Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwanza nianze kueleleza kidogo Malengo ya No Reforms No Election. Huu mpango Mtukufu wa Chadema una lengo la kuchochea haki na kuzuia dhuluma pamoja na vurugu ikiwemo na mauaji yatokanayo na...
37 Reactions
175 Replies
7K Views
Wakuu Habari zenu? Bora angeendelea kutawala malikia maana waliochukua nchi na kuona wanaweza kujiongoza mpaka sasa wako kwenye kuangaika na vyoo vya kujisaidia baada ya miaka 64 ya uhuru kwa...
7 Reactions
14 Replies
395 Views
Hata mtu kipofu anaona kabisa Tanzania imebadilika na inazidi kubadilika kuelekea kubaya zaidi siku hadi siku. Muungano unazidi kuporomoka kukiwa na viashiria vinavyokua vya u-Bara - na U-Zanzibar...
1 Reactions
0 Replies
155 Views
Wakuu, Nina maswali machache. Tushazoea utaratibu wa taifa hili waandamanaji wanapigwa risasi kwanini hawa imekuwa tofauti? Hao Wakatoliki walioandamana, kibali cha kuandamana walitoa wapi ...
5 Reactions
10 Replies
299 Views
Tuacheni maigizo suala ni lazima wauaji na watekaji wakamatwe iwe amani au haki lazima wawajibishwe mara moja hatuta waacha madaraka yanaisha
1 Reactions
0 Replies
157 Views
Sasa ni rasmi yupo mtu kati Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa Hakuna mtu ataweza kumteka tena Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi Hakuna kitu atakipanga kisivuje Kiufupi atakuwepo Kama...
142 Reactions
512 Replies
52K Views
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before...
130 Reactions
318 Replies
28K Views
Samia akilindwa na kina Mafwele,Wambula na Mkunda alidhani hakuna mtu yeyote KWENYE Dunia hii anaweza mkoromea. The same to Traore akiwa na kabunduki kiunoni basi anajiona yupo na nuclear weapons...
30 Reactions
97 Replies
2K Views
Wapo China ni Taifa Tajiri sana Duniani, wapo waarabu matajiri sana. Hawa watatusaidia. Sisi ni nchi huru msitupangie maisha nyie Ulaya na Marekani. Kwanza hatutaki misaada yenu. Tunajiweza na...
11 Reactions
42 Replies
1K Views
Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, amezungumzia matukio yaliyotokea mwaka 2025 na kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kulinda tunu ya amani...
2 Reactions
13 Replies
436 Views
WEKENI MBELE MASLAHI YA TAIFA - WAZIRI KOMBO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefungua Kikao cha Kwanza cha Baraza la Wafanyakazi...
0 Reactions
11 Replies
957 Views
Kwa muda fulani nimekuwa nikisubiri kwa hamu ili nione jibu kwa swali lililoulizwa hivi kribuni, "who are you?" Nilijua kuna siku jibu litatolewa tu. Na hatimae jibu limetolewa, kama vile tu yale...
9 Reactions
22 Replies
779 Views
Kwenye ukurasa wake wa Instagram Zungu anasema: Wanangu wa Upinzani sio kila kitu mnaweza kubeba kama ajenda msifanye hivyo 🙏yani kila kitu hata kama ni kizuri baadhi yenu mnajaribu kubadilisha...
2 Reactions
29 Replies
796 Views
Wanabodi Mimi ni mwana JF mwenzenu humu JF ni member toka 2006 kwenye Jambo Forum na verified tangu 2008, katika miaka hii zaidi ya 15, nimepandisha mabandiko mengi ya kisiasa, kiuchumi na...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Wanyonge msiumie nyoyo zenyu. Huyu mtu hatutamuacha aingie kuzimu kwa amani. Red Cross wasema lazima alipie. Yeye ajifiche awezavyo wala hiyo haimsaidii hehehee. Yule jamaa wa Baharini. Mzee...
4 Reactions
17 Replies
707 Views
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 04, 2026 amewasili Zanzibar ambapo atashiriki katika uzinduzi wa miradi ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 62 ya...
1 Reactions
18 Replies
613 Views
  • Featured
Wakuu Jeshi la Polisi Tarime Rorya limesema limemkamata Charles Onkuri Ongeta, mwenye umri wa miaka 30 na uraia wa Marekani na Kenya, akidaiwa kuingia Tanzania kupitia mpakani Sirari akiwa na...
23 Reactions
307 Replies
12K Views
Ule mijadala wa haki vs amani umefungwa rasmi. Ccm na Masheikh walikuwa upande wa amani TEC, Watanzania na baadhi ya Masheikh wema hasa kina Ponda (shura ) walikuwa upande wa haki Sasa Leo...
7 Reactions
16 Replies
710 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…