Tunataka katiba mpya Tozo za mitandao na kodi zisitutoe kwenye Reli

RAISI AJAE

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
2,191
2,000
Vilio vinasikika kila pande za nchi sijui mwenzangu unalia ukiwa wapi?
Wakati ukilia na uchungu mwingi moyoni mwako ukumbuke kuelekeza machungu yako yote kudai katiba mpya!!Kwa katiba ile ya rasimu ya Warioba hadi wakati huu Mwigulu asingekua Mbunge wala waziri wa Fedha kwa Ujinga huu unaoendelea!Raisi angekua akilia kwa uchungu kujinasua na ujinga wa Waziri wake wa Fedha!!
Natoa Rai yangu kwenu Watanzania wenzangu maumivu haya ya tozo na kodi tuyaelekeze kudai katiba mpya na sio Vinginevyo!!
Naitisha Maandamano ya katiba kuanzia sasa huku tukifuta machozi ya maumivu ya tozo na kodi hizi!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom