Rais John Magufuli amehudhuria maadhimisho ya miaka 10 ya Mahakama Kuu nchini.
Magufuli amesema mahakama kuu ilianzishwa Januari 3, 1921 wakati Tanganyika ikiwa koloni la uingereza.
Rais ametoa...
Kulikuwa na mabishano ya muda mrefu ndani ya wadau wa vyama vyote vya siasa kuhusu chama cha siasa cha CHADEMA.
Baadhi ya wadau, walifikia hatua ya kusema CHADEMA siyo chama cha siasa tena baada...
Gts,
Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya Rais juu daktari aliyegeuka mkataba.
Wizara ya afya toeni ufafanuzi.
Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na...
Polio, ndui, kifaduro, pepopunda, TB, nk ni chanjo ambazo wengi wetu tumechanjwa utotoni. Na huenda kupitia chanjo hizo ndiyo sababu ya kuwa hai hadi leo tunapotunisha misuli majukwaani...
Wananchi wa Rorya tunamshangaa sana mbunge wetu kwa kutudanganya na kutubagua.
Ametuletea gari lake aina ya Noah alilokuwa anatumia ,alichofanya fanya ni kulipaka rangi ya ccm na kuandika neno...
Serikali imeendelea kusisitiza kuwa haitawafungia Watanzania na badala yake imewataka kuchukua tahadhari ya kujikinga bila ya kutishwa au kuchomekewa mawazo na mikakati na watu wengine katika...
Spika Job Ndugai amesema Bunge la Tanzania linaahidi kutoa ushirikiano pale wanapohitajika akiongeza, watajitahidi kuhakikisha muhimili wa Mahakama unaheshimiwa ndani ya nje ya Bunge.
Ameeleza...
Ni miaka isiyopungua tisa sasa toka sakata la uchimbaji wa gesi ya Mtwara lilipoibuka hapa Tanzania. Matumaini yalikuwa makubwa, mbwembwe kibao, nguvu ikatumika na watu kupoteza maisha ili gesi...
Mh Rais wangu samahani naomba kujuwa mikopo wa nayo pewa madaktari hawalipi? Maana naona kama unalirudisha hili taifa zama ambazo zimeumiza watu wengi mpaka wengine wakakimbia nchi. Waache...
Kwa mfano: Je, Rais anaweza kuhama chama alichokuwepo na kuhamia chama kingine? Mfano Mheshimiwa Magufuli atangaze rasmi anajiunga na CHADEMA na kule Zanzibar Hussen Mwinyi anajiunga na ACT...
President Magufuli is vigorously fighting for Tanzanians and Africans at Large, His PhD is exactly at proper battle field, it is a Chemistry PhD of thinking and reasoning,if there is any doubt I...
Ilikuwa mnafanya siri na kuudanganya umma leo Mwenyezi Mungu amewaadhiri vibaya sana sana hamna pa kujificha.
Tena si kuudanganya umma wa Watanzania bali kuidanganya dunia nzima. Mnacheza na...
Waziri Mkuu alisema jana serikali ipo karibu kuanza kutoa ajira na kulipa malimbikizo ya watumishi wa umma baada ya uhakiki kukamilika. Amesema serikali ipo hatua za mwisho
kukamilisha zoezi hili
.
Wiki hii Rais Magufuli amekuwa anafungua miradi ya maji kutoka ziwa victoria, juzi jana na leo yuko Tabora..ni jambo la kweli kwamba kufikisha maji haya Tabora ni mafanikio makubwa kwa historia ya...
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amesema kama wataamua kuwachukulia hatua watumishi wanaojihusisha na wizi wa dawa watawafunga watumishi wote...
Ujenzi wa madarasa matatu shule ya msingi Majengo kata ya Kahe Mashariki unaendelea vizuri ambapo kwa sasa yamefikia hatua ya rangi.
Shule hii ilikuwa ina upungufu mkubwa wa vyumba vya madarasa...
Watu wanazaliana hovyo na ndiyo maana kuna shida ya kila kitu, sasa ona hata mnahangaika kupiga marufuku watu wasisafiri wakati hapa nyumbani hakuna kitu cha kuwaweka, hivyo ili kuokoa haya...