Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema ameiona barua ya Balozi wa Cuba, Humphrey Polepole mtandaoni na kwamba yeye mwenyewe ndio mwenye...
Wanakumbi.
Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu...
Jamani leteni hiyo michango ili tuwafundishe nini maana ya amani Tanzania! :cool: :cool:
==========
Mwanaharakati Ahmed Kombo aomba mchango kwa watanzania kwaajili yakuzunguka nchi nzima kuongea...
Mwigulu unapoteza muda wako tu na kufanya watu wazidi kukuchukia. Jiweke upande wa wananchi. Katika mazingira tuliyo nayo nchini kwa sasa, urais hauwezi kupatikana kwa namna yako ya kuongea ili...
Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa...
Akizungumza na wananchi, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema Rais sio mzalendo namba moja. Wanajeshi ndio wazalendo namba moja kwa kuwa wanatoa uhai wao...
Nina uhakika hao machawa wa CCM wao mtu kupotezwa au kuuwawa kama mzee Ali Kibao sio ishu kubwa kwao maana chawa anajali tumbo lake kuliko uhai wa Mtanganyika.
Tumuachie Mungu. Tuache kuwakebehi...
Wadau
Nimestuka muda huu baada ya kuota ndoto ngumu sana, eti asiyepingwa ameamua kuachia kijiti na ameiachia tanganyika huru
Kwenye ndoto hii ya muda huu nimeota kwamba vyombo vya dolari...
Kwa nini? Kwa sababu hakuwahi kugombea kabisa nafasi hiyo (ya kupeperusha bendera) na kuhudumu.
Tukumbuke Kila mgombea aliyeteuliwa alikuja na "falsafa" yake ya kuongoza nchi.
NYERERE - Siasa...
"KUNA watu wanatengeneza makusudi mgawanyiko kwa maslahi binafsi, tusikubali kugawanyika kwa kuwa sisi sote ni watoto wa Adam na Hawa., tusigawanywe na hawa wataka madaraka na wanaotaka matajiri...
Watumishi wengi walioelimika sana wamegeuza elimu kuwa kama taji la kunyanyasa wengine, kuwaona wengine si chochote, kuwapelekesha wanavyotaka, n.k,
Wanaona elimu kama status symbol ya kunyanyasa...
Tunaishi katika nyakati ambazo ni za ajabu sana, kijana asiyeoa anahangaika hata kupata msichana wa kumpenda, lakini mwanaume aliyeoa ana mahusiano ya siri ( michepuko) zaidi ya mitano.
Imagine...
Wakuu,
Wakatoliki feki wazidi kuumbuka.
Huyu dada kama mlivyomsikia hapo kwenye video ni anaitwa Lucy Mikaeli, huyu ni Katibu wa UVCCM huko Yombo Dovya.
Hivi mlishindwa kabisa kuchukua watu...
Maana kwasasa,
Kimebaki kama kituo cha mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kikijikita zaidi katika kuchakata porojo na uzushi ambao hauwasaidii bali kuwapoteza zaidi, na kosa kubwa...
-Kuna kisa nimesikia titok vijana watatu walikamatwa mchana kweupe tarehe 4 December huko Tarime na wote kukutwa wameuawa baada ya kupotea kwa siku kadhaa wakiwa wamevunjwa shingo.
What is this...
Yaani mkusanye watu wasiofaa hata kutazamika kwa macho alafu mdanganye kuwa ni waumini wa dini fulani ambayo kataa usikatae ina ushawishi mkubwa hapa nchini basi wewe hako sawa.
Kwanza hii...
Dunia ya Sasa imebadilika Sana, hususani katika kufanya mashambulizi kwa maadui
tumeshuhudia matumizi ya teknolojia ya Hali ya juu Sana hususani matumizi ya Drones (Ndege zisizo na rubani)...
Uvamizi wa Jeshi la Marekani nchini Venezuela na kutekwa kwa Rais wa Nchi hiyo umetoka masaa matano tu tangu Rais Maduro akutane na maafisa kutoka China.
Katika masula ya siasa za kikanda na...
Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Suleman Bungara, 'Bwege', ametoa wito kwa Watanzania kutoaingia kwenye mgogoro wa dini aliodai kuwa umeanzishwa na watu waliojawa na uroho wa madaraka ambao...