Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao.
Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule?
Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee...
Vyombo kadhaa vya habari barani Ulaya na Marekani vimeuandika raisi Samia vibaya sana kuhusu azma yake ya kung'ang'ania madaraka ambayo ilimpelekea kuamuru raia wake wauawe na vyombo vya usalama...
Kichwa kiko wazi. Sijaacha kujiuliza kila ninapomsikiliza Mkumbo Madelu au Mwigulu Nchemba.
Akiongea, huwa sioni chembe ya usomi achilia mbali udaktari.
Anaongea kama mlevi pale kijiweni.
Ni...
NAPENDA KUMSHUKURU MAMA WA AFRICA AU DR SAMIA SULUHU HASSAN KWA KULIVUSHA TAIFA LETU LA TANZANIA SALAMA.
Yakiwa yamebaki masaa machache kuufunga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, haitokuwa...
Mange kimambi ameandika yafuatayo
"Samia, Wambura, Mombo, Mafwele, Murillo, na washirika wenzao hawa wote safari yao ni ICC mahakama ya makosa ya jinai . Hawa wote mwisho wao ni kuhukumiwa...
Kwa kifupi nafasi yako kwa siasa zetu ni Nyeti.
Itumie kuleta HAKI.
Watetee wahanga wa D29, wape faraja
Jitenge na adhabu ya Munhu wako! Mauaji haya yalikuwa.makubwa!
ITUMIE KUITETEA...
Kumekuwepo na vikundi visivyo rasmi vikiteka na kuuwa raia hali hii inahatarisha usalama wa taifa kunatoa mwanya kwa majambazi kufanya uhalifu.
Huwezi kumtofautisha polisi na jambazi vyenyewe...
Mbunge wa zamani wa Muleba Kusini na waziri wa Ardhi katika serikali ya awamu nne Prof. Anna Tibaijuka kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) Anaandika;
"Wakati tunasubiri Tume ya Uchunguzi kutupa...
Kocha mkuu Tanzania Miguel Gamond baada ya kuiwezesha Tanzania kufuzu hatua ya kumi na sita bora kwa mara ya kwanza, Amesema ushindi huu ni muhimu sana kwa soka la Tanzania na mafanikio...
Uwajibikaji wa kweli unahitaji mikutano ya mara kwa mara, kusikiliza maoni ya wananchi, na kutoa taarifa za maendeleo hata nje ya kipindi cha kampeni. Hii inasaidia uwajibikaji na ushirikiano...
Sheikh Jabiri aliripotiwa juzi akiwa amekutwa amekufa pembeni ya gari lake, ambapo polisi walisema hakuwa na majereha yoyote, huenda alikuwa na ugonjwa akaanguka ghafla.
Lakini shuhuda ametoa...
Sheikh Mwaipopo amemvaa Jaji Mstaafu Warioba kwa kudai kuwa anaeneza chuki na anatumiwa na wazungu. Aidha, amesema kuwa kila panapokuwa na uchaguzi ni jambo la kawaida kwa vyombo vya ulinzi na...
Wakuu,
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima, ameonekana mara ya kwanza kwenye madhabahu ya kanisa hilo lililopo Ubungo Kibo, Dar es Salaam, katika ibada ya mkesha wa...
Njia sahihi na salama kabisa ya kurejesha utulivu nchini ni kutafuta mlipo jikwaa nakuondoa hicho kizingiti kilicho fanya mjikwae ,
Kuendelea kudhani kwamba amani na upendo wa taifa vitarejea kwa...
Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ?
Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo...
Moja ya wizara za kwanza kabisa kuundwa mara baada ya Tanganyika kupata uhuru ni ya vijana, iiitwa "wizara ya utamaduni wa taifa na vijana" (ministry of national culture and youth).
Waziri wa...
Tanzania Kuna kikundi cha watu mitandaoni na kilikuwepo awamu zote tangu awamu ya Mkapa mpaka sasa, kazi yao kuu ni kukejeli na kutukana viongozi wetu. viongozi wetu MSIFE MOYO kwani Kila mtu...
https://www.youtube.com/live/0oisjyeeiTk?si=ZyTQ-O1IFxIhOKkd
MDAHALO KUHUSU UENDESHAJI ENDELEVU WA BANDARI UNAENDELEA PEACOCK HOTEL
Baraza la Wasafirishaji Tanzania (Tanzania Shippers’ Council...
Hamjambo wote!
1. Kama mtanitazama vizuri kwa wale wenye kunijua kidogo mtagundua siko Sawa. Ni kama nimeathirika kisaikolojia hivi. Ni kama mtu niliyepitia au kuona mambo magumu na mabaya.
2...