambo gani muhimu anatakiwa atimize iwapo...
1 Reactions
14 Replies
723 Views
Hadi leo jawabu sina ndiyo maana naleta sumbuko hilo kwenu. Kulikuwa na sababu gani hasa kwa ndg yetu huyo kuruka masharti ya dhamana?! Kwa nini hakuwa makini km mtu ambaye alitambua wazi kwamba...
13 Reactions
158 Replies
12K Views
Naomba niseme wazi, Sishabikii Kifo Cha Rais wetu Mzilankende, Ta Mwami Magufuli Joseph pombe na haitokaa itokee nishabikie kamwe, niseme pia sitokaa nimwombee Kwa Mungu eti amweke Pahala pema...
26 Reactions
85 Replies
6K Views
Salaam, Shalom. Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na...
17 Reactions
362 Replies
41K Views
✓Ni ajabu lakini ni kweli kuwa ndugu huyu ambaye amewahi kuwa RC maarufu sana enzi zile wa mkoa wenye watu wengi zaidi Tanzania yaani DSM analalamika kuwa anawindwa na kundi la watu ili wamuue...
27 Reactions
58 Replies
6K Views
Kwa Watanzani wenye mapenzi mema na nchi hii, habari kwamba rais Kikwete amekubali kuandikwa katiba mpya, hizi ni habari njema!!! Ila, kama ana utashi wa kweli wa kisiasa juu ya jambo hili...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Katika kile kinachoonekana kujibu mapigo ya maaskofu wa kanisa lile walioamua kuwa wanasiasa,askofu dkt malasusa amesema kuna watu hawapendezwi na jamii kukaa kwa amani Wale wa kanisa lile...
4 Reactions
62 Replies
1K Views
Kwamba huyu ndiye Spika wa Bunge la Tanzania, basi tumekwisha. Bunge litakuwa mwangwi tu wa kile serikali ya Mama Samia inataka. Bunge halijalaani matukio ya mauaji ya Oktoba 29. Huyu Azzan Musa...
7 Reactions
28 Replies
554 Views
Ndugu Zangu Watanzania, Wakristo Mbalimbali Wamekesha na kushinda Makanisani Wakimuombea Heri Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambapo waumini hao ambao...
2 Reactions
49 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameweka wazi maelekezo aliyoagizwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo yanaenda kugusa jeshi la polisi nchini. Mabadiliko makubwa...
11 Reactions
114 Replies
3K Views
Viongozi wa serikali kila kona ya nchi hususani waziri mkuu anahimiza amani najiuliza hiyo amani inapatikanaje huku watu wanachukuliwa na kupotea kusopojulikana? Kiongozi unaongelea rasilimali...
7 Reactions
7 Replies
251 Views
Simba chawene na matangazo ya kubadili Jeshi la POLISI liwe Jeshi la huduma, Badala ya keshi la vulumai, swali fikirishi nani anae toa amri JESHI liwe hivyo? Tumekubali Jeshi letu limetumiwa kama...
4 Reactions
2 Replies
116 Views
Rais Samia, Kwanini Masheikh wa awamu ya sita wanatukataza kushiriki Vyakula vya Christmas? Watanzania hatujazoea. Na rais ni mtu wa. Dini zote. Mbona hukemei? Rais ni wa wote, haijalishi...
7 Reactions
48 Replies
1K Views
Chadema ndicho chama pekee kikubwa kuliko vyote ambacho kina support ya wananchi kwa mapemzi ya kutoka moyoni. CCM iko kwa sababu ya polisi ma watu kutafuta RIZIKI. CCM ikitoka madarakani...
6 Reactions
3 Replies
207 Views
Naona siasa za HOJA Kama either zimekufa au watu wameacha kabisa kupambana na tatizo Ila wanapambana na MTU aliyeibua tatizo inafikirisha KITENDO CHA WATU KUTUKANA MATUSI NI ISHARA KUWA UWEZO WA...
1 Reactions
53 Replies
595 Views
BBC: Habari za polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zime somwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa cha BBC.
8 Reactions
12 Replies
492 Views
Kwa kuwa tumewataka waliosmamia na kupitisha Uchaguzi. Huu watubu kwa Nini tusiwatenge wakina nchimbi na viongozi wote wanao tokana na uchaguzi wa Oktoba
3 Reactions
12 Replies
223 Views
"Siku zote katika chama cha siasa tarajia kuwa na watu wenye hoja mbadala zenye nguvu, kutakuwa na watu wenye utofauti katika kuwasilisha hoja zao, kutakuwa na wenye kupinga kabisa mawazo ya chama...
0 Reactions
0 Replies
178 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…