Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi ni mmoja wa watu ambao wanaamini kwamba kama taifa, tulipaswa kuingia katika mfumo wa vyama vingi na katiba mpya pamoja na tume huru ya uchaguzi. Sitazungumzia mambo ya kiufundi na ya...
49 Reactions
201 Replies
18K Views
Habari za jioni watanzania! Kwa kipindi cha takribani mwezi mmoja tumekuwa kwenye mchakato wa uchaguzi. Katika kipindi chote hiki Watanzania tumeonesha ustaarabu wetu kwa kufanya kampeni safi...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Niliandika makala kadhaa hapa nikaonekana chizi, mara CCM, kumbe sina hata chama. Mm niliacha siasa baada ya Lowassa kukubali matokeo, bila action wala tamko wakati 2015 Watanzania walikua tayari...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kagera. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
3 Reactions
41 Replies
9K Views
Nilipokuwa mdogo nikicheza chandimu na wenzangu kulikuwa na changamoto kubwa sana: wapi tutapata mpira na tutam-convince kwa namna gani mwenye mpira tukacheze. Matokeo yake matamko ya mwenye...
0 Reactions
1 Replies
786 Views
Kwa hali inavyoenda sijui kama upinzani utapata wabunge hata 5. Lakini kuna mantiki gani wao kuwa wabunge katika mazingira haya? Bora waachie wajivue tu wabaki CCM 100% maana kinachofanyika ni...
7 Reactions
73 Replies
7K Views
Katika Maisha yangu, siku zote huwa nachukizwa na kuumiza sana na injustice bila kujali anaetendewa ni mtu ninaemfahamu au laa mradi tu mtu huyo ni binadamu kama mimi. Nikiangalia yaliyotokea...
26 Reactions
84 Replies
5K Views
Inasikitisha sana kuona nchi yetu inapoenda kidemokrasia. Kama wewe ni Mtanzania unayependa nchi hii huwezi kufurahia hata kidogo kinachoendelea. 1. Kwanza jiulize kitu kimoja kunyang'anya...
17 Reactions
72 Replies
6K Views
Popole na Bashiru mmeifikisha CCM pabaya mno. Aibu hii siyo ya kawaida. Katika watu kumi mtaani 9 wanapanga kumpigia Lissu Kura. Mmemdanganya mwenyekiti kwa miaka na mazao ya uuongo wenu ni...
11 Reactions
41 Replies
4K Views
Wakati wowote kuanzia sasa mjiandae kuona kongamano la kuhuburi amani, umoja wa kitaifa na uzalendo, kongamano litaloshirikisha viongozi wa dini huku Bwana Yule au mmoja wa wasaidizi wake...
8 Reactions
23 Replies
3K Views
Katika pitapita zangu nimeona wafauasi wa CCM karibu nchi zima wanafurahia kuanguka kwa wapinzani nguri wa Tanzania kama vile HECHE,MDEE,ESTHER, LEMA,SUGU,MBOWE,MSIGWA,na wengineo. Hawa viongozi...
2 Reactions
4 Replies
758 Views
Nimesahau, nadhani. Hivi lini watanzania tumedai haki zetu? Lini wahusika tumewahi kupambana? Watanzania lini tumefungua midomo yetu, tukatoka nje kwetu na kwenda kudai haki zetu? Au hiyo kazi ya...
1 Reactions
1 Replies
959 Views
WanaJF, Katika hali ambayo ilikuwa inatarajiwa na wengi ni kwamba Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai kupitia tiketi ya CHADEMA ambae pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amegaragazwa vibaya sana kwa...
23 Reactions
302 Replies
33K Views
Baada ya hii hujuma ya uchaguzi na ili kuhadaa Ulimwengu na hasa nchi wafadhili, mnaweza kupewa uteuzi lengo likiwa ni kuonyesha kuwa demokrasia ya vyama vingi inaheshimiwa na inapewa nafasi...
18 Reactions
62 Replies
5K Views
Old economist, Adam Smith " Father of economics" alitoa definition uchumi bora ni kuwa na ukwasi ( ardhi,fedha ,dhahabu...) wa mtu , familia, jamii, jumuia ama taifa bila kujali namna ukwasi...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Imani tuliyonayo watanzania kwa jemedari wetu wa mapambano dhidi ya ufisadi, rushwa, uhujumu uchumi na uzembe ni wa kiwango kisichotiliwa shaka yoyote hususani kwa tukio lilipo mbele yetu la...
6 Reactions
46 Replies
4K Views
Baada ya hiki ninachokiona, kwa kweli nimeanza process za kufunga biashara zangu na mpaka mwezi wa 12 nitakuwa nimehama nchi. Kwa kweli moyo wangu anakataaa kabisa kuendelea kukaa Tanzania...
27 Reactions
50 Replies
4K Views
Wananchi wameamua pakubwa sana ,wakaona wafanye juu chini waongeze nguvu ya maombi na upako mjengoni maana kusutana na vijembe viitawala sana Bunge lilopita. Watanzania walimtegemea na Mch Msigwa...
1 Reactions
0 Replies
498 Views
Dunia Ina Mambo, hivi hawa jamaa wanamdanganya nani? Tumeshuhudia Kila kitu tangu mwanzo kampeni zinaanza hadi hitimisho, Tunafahamu kuwa mnao watu wanaokubalika na jamii katika baadhi ya kata...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Fred Lowassa ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa achukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Monduli jijini Arusha. ====== Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Monduli...
11 Reactions
108 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…