Bunge la Ulaya na Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya wamefikia makubaliano ya kutoa passport ya kielektroniki (cheti cha Covid19) itayoruhusu Mtu kusafiri katika Nchi 27 za Umoja wa Ulaya ikionesha...
Mbunge wa Viti Maalum Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Mhe. Taska Restituta Mbogo, ametoa wito kwa akina mama nchini kuhakikisha wanaume zao wanaandika majina yao wanapokwenda kununua...
Kuna mbunge anasimama ukitaka serikali iunde taasisi itakayokuwa inaisimamia serikali bila kujua, chombo pekee cha kusimamia serikali ni bunge.Hii ni kudhihirisha kauli ya Profesa Asad bunge letu...
Katika Mataifa yanayofuata mfumo wa Kibunge (Bunge), Namba Tatu ndiye Kiranja Mkuu wa Serikali na kutokana na nafasi yake hiyo, yeye hubaki kuwa kiongozi mashuhuri na hata siku akiondoka kwenye...
Jamani niambieni ni nchi gani hapa duniani ina wabunge wa kuteuliwa na viti hapa duniani . Mimi nawaita mzigo wa walipa kodi tunataka katiba mpya ili tuwaengue kwenye nafasi zao
Mar 28, 2021 · RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT), Prof. Florence Luoga na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere...
Ukipita mitandaoni vijana wengi wa Bavicha wanamkubali sana mama, wanamkubali wengine wanasema anaupiga mwingi kwelikweli yaani Messi huyu hapa. Hata viongozi kadha waandamizi wa Chadema wanasema...
Huku Afrika kunashangaza sana. Jitu jizi ambolo mkaguzi mkuu wa Mahesabu ya Serikali amesema haoni namna matumizi ya pesa za Serikali kiasi cha 1.5 Tirioni zimetumikaje ofisini kwake kwa Rais...
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Sheria ya Serikali kutaifisha Ng'ombe wanaoingia maeneo ya Hifadhi ni tatizo, akiita kuwa Sheria yenye dhuluma.
Amesema, "Hii Sheria sijui ilipita wapi...
Kwa mtanzania wa kawaida ukisema mbunge wa viti maalum ..
Wazo la haraka linakuja ni 'mdada chepuko wa kigogo wa wa siasa' nchini
Au na siku hizi wadangaji wa huko bungeni...
Ni nadra Sana watu...
Mbunge mstaafu wa Chadema Dkt. Joshua Nassari ameomba radhi rasmi kwa Rais Magufuli kufuatia mambo maovu aliyomfanyia kabla hajahamia CCM.
Nassari ambaye alikuwa akiongea kimasai amewaomba radhi...
Wanabodi,
Hakuna mwanadamu aliyekamilika kabisa hapa duniani.
Hivyo nawaomba vijana wenzangu tujifunze kujikubali kwa kujikosoa na kukubali kwamba hata sisi tuliwahi kufanya makosa au madudu...
Ni swali gumu sana kwa kipindi hiki kupata majibu.
Wakati wa Mwalimu Ccm ilikuwa ni chama ya watu. Wapenda binadamu wenzao. Wenye uchungu na taifa lao.
Hawakubagua watanzania kwa elimu, ukabila...
katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nzuri Afrika na Duniani imejidhihirisha kuleta Amani na utulivu ndani ya nchi yetu mfano mzuri ni mwaka huu ambapo Taifa liliingia kwenye majaribu...
Mh Waziri Ummy Mwalimu Yapata mwezi na nusu sasa mfumo wa makato ya mishahara ya watumishi wa manispaa ya Ilala na Temeke haifanyi kazi, kiasi kwamba watumishi walio katika hizo manispaa wanaotaka...
Wadau wa JF
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Madaktari Bingwa kutokea Nchini Cuba wanatarajiwa kuwasili nchini Tanzania kwa ajili ya kutoa huduma za Kitabibu
Kwa mujibu...
Kwa kuwa ndugu Amos Makalla wewe ni pedeshee ndio unajifanya hujui maisha ya Dar yalivyo?
Hijui kuwa alismia 90 ya wakazi wa Dar wanaishi kwa kubanana na wengi wanaishi mitaa ya madongo...
Katiba ya inchi ni makubaliano au utaratibu unaowekwa na wananchi wote namna gani taifa lao litawaliwe. Content kubwa ya katiba iliopo tume rithi kutoka katiba ya ukoloni.
Wakati wa uongozi wa...
The Diplomat
Kwa siku kadhaa kumekua na Upotoshaji katika Mitandao ya kijamii kuhusu Tanzania kujitoa katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu, Suala ambalo halina ukweli wowote.
Jana Mei...