Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,883
- 287,935
Kitendo cha chama hiki kushirikisha Watu wote kwenye jambo lake ni silaha halisivya mapambano.
Angalia hii
Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha Godbless Lema na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha Boniyai.
Tunaendelea kutunza kumbukumbu.
Mpaka sasa Mkoa wa Arusha ndiyo wanashikilia rekodi ya kuchangia zaidi tonetone mkutanoni ,kiasi cha Tsh 1,335,000/=
Leo mkoa wa Kilimanjaro, Moshi wameshika nafasi ya pili kwa kuchangia tonetone kiasi cha Tsh 1,095,000/=
N.B
Kama kamati tumekubaliana kila mkutano tunamtumia M-Pesa msajili Mzee Francis Mutungi kiasi cha Tsh 30,000/= ya vocha aonje matunda ya tonetone kwa kusaidia kuhamasisha wananchi kutuchangia mikutanoni.