Nimeona mchakato huu usipite bila kutoa neno japo dogo kwa kuanzia.
Kwa mambo aliyofanya na kusema mpaka sasa, kuna jambo moja pekee ambalo ni muafaka kwa Tundu Lissu nalo ni Kufukuzwa CHADEMA...
Ni wakati akichangia mjadala bungeni ,ambapo aliwashukuru wananchi wa Bukoba mjini kwa kumchagua kwa lundo la kura na kumpatia Halmashauri , pamoja na tuhuma kwamba yeye ni gaidi , na kwamba...
Wana jamvi,
Ttaarifa za hivi punde ni kwamba, Wilfred Lwakatare Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA ameshinda kesi iliyokuwa inamkabili. Mahakama imetupilia mbali tuhuma zote...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Analivusha Taifa na watanzania huku kila mmoja wetu akiwa na amani...
Ninadhani aliyepona kipindi kile ni Wema sepetu nae nadhani sijui Nini kilimponya.
Yule bwana aliyesimamia UJENZI wa ghorofa pacha za Benk Kuu pale posta.
Yule Mzee kupitia Kodi za watanzania...
Kabla ya yote ningependa kuanza na maneno yafuatayo ya Utangulizi wa hiki ninachotaka kukisema hapa kama ifuatavyo:
USALITI;
Usaliti ni neno pana sana...,
Lina madhara mengi sana...,
Hujuma...
Mtu mmoja aliyejitambulisha kama mmiliki wa magari ya Esther Joseph Didas Ngelewiya akiongea na wanahabari hivi karibuni alisema:
“Mimi ndiye mmiliki wa mabasi ya Esther Luxury Coach, hivi...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amewaonya Watanzania dhidi ya kuingia kwenye kile alichokitaja kuwa ni mtego wa migogoro ya kidini, akisisitiza kuwa migogoro inayogusa imani za watu...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Amos Makalla amesema kwamba ccm haitegemei Kubebwa, haina haja ya kuteka watu na kuwatupa maporini ili kupata ushindi
Na kwamba kauli za aliyekuwa DC wa...
Azam Sports Wamefuata Picha za Mwakinyo alizovaa nguo yenye picha ya Tundu Lissu.
Mara ya kwanza walipost hii, kabla ya kufuta picha zote zinazomuonesha Tundu Lissu
Katika Mchezo wa ngumi...
Katibu Mkuu na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa amewahakikishia Watanzania kuwa mkataba ambao Tanzania na Zambia zimeingia na China wa uboreshaji wa reli ya TAZARA utakuwa na manufaa...
Kuanzia leo nakana uraia wa Tanzania, mimi ni Mtanganyika, naipenda nchi yangu, niko tayari kushiriki katika hatua zote za ujenzi wa nchi yangu pendwa iliyozikwa kwa hila.
Kijana Jovin Kaaya, Mzaliwa wa King’ori, Wilayani Arumeru Mkoani Arusha, amesimulia safari yake ya kukamatwa, kushitakiwa kwa kosa la uhaini, pamoja na hali na maisha aliyopitia akiwa chini ya...
Salam Wakuu,
Taarifa zilizombaa ni kuwa toka Nicodemus Julius Loyore akamatwe Disemba 19 akiwa ofisini na watu waliojitambulisha kuwa Polisi, mpaka leo hajulikani yupo kituo gani!
Toka siku hiyo...
Nimepokea taarifa kuwa baba yetu Clement Mwandambo amekamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni mapolisi. Ninawasihi watu mlioko Mbeya fikeni ofisi ya RCO mkoa wa Mbeya.
Enyi watu waovu msimdhuru...
Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini.
Sio hivyo tu amewafunga wababa wa watu wakina polepole kinyume...
Mzee huyu amewahi kuwa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa nyakati tofauti. Mzee huyu alikuwa kiongozi wa ngazi ya juu wakati watanzania wanaandika Katiba hii ya sasa na hata wakati wanaifanyia...
Ndugu Watanzania naomba tutafakari hii hoja iliyoko kwenye swali, nani hasa kwa sasa anaongoza nchi yetu?
Kwa nini nimeleta hii hoja? Nina sababu kadhaa ambazo nitazitanabaisha hapa chini:
1...
Kwa Huu Utekaji na Mauaji yanayoendelea Nchini .
Lazima utakubaliana namm kwamba, Mauaji ya Raia Okt 29, yalikua yamepangwa tu yaan ilikua lazima Samia apachikwe Urais.
Akina nani hawa walioko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.