Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mtu ni mahakama. Aliongeza kwamba, “Leo mtu anaingia kwenye...
11 Reactions
51 Replies
2K Views
  • Redirect
Natambua kwamba ulipokea wito wa kuhojiwa na kinachoitwa Tume ya Jaji Othman Chande kuhusu Mauaji ya Oktoba 29 na kuendelea, ulipangiwa kuhojiwa tarehe 22 January hii Soma pia Askofu Mwamakula...
5 Reactions
Replies
Views
Kile kitendo cha kueleza kuwa alikuwa anafanya mawasiliano ya kila mara na Humphrey ni circumstantial evidence kuwa huyu mzee anajuwa wapi alipopelekwa Polepole. Kama walijadili juu ya Polepole...
13 Reactions
31 Replies
849 Views
Hakika DW wanastahili tuzo. Na wafanyakazi wake wanaitendea vizuri fani ya uandishi wa habari. Hii ni jana/ juzi tarehe 18 Januari. https://youtu.be/1evPobXaZXM?si=Q9nzoGZEYBlbvqwG Safi sana...
10 Reactions
12 Replies
453 Views
Daaah, baada ya kuwasikiliza watu wawili kutoka Arusha na Dsm nimeamini mliwazika shimo Moja kama Taka taka aise shame on you! Najiuliza hivi Rais awa wanao jitokeza kwa tume umasikia? Je kweli...
4 Reactions
9 Replies
388 Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Fadhili Maganya, amesema mafunzo yanayotolewa na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ni suluhu muhimu katika...
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Mzee wasira alikua na mdomo aswaaa, kwenye kampeini alikuwa anaongea Kwa dharau, kebehi na majivuno. Mungu si Abdul Wala Mchengerwa kwenye MO29, vijana walipiga kiberiti nyumba ya Wasirra. Hii...
21 Reactions
39 Replies
2K Views
Hamjambo! 1. Kuna nyumba hapa mwaka mpya na Christmas hawakusherehekea. 2. Hawakupika chakula cha maana. 3. Lakini Kila wakisikia taarifa msiba ya kiongozi wa kiserikali wanafanya tafrija...
8 Reactions
20 Replies
672 Views
GT Hawa CCM na Samia wao bado hatujamalizana nao pitia hii report kwa makini. Kiufupi ni kwamba yale ya M029 dunia inajua kila kitu technology is power. Hii Document ni ripoti ya shirika la...
16 Reactions
22 Replies
746 Views
  • Redirect
ASKOFU MWAMAKULA APATA WITO KUFIKA MBELE YA TUME YA RAIS! Ndugu Watanzania! Kama mtakumbuka, Rais Samia aliunda Tume ya Uchunguzi kuhusu machafuko ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Siku ya...
11 Reactions
Replies
Views
Yawezekana usinielewe wewe UNAE soma hapa, lakini nahisi Lile kundi alilolitema ndo lingemsaidia KUMSAFISHA na kusafisha anga la tarehe 29.10 kinyume chake Hali ni mbaya mbaya mbaya na Nina hakika...
2 Reactions
5 Replies
152 Views
Katika hukaha, kutapatapa na kuhanyahanya, Samia aliunda timu, siyo tume ya maridhiano. Kwanza, anaridhiana na nani? Pili, pesa ya kuendesha zoezi hili inatoka kwenye bajeti gani? Tatu, ni kiasi...
1 Reactions
2 Replies
167 Views
Katika hukaha, kutapatapa na kuhanyahanya, Samia aliunda timu, siyo tume ya maridhiano. Kwanza, anaridhiana na nani? Pili, pesa ya kuendesha zoezi hili inatoka kwenye bajeti gani? Tatu, ni kiasi...
0 Reactions
1 Replies
115 Views
Ni usiku wa SAA kumi, Sina hakika kama Rais umelala usingizi WA pono, Sina hakika waziri mkuu kama umesinzia usingizi WA pono, MAKAMU je nawe umeupiga usingizi? Mkuu wa MAJESHI wewe ni jirani...
1 Reactions
4 Replies
224 Views
Ujumbe wa wataalam kutoka TANROADS Makao Makuu kupitia Kitengo cha Ushauri wa Kihandisi (TECU), kwa kushirikiana na TANROADS Mkoa wa Mbeya, umefanya ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa Daraja la Sungwe...
0 Reactions
0 Replies
211 Views
Fatma Karume alisimamishwa kufanya kazi za uwakili kwa upande wa Tanzania bara tangu mwaka 2019 akipinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG) Dkt Adelarus Kilangi aliyeteuliwa na rais John...
3 Reactions
12 Replies
470 Views
Mpasuko CCM!? Ni ziara ya HOVYOOO! Mzee Butiku amvaa vikali Mwenezi wa chama cha CCM Kenani Kihongosi na ziara yake huko mikoani.
11 Reactions
27 Replies
841 Views
Vijana wa CCM, Warioba aliwakosea Nini? Makonda alimpiga ngumu ya shavu, nimwonavyo. Kihongosi Mzee wa ziara tomba x, akipewa bastora atamuua je aliwawakosea Nini?
1 Reactions
3 Replies
198 Views
Sikiliza, amerudi kwenye msitari kwa leo. Sijui kesho!
0 Reactions
1 Replies
169 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Kenani Kihongosi amesema kuwa tangu kuanza kwa mikutano ya kampeni za Urais kupitia CCM kwa mgombea...
4 Reactions
36 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…