Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu hivi hawa CHAUMMA wanaamini kweli watapata kiti hata kimoja? === Mwenyekiti wa CHAUMMA wakati wa mkutano wao wa hadhara Juni 4, 2025 ameeleza kuwa wao wameona kutoshiriki uchaguzi haleti...
0 Reactions
2 Replies
349 Views
Ukitafakari kwa kina, utagundua huu ndio ukweli . Mwanza hawajaikaa CHAUMMA, bali wameikataa CCM inayotuhumiwa kuifadhili CHAUMMA ili kiwe chama kikuu cha upinzani badala ya CHADEMA. Hasara ya...
29 Reactions
48 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashimu Rungwe amesema lengo lao ni kuhakikisha wanawapambania wananchi kwa habari ya chakula kila mwananchi apate ubwabwa. Amesema anashangazwa na wagonjwa mahospitalini...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
John Mrema amejisahau kubadili Akaunti ya X, ametumia ya CHAUMMA kumtolea povu Zitto Kabwe. Amesema Zitto Kabwe ameshindwa kukuza chama cha ACT, kwa Tanzania bara kipo kata 2 tu za Tunduru na...
5 Reactions
5 Replies
894 Views
Wakuu wale mliosubiri kwa hamu kuona chopa za CHAUMMA na mkatoka kapa katibu mkuu Salim Mwalimu amewajibu kwa kutumia dakika 9 kuelezea mchakato mzima uliopelekea cjopa hzio kutowasili mkutanoni...
1 Reactions
31 Replies
1K Views
Tanzania Yageukia Mabasi ya Gesi ya Scania kwa Usafiri wa Jiji Mabasi yanayotumia gesi kutoka Brazil sasa yataanza kusafirisha wakazi wa Dar es Salaam katika awamu mpya ya mradi wa Mabasi...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wa kuu! Mimi sio nabii Wala sio mpiga ramli ila Kwa taarifa za ndani kabisa ni kwamba Kuna mambo matatu tutarajie kuyaona kuanzia January 2025. 1). Tundu Lissu kushinda uchaguzi Kwa...
45 Reactions
175 Replies
13K Views
Katika video aliyopakia mtandao wa TikTok tarehe 1 Juni 2025, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Simanjiro, Kiria Ormemei Laizer, ameonekana akizungumza katika ibada ya Jumapili, akitangaza rasmi nia...
0 Reactions
0 Replies
332 Views
Watanzania jiandae Kwa kampeni za kufa mtu, kampeini za kiushindani. Mchuano utakuwa mkubwa haijapata kutokea kati ya Samia na kina Dovutwa na mzee Rungwe. Unaambiwa upinzani kwenye nafasi ya...
17 Reactions
70 Replies
3K Views
Hakika sasa Tanzania imepata chama mbadala cha Upinzani. Watanzania kiungeni mkono chama chenu, kipo tayari kuwaletea ukombozi wa kweli na hapa kipo uwanja wa furahisha kuzindua kampeni ya CHAUMMA...
62 Reactions
171 Replies
11K Views
Wakuu Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinajiandaa kuanza rasmi ziara yake ya kisiasa katika awamu ya kwanza itakayohusisha mikoa 14, majimbo 34 na kufanyika mikutano 38 katika kanda 4...
7 Reactions
43 Replies
4K Views
Kitendo cha chama hiki kushirikisha Watu wote kwenye jambo lake ni silaha halisivya mapambano. Angalia hii Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha Godbless Lema na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
CHAUMA ilinadi mkutano wake kufanyika kwenye viwanja vya furahisha ila ajabu watu wa Mwanza walipuuza na hawakujitokeza CHAUMA walipewa uwanja wa furahisha pamoja na support ya ulinzi wa polisi...
19 Reactions
45 Replies
4K Views
Kwenye mkutano wa Chama Cha Mapinduzi uliofanyika tarehe 29 na 30 Mei, 2025 ulihudhuriwa na wasanii mbalimbali ambao waliulizwa ajenda zilizojadiliwa kwenye mkutano huo, lakini cha kushangaza...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Gwajima kasema amemshangaa Ponjoro wa Kinondoni ambaye ameng'aka kwa mtoto wa mtu mmoja akitolewa mfano kwenye utekaji. Anasema yeye alitolea mfano kwa watoto wa wote, sababu anawajali wote...
63 Reactions
104 Replies
8K Views
Hakuna haja ya Porojo, angalia mwenyewe halafu Toa Maoni yako CHADEMA NA WANANCHI WAO NA POLISI
40 Reactions
102 Replies
6K Views
Chama kama taasisi yoyote ile huitaji wajenzi, wenye bidii iliyo kubwa kabisa na mbinu mbali mbali hatimaye kukisimamisha chama kikaonekana miongoni mwa watanzania na mwishowe kupendwa...
8 Reactions
51 Replies
2K Views
Sisi wananchi sasa tuna mtihani mkubwa mbele yetu kuchagua kati ya Gwajimanize na Samianize. Gwajimanize kimsingi maana yake ni kuwa na utawala bora unaofuata sheria, ni kufichua maovu, ni...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Rais wa Mabunge yote Duniani anatarajia kushinda kwa kishindo Uchaguzi ujao Jimbo la UYOLE kwa kutimiza vyote aliyoahidi kwenye kampeni za 2020. **Sugu tafuta kazi za kufanya. Tukutane 2030
1 Reactions
10 Replies
617 Views
Hivi ni kiburi, dharau au upumbavu? Kwanini Magufuli hatoi somo? Hivi dunia hii ya 5G unaweza kweli kuitawala kwa mkono wa chuma ukafanikiwa? Hivi kwanini Samia apitii notes za Magufuli? Hivi...
6 Reactions
10 Replies
733 Views
Back
Top Bottom