Angalia wale vijana waliokuwa wanabebana huku wame vunjwa vunjwa mikono na miguu, wanachadema wamewachangia milioni 10, na 15 mbebaji na mbebwaji respectively!
Haya matendo makuu yanafanywa na...
Wakuu,
Kutoka Kisiwa cha Amani mpaka Kisiwa cha Utekaji! Mpaka lini Watanzania tutaacha kuishi wa hofu?!
====
Ameandika Liberatus mtandaoni;
"Diaspora mwenzetu mkazi wa USA— Thadei Kweka...
Anaandika Aloyse Nyanda Mtozi kupitia ukurasa wake wa Instagram:
Je Fr Kitima anachuki na serikali au ana chuki na Rais Samia au anachuki na Uislamu?
Jibu ni HAPANA ila ukweli ni kwamba Kitima...
Nilishawai leta Uzi mmoja kuwa Kwa washindi wa tuzo ya amani ya Nobel wengi walipitia mazito Kama alivyopitia Lissu.
Sasa potential candidates wa tuzo ya Nobel Kwa 2026, Jina la Lissu linatajwa...
Ukikaa na watu walioshuhudia tukio ghasia za kuukataa utawala wa rais Samia ile Oktoba 29 mpaka Oktoba 31 utapata picha kamili kuwa watu wahataki kutawaliwa na huu utawala.
Watu wameshuhudia...
Yaani Safari zinasitishwa kabisa na watu wana amani. Sababu wao wanatumia ndege.
Watu wanajenga reli hawakujua hii sehemu gani reli ipite juu au chini? Hawakujua Nchi yetu maji yanajaa mabondeni...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso akiongea na wananchi wa Bunju, ametoa wito kwa Mamlaka ya Maji DAWASA kutoa bili zenye uhalisia kutokana na watu kukosa maji.
Pia soma > GE2025 - Mamlaka za maji...
Nimekuwa nikifuatilia kauli za viongozi wetu hivi karibuni, hususan hotuba ya Waziri Mkuu ya leo (29 Disemba 2025) kule Bunju. Kuna narrative mpya inayojengwa kwamba kulikuwa na mpango wa kuzuia...
Hawa Vijana , Sijui wamepatwa na nini.
Walikuwa wakiweka maandiko mazuri ya kudai haki na kuelimisha .
Ila kwa sasa ni Kama kuna kitu hakipo sawa.
Vijana kweli tumefika hatua hii ya kununulika...
Wanachotaka nini? Tukae kimya? Tusijadili masuala ya taifa letu?
Waibe mali za umma, wateke watu , wajipe vyeo wao na familia zao huku sisi tukiwa kimya?
Basi wawaue wote wanaokosoa wabaki wao...
Baada ya machafuko ya Octoba 29 ndiyo nikagundua kuwa kumbe tangu nchi ipate uhuru marais wote wa Tanzania walikuwa ni Wakatoliki na waislamu. Hii iliwezekana vipi, ni bahati mbaya tu au...
Tanzanians marked their Independence Day under lockdown, with heavy security, social media restrictions, and unsanctioned gatherings outlawed to stifle expected protests.
Recent deadly violence...
Wakati wenye mamlaka wakiwa busy kuponya majeraha ya MO29, kwa kuyakanusha na kupindua taarifa za ukweli; wenye dunia yao huko duniani, hawachoki kuitafiti dunia na ku shape geopolitics kulingana...
Wakuu,
Mwaka 1974, Rais Idi Amin kupitia Tangazo la Kisheria Na. 2 la mwaka 1974 alianzisha Tume ya Uchunguzi kuhusu Watu Waliopotea nchini Uganda, ikiwa ni jitihada ya kuchunguza matukio ya...
Wana JF nafikiri wengi mnakumbuka kasha ya mchele mbovu iliyotokea miaka ya tisini.
Nasikia ndiyo iliyosababisha kifo cha mkemia mkuu wa wakati huo, nasikia kampuni iliyo husika na kashfa hiyo...
UDSM-Rais mstaafu, JK
Mzumbe-Rais wa Zanzibar mstaafu, Ali Mohamed Shein
SUA- Jaji Joseph Warioba
UDOM- Jaji mkuu mstaafu, Prof Ibrahim Juma
Ardhi University- Jaji Mohamed Chande
Muhimbili-...
Aiseeh!
1. Mungu mwenyewe anajua. Na yeye ndiye ataamua.
2. Moyo usinifanyie hivyo. Nimejikuta katika Hali ya kupatwa na simanzi nilipoiona video ya Jovin Yule kijana aliyembeba mhaini mwenzake...
Askofu Bethania Mpembwa wa Kanisa la Neema ya Kitume Tanzania, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam, amesema kuwa Vijana wa kizazi cha kuanzia mwaka 2000 (Gen Z) ni...