Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Featured
Tanzania inapanga kuuza sehemu ya hazina yake ya dhahabu kusaidia kufadhili miradi ya miundombinu, kufuatia kupungua kwa msaada wa wafadhili ambao kumelazimisha serikali kutafuta vyanzo vya ndani...
16 Reactions
157 Replies
5K Views
Kila tukio kubwa huja na kumbukumbu yake na mafundisho yake. Tukio la tarehe 29 Oktoba lilikuwa ni tukio kubwa ambalo nchi yetu haijawahi kuliona, basi siku hiyo iwe ni siku ya kujifunza kwa pande...
4 Reactions
20 Replies
276 Views
Na Mwl. John Pambalu Si nikaombea maiti afufuke, na hakufufuka. Nililia sana kwa uchungu nikimlilia rafiki yangu niliyesoma naye BAED katika Chuo Kikuu cha SAUT, nikijiuliza kwa nini Mungu...
5 Reactions
20 Replies
576 Views
Taasisi ya Elimu Tanzania imepokea barua yenye Kumb. CA.229/238/01A/14 ya tarehe 14 Machi 2024, kuhusu mada tajwa hapo juu. 3. TET, imeridhia pendekezo la tahasusi mpya ili kuondoa tahasusi...
0 Reactions
0 Replies
167 Views
"When Samia Suluhu became Tanzania’s first female president in 2021, after the sudden death in office of her predecessor, there were hopes that her presidency would mark a break from authoritarian...
17 Reactions
95 Replies
3K Views
Wakuu, Wagombea wote wa Urais isipokuwa ACT Wazelendo waliokataa, walipewa magari ya kutumia wakati wa kampeni, pamoja na walinzi wa kuwa nao muda wote wa kampeni. Kampeni zikiisha wanatakiwa...
8 Reactions
39 Replies
975 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kossovo, Mhe. Vjosa Osmani-Sadriu, kabla ya kufanya vikao na Viongozi mbalimbali pembezoni...
3 Reactions
46 Replies
862 Views
Unadhani unajenga kumbe unaharibu. Dr. Mwigulu jitafakari kabla ya kuja mbele ya kamera kwenye majira haya ya tense and fragile moments.
3 Reactions
7 Replies
405 Views
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Regina Ndege Qwaray amesema ajira za utumishi hupatikana kwa ushindani na uwazi na kwamba Vijana wanaojitolea kazini (field) huwezeshwa...
0 Reactions
4 Replies
298 Views
Kwanini watekaji na wauaji hawakamatwi mpaka sasa suala hili halivumiliki ? lazima tuwajibike wenyewe au tuta wawajibisha msifikiri tutawaacha.
4 Reactions
17 Replies
249 Views
Maji ni huduma ya msingi, lakini bado: 1. Mabomba yanavuja miaka nenda miaka rudi hayarekebishwi 2. Maji yanakatika bila taarifa, mara nyingine miezi 3. Bili zinakuja kama maji yapo wakati...
1 Reactions
2 Replies
98 Views
Kuna ukamataji kinyume cha sheria wa polisi hawavai sare wala hawatumii magari rasmi je wananchi wata tofautishaje majambazi na polisi. Kuna video zanasambaa mtandaoni polisi waliovalia mavazi ya...
0 Reactions
2 Replies
172 Views
Akizungumza katika Bunge la 13, Mkutano wa Pili kikao cha saba leo Februari 4, 2026, Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Tarimba Gulam Abbas amesema ni miaka sistini ya uhuru lakini jiji la Dar es Salaam...
0 Reactions
7 Replies
213 Views
Kuna watu haramu wapo kwenye majengo ya serikali kwasababu yapo wazi na wananchi bado hawajachagua watawala halali. Wananchi sio dhaifu suala la watu haramu kuendelea kushikiria majengo yetu...
0 Reactions
1 Replies
165 Views
Leo kila mmoja ameshuhudia kauli ya wazi toka kwa captain Tesha ikieleza hali mbaya ya nchi, na kulitaka jeshi lichukue uongozi ili kuinusuru nchi. Kwa wale waliopitia mafunzo ya kijeshi, kama...
32 Reactions
73 Replies
3K Views
Kwa wakongwe kama mimi nakumbuka misemo iliyokuwa inaandikwa kwenye mabasi mfano; Bata kapata bwana...! hood hapa hood anamtania Islamu kwa kuongeza basi la pili. Bata hapewi pumba ! Islamu...
5 Reactions
8 Replies
409 Views
https://www.youtube.com/live/Dnr2XjQk2GU?si=x1aUXvl0spja3PyI
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Mwenye akilpi ndogo kama punje ya haradali atabisha. Ukweli ni kwamba rais Magufuli alikuwa ameliunganisha taifa kwa kila namna. Na ndio maana hata aliposema tuweke siasa kando hata Wananchi wa...
1 Reactions
12 Replies
280 Views
Wakati CHADEMA inapinga uuzwaji wa nyumba za Serikali Kwa hoja kuwa sababu zilizotolewa kwa nini nyumba zile ziliuzwa zilikuwa za uongo, watu wengi hawakuelewa. CCM walisema zoezi la kujenga na...
1 Reactions
1 Replies
167 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…