Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wananchi wa Kigoma wamekula pilau ya sikukuu ya Mwaka Mpya pamoja na Mbunge wao, Clayton Revocatus Chipando Baba Levo, ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyotoa kabla ya kuhitimisha mwaka 2025...
1 Reactions
7 Replies
323 Views
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali iko tayari kusonga mbele na inapokea maoni na kuyafanyia kazi, akisisitiza kuwa haitakuwa kikwazo katika juhudi za kuimarisha umoja na mshikamano...
0 Reactions
5 Replies
221 Views
Wakuu salam nimetoa. Sudan haikuanza kwa mabomu wala mapanga. Ilianza kwa serikali kupuuza maoni ya wananchi na kudhani nguvu ya dola inaweza kuzima kila kitu. Wananchi walitaka nini? 1. Ushiriki...
1 Reactions
0 Replies
114 Views
📌 Happening Today California, United States Calling on the @realDonaldTrump 's Administration to hold the corrupt and brutal Ugandan dictatorship of @KagutaMuseveni to account through: 1)...
4 Reactions
13 Replies
356 Views
Haya majitu ni ya ajabu ajabu sana, hivi zee kama wasira limeshindwa kwenda kumzika Mzee mwenzie? Mtajitetea na UWEPO wa MWIGURU ilihali yeye aliiwasilisha serikali je macc yalishindwa Nini...
1 Reactions
9 Replies
318 Views
  • Poll Poll
A. Hapana..! Kwanini B. Ndio.. Kwanini
8 Reactions
79 Replies
2K Views
Hii kauli ya msukuma kujiita serikali imetoka wapi? Kwa hiyo UKIWA ccm wewe ndo serikali sio? King msukuma kujiita ccm na kumtamkia mwekezaji yakuwa yeye sio chadema Ina maana Gani? UKIWA...
9 Reactions
16 Replies
459 Views
Nawaandikia Marekani, Umoja wa Ulaya, Uingereza na Canada. Kama sehemu ya mamilioni ya Watanzania tunaodhulumiwa haki zetu za Utawala huu mbovu wa CCM napenda kwanza kuwashukuru sana Marekani na...
1 Reactions
3 Replies
294 Views
Haya ninayo yaandika yawezekana hasinielewe kwa sababu na yeye ameisha lamba unga wa ndele lakini hasipo kuwa MAKINI atazidi kuchochea chuki kubwa iliyopo baina ya vijana na watawala wa serikali...
0 Reactions
0 Replies
138 Views
Nimeona Heche, Sugu, Mbowe, Mnyika na Zitto wakitoa hotuba kali kwa serikali bila kupepesa macho, kiasi cha kumuacha Mwigulu akikenua tu asijue la kufanya. Nataka kuamini hiki ndio kilimfanya...
2 Reactions
3 Replies
216 Views
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 imeanza kufanya vikao vyake kwa faragha, na kuzuia waandishi wa habari kuingia kwenye ukumbi...
1 Reactions
18 Replies
656 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika yatupasa na hatuna budi kumpigania ,kumtetea na kumlinda Rais wetu kwa jasho na Damu na kwa gharama yoyote ile iwayo. Yeye ndiye nembo ya Taifa letu,ndio...
3 Reactions
108 Replies
1K Views
Mfano mzuri ni ushahidi wa yule bibi wa Magomeni kota ambae alilazwa na maiti bahati nzuri akazinduka na akapatiwa matibabu Mungu akamsaidia akapona. Kwa ujumla nguvu kubwa ilitumika kulinda...
4 Reactions
14 Replies
369 Views
Kabla ya kuwa na rais mwanamke, wapo wengi walijiaminisha kuwa mwanamke anaweza kuwa kiongozi bora kuliko wanaume. Japo wapo waliotangulia kuwa viongozi kama akina Mary Banda pale Malawi, Ellen...
4 Reactions
24 Replies
579 Views
Hili ndio swali kubwa la msingi linalopaswa kujibiwa. Maridhiano kati ya nani nani? Nani aliddhulumiwa mpaka marudhiano yatafutwe? Bila kuwekwa wazi kuwa wapo waliodhulumiwa haki zao za msingi...
2 Reactions
11 Replies
279 Views
Kipindi kile CHADEMA ilikuwa na nguvu kiasi cha kukaribia kuchukua dola. Dk Slaa alikubalika sana watu walitaka ukombozi. Lakini Zitto Kabwe akatumiwa kuisaliti Cdm akawa anapewa pesa kwenye...
2 Reactions
5 Replies
192 Views
Guys, Hivi mshawai kujiuliza ,Hali ya Tanzania ingekuwaje kama MO29 isingetokea? Binafsi MO29 imebadili political atmosphere ya Tanzania Kwa Hali ya juu. Kama MO29 isingetokea haya ndo yangekuwa...
6 Reactions
8 Replies
243 Views
  • Redirect
Kaimu Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, Jaji Mkuu Mstaafu Profesa Ibrahim Juma, amesema Tume hiyo...
1 Reactions
Replies
Views
Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la Nne la Januari 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz. #WaziriMkuuNchemba #PMNchemba
0 Reactions
0 Replies
122 Views
Wakuu salamu hamna hapa , nawauliza nyie wahuni mmejifunza nini! Mzee Mtei kafariki ila legacy ameacha sio ya kuigwa, pamoja na mapesa yote ila mzee katuacha. Bumbavu CCM
7 Reactions
14 Replies
465 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…