Mchuano kama Simba vs Yanga, matokeo kama Man City vs Ihefu

Hebie

JF-Expert Member
Jul 29, 2012
1,415
859
Dunia Ina Mambo, hivi hawa jamaa wanamdanganya nani?

Tumeshuhudia Kila kitu tangu mwanzo kampeni zinaanza hadi hitimisho,

Tunafahamu kuwa mnao watu wanaokubalika na jamii katika baadhi ya kata na majimbo,

Tunafahamu pia kuwa uovu mmeupa kipaumbele mko tayari kumwaga damu ili mnenepeshe matumbo yenu,

Ila majimbo Kama Tunduma, Mbeya mjini, Mwanza, kigoma mjini, kawe nk mmetupiga kama mechi ya Manchester city vs Ihefu.

Mnaemwabudu awabariki sana
 
Alipata kuimba munishi (malebo) " wakikutana pamoja kuabudu, swali mnijibu wana mwabudu nani.. "

Maana matendo yao na jinsi wanadai wanamtanguliza Mungu mbele, swali je, ni mungu yupi?
 
Back
Top Bottom