Baada ya miaka 60, serikali ya Mama wa Kambo ndio inakumbuka kujenga madarasa na zahanati?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,191
103,715
E6Uw0DUXEAEF-DN.jpeg
E6Uw1RlXEAIZ_UT.jpeg
E6UylTOXMAA5L2A.jpeg


Hii ni serikali iliyoongoza miaka 60. Baada ya miaka 60 ndio inakumbuka kujenga madarasa na zahanati kwa kunyanganya kidogo walichonacho. Lakini ikiaminisha watu kwamba nchi ni tajiri na ina rasilimali tele.

Awali tulidhani huyu ni Mama kumbe waaaaaapi ni Mama wa Kambo
 
Back
Top Bottom