Ndugu zangu badala ya kutoa ushauri naomba mniruhusu nimhukumu Mama Samia kwa hotuba zake na teuzi zake japo ni mapema saana kufanya hivyo. Ameanza vizuri kwa ujumla lakini inabidi ajue mapema...
Kutokana na malalamiko kutoka kwa watu mbalimbali yanayowahusisha viongozi chini ya utawala wa awamu ya 5 ni vyema ikaundwa tume ili walionewa wote wakaeleze madhira waliyopata na sheria...
CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali.
Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti...
Ndugu zangu!
Napata taabu sana na watu wanaojivunia UMASKINI hadharani, hasa hawa tunaowaita VIONGOZI. Na hii nimeisikia sana kuanzia awamu pendwa.
Imefikia hatua kila mteule anaposimama kutoa...
Ndiyo nilikuwa mkweli na hoja zangu zilikuwa za moto hadi wenzangu wakahisi kuwa nina chuki binafsi na Rais hayati Magufuli.
Mwaka 2016 mapema mwezi wa nne nilimshauri ajiuzulu na nikajenga hoja...
Huyu mtu kiukweli anayajua madudu mengi mno ya nchi hii , na kwa jinsi ya maelezo ya kamati ya maadili ya bunge , kuna chuki kubwa sana iliyochanganyika na wivu wa kimasikini uliojaa ushamba...
Ripoti hii ya CAG imeacha Serikali uchi na Waziri Mkuu kiongozi wa shughuli za kila siku za Serikali na msimamizi wa shughuli za Serikali za kila siku anapaswa aachie ngazi mara moja.
Ni aibu kwa...
Imepita wiki moja na siku kadhaa tangu Mama Samia Hassan Suluhu alipoapishwa kuwa Rais wa Tanzania, na kuweka rekodi mpya ya kuwa Rais wa Kwanza Mwanamke kwa Serikali ya Tanzania.
Kutokana na...
Karibu.
Mkutano uko mubashara kupitia Channel ten kutoka ukumbi wa JNICC na mgeni rasmi ni waziri mkuu mh Majaliwa.
Up dates;
Kwa sasa mh Majaliwa anahutubia na anajaribu kuelezea kwa kirefu...
KWANINI AMEWEZA KUKUBALIKA HARAKA KWA WATANZANIA WOTE?
Ukiniuliza mimi kiongozi bora ni nani jibu litakuwa ni yule ambaye ana uwezo wa kufikia malengo ya Taifa ndani ya muda uliopangwa na anaweza...
Wadau, malalamiko ni mengi kila kona ya nchi. Hii pia imechagizwa na bwana Doto James, mpwa wa Mhe. Rais kuwa paymaster general wa serikali (Katibu Mkuu Wizara ya Fedha). Hata kama ingekuwa...
Hakuna anayebisha kuwa, Mwaka 2015, CCM iliponea chupuchupu kwenye kuwa Chama cha Upinzani.
Ilikuwa haiuziki, ilitukanwa kila pahala, ilichukiwa na kila raia nchi hii, na wao Kwa kuusoma upepo...
Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameagiza Ofisi za Wakuu wa Mikoa na Mamlaka za kinidhamu kuwachukulia hatua wakuu wa vitengo vya ukaguzi wa ndani wa halmashauri 54
Waziri Ummy amesema...
Habari wakuu,
Mimi binafsi naweza sema matatizo yote ya nchi yetu ni katiba, hata JPM isingekuwa katiba ya hovyo iliyopo asingekuwa na mamlaka ya kuendesha nchi namna ile.
Katiba yetu imempa...
Tulishaambiwa mapema kuwa MB1 itauzwa kati ya Tsh. 2 hadi 9 lakini kwa kuwa wengi wetu tuliikimbia hesabu, hatukuliona hili. Mfano: MB 1 ikiuzwa kwa Tsh. 2 maana yake GB1 yenye MB 1000 itauzwa sh...
"Nzi" wa Chadema waliojibanza Ikulu na Wizara ya Nishati wapo hatua za mwisho kabisa kumaliza kukusanya nyaraka muhimu vivid evidence juu ya ufisadi mkubwa uliofanywa katika mradi wa Bomba la...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewatuhumu vigogo wa Serikali kwa ufisadi wa Dola 600 milioni za Marekani, sawa na Sh1.2 trilioni walizotumia katika mradi...
Mkataba wa Gesi umevuja: #Tanzania kupoteza shs 1.6 trilioni kwa mwaka – #Norway kujirudishia misaada yake yote nchini kupitia mkataba huu
leave a comment »...
Kwanza utaona ujinga wa baadhi yetu juu ya kupambanua mambo makubwa ya Taifa. Nimetumia ujinga kwa kuwa "UJINGA" siyo tusi bali ni ukosefu wa maarifa ya kitu fulani ambacho hukijui...