Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, kupitia kwa Naibu Msajili wa Ofisi hiyo Sisty Nyahoza imetoa ufafanuzi kuhusiana na madai ya kwamba barua iliyoandikwa 'kutoka kwao' kwenda Chama cha...
0 Reactions
0 Replies
178 Views
Ni jambo linalotia matumaini kwamba hali duni inayolikabili taifa la Tanzania hatimaye imewagusa hata watu wa mataifa ya nje; si Ulaya Magharibi au Marekani pekee bali hata katika nchi za kiafrika...
2 Reactions
9 Replies
201 Views
Tumeona kauli za mstaafu wa Jeshi kusema police hawahitaji Waziri. Hapa jamaa Kwa kujua au kutokujua anaanza kulitenga jeshi la polisi na wanasiasa. Kinachofuata lawama zote za mauaji na utekaji...
3 Reactions
11 Replies
229 Views
Guys Kwani huyo mzee.wa mwisho kulia angemkata tu asionekane maana kaharibu kila.kitu tunashindwa kucoment.
7 Reactions
15 Replies
605 Views
Ndugu zangu Watanzania, Napenda Niwafungueni Akili kidogo wale Vipofu wa akili na macho na waliojaa chuki Binafsi kwa Rais wetu Mpendwa. Napenda kuwaambieni Ya Kuwa Rais wetu Mpendwa Mama Samia...
2 Reactions
49 Replies
754 Views
Niliwai chomewa nyumba polisi wakapokea rushwa pale mkuranga sitokaa nisaauh kamwe Wala nimpende polisi awaye yoyote hata afe Leo siziki polisi Wala SILI chakula na polisi. Niliwai toa...
3 Reactions
8 Replies
285 Views
Huyu ni Senator Ted Cruz kutoka Marekani anazungumza katika kikao cha Kamati ya Bunge la Marekani kuhusu uteuzi wa Balozi wa Marekani nchini Tanzania, William Trachman. Senator Cruz anasema kuwa...
23 Reactions
42 Replies
2K Views
Wauguzi kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road, (ORCI) mapema leo tarehe 29/05/2026 wamefanya maadhimisho ya siku ya wauguzi kwa kusherehekea pamoja na kula chakula na wagonjwa kutoka katika...
0 Reactions
1 Replies
159 Views
Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili Chato kumwakilisha Rais Samia katika Mazishi ya Marehemu Bi. Suzana Magufuli Mama wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Ila mnaielewa hii...
8 Reactions
50 Replies
936 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nawaambieni Kila Siku ya Kwamba Tuna kila sababu ya kuwaheshimu askari na wanajeshi wetu ,tuna kila sababu ya kushukuru kwa utumishi wao uliotukuka ,tuna kila sababu ya...
2 Reactions
25 Replies
351 Views
Haingii akilini makada wa CHADEMA kuweka namba za watu binafsi mtandaoni na kuhamasishana kuwatukana hao watu huku wakiendelea kupinga kutohusika na jaribio la mapinduzi October 29. Kijana...
2 Reactions
51 Replies
824 Views
26 May 2026 CCM Parliament Dodoma Tanzania 13th Parliament 3rd Session, 37th Session today May 26, 2026 Tanzanian parliament session : How a CCM MP Ms. Mariam Anzuruni Mungula was deeply...
7 Reactions
90 Replies
2K Views
Wanabodi, Makala za Kwa Maslahi ya Taifa na Pascal Mayalla Naendelea na Makala zangu ziitwazo Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huchapishwa kwenye gazeti la Raia Mwema toleo la kila siku za Jumatatu...
38 Reactions
306 Replies
39K Views
Mimi nilifundishwa kuieshimu Bendera ya Tanzania, nilifundishwa ikiwa Ina shushwa au inapandishwa Mimi nisimame MGUU sawa na kubana makalio yangu nisije Jamba ili Hali inapandishwa au kushushwa...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Sina cha kuandika JF msaada nihurulie shule gani? 1. SHULE YA BUNGE 2. SHULE YA MAHAKAMA 3. SHULE YA MTAANI 4. SHULE YA JAMII 5. SHULE YA MUZIKI 6. SHULE YA RANGI
1 Reactions
6 Replies
122 Views
Viongozi wetu wanapaswa kuelewa jambo moja muhimu: kizazi cha sasa cha vijana si kizazi cha kuamrishwa bila kuuliza maswali. Hawa vijana wamefundishwa kuhusu demokrasia, haki za binadamu, uchaguzi...
7 Reactions
24 Replies
411 Views
Kwa mtazamo wangu, hiki ndio kinachoendelea lengo ni kuficha aibu ya kushindwa kesi au kuufyata mbele ya shinikizo la kimataifa hasa kutokana na Muswaada wa Bunge la Marekani unaotaka kuachiwa...
3 Reactions
4 Replies
262 Views
Ni Muda sasa wabunge toka baraza la wawakilishi huwa pia na fursa ya kuingia Bunge la Muungano. Sio vibaya kama wabunge toka bara baadhi yao nao wakiwa wanahudhuria vikao vya baraza la...
3 Reactions
16 Replies
303 Views
Maombi ya Kesi ya Mapitio ya DPP v. Tundu Antiphas Lissu yatasikilizwa mnamo tarehe 11 Juni 2026 na Jopo la Majaji wa Mahakama ya Rufaa (Mwarija, Muruke & Khamis) jijini Dar es Salaam. The...
3 Reactions
12 Replies
498 Views
Sina cha kuandika JF msaada nihurulie shule gani? 1. SHULE YA BUNGE 2. SHULE YA MAHAKAMA 3. SHULE YA MTAANI 4. SHULE YA JAMII 5. SHULE YA MUZIKI 6. SHULE YA RANGI
0 Reactions
7 Replies
108 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…