Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti...
62 Reactions
325 Replies
21K Views
Leo Waziri Wa Ardhi alimwita mwekezaji Bagamoyo na kumdhalalisha mbele ya Wananchi.Inawezekana huyu mwekezaji ni mkosaji lakini utaratibu huu umekufa katika awamu hii ya 6. Utaratibu huu ni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Ulimwenguni pote kama mwanasiasa anatoa hoja za wananchi hawezi kuziiliwa au kukamatwa bila wananchi kulalama. Maandamano ya wananchi hayatokani na mwanasiasa bali huletwa na...
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Namshauri Mama kuliko nchi kuwa katika mivutano wakati mlikubaliana kufata demokrasi ya vyama vingi , amuru waziri wa Sheria na katiba apeleke mswada wa dharura bungeni kufuta vyama vya upinzani...
25 Reactions
49 Replies
4K Views
Rais Magufuli anaapishwa leo katika sherehe itakayohudhuriwa na viongozi wa nchi zaidi ya 20 na mabalozi zaidi ya 80 kutoka sehemu mbalimbali duniani. Updates: Rais Magufuli ameshakula kiapo...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Vyombo vya habari vya nchi wanaoisaidia Tanzania tayari vimeanza kutumulika. Kufuatia Polisi mkoani Mwanza kuwazuia wana CHADEMA kufanya kongamano lao la kudai katiba mpya. Wahenga walisema kuwa...
15 Reactions
49 Replies
5K Views
Hey, Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania. Hivi majuzi juzi tumesikia taarifa lukuki kuhusu corona. Wengine nimesikia wanasema kwa sasa hili ni wimbi la tatu — Wengine...
23 Reactions
242 Replies
16K Views
UONGOZI BORA NA UWAJIBIKAJI WA KIDEMOKRASIA Kwa maana ya jumla, demokrasia ni nguvu ya wengi katika kufanya maamuzi yanayohusu umma na kuweka usawa wa kisiasa katika matumizi ya nguvu hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
#ShuleKidogo Kuna watu wanadhani ukimpongeza mtu anapofanya vizuri basi hutakiwi kumkosoa kabisa hata akifanya vibaya. Hii ni AKILI NDOGO. Kuna watu wanadhani ukimkosoa mtu anapofanya vibaya basi...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu, Mtiririko hua uko hivi: Mhe. Spika anasema anayefuatia kuchangia ni Mheshimiwa kipele uchungu, mheshimiwa mbunge kipele uchungu anaanza: 1. Kwanza Namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mfano mzuri ni tabia ya Mwigulu ambayo ilivumiliwa na marafiki kama akina Kikwete kwa sababu zao za kiharibifu hadi kupewa nafasi kubwa ktk CCM. JPM akamuondoa ktk uwaziri. Sasa ameingia rais...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Waziri wa Katiba na Sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa. Mh waziri hata watoto wa...
11 Reactions
184 Replies
25K Views
Nawasalimu kwa jina la Muungano wa Tanzania.kitu Ninachoona kinaendelea nchini kwa sasa ni harakati za wapinzani Kutaka KATIBA mpya,ni harakati za kupaza sauti kufanya makongamano ya katiba na...
0 Reactions
6 Replies
920 Views
Askari Polisi waliojihami kwa silaha za moto na mabomu ya kutoa machozi wamezingira na kufunga njia za kuingia na kutoka Hoteli ya Tourist eneo la Kitangiri jijini Mwanza ambako Kongamano la...
4 Reactions
107 Replies
8K Views
Leo kuanzia asubuhi tumeona namna Jeshi la Polisi lilivyopambana kuzuia Kongamano la Katiba Mpya, lililokuwa limeandaliwa na Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA), wakati hali ya taharuki ikiwa...
1 Reactions
1 Replies
673 Views
Kuna tukio la tozo na lawama kwa rais wa jamuhuri ya Tanzania Samia Suluhu. Kiukweli asiraumiwe mama kuhusu tozo tunachotoa cha kwetu kwa ajiri ya maendeleo yetu. Kama hakitufai basi tutumie njia...
0 Reactions
1 Replies
762 Views
Igweeeeeeee Hakika waliosema fainali uzeeni hawakukosea kabisa pia matumizi mabaya ujanani malalamiko uzeeni ndio haya sasa ninayoyaona kwa Mbowe na hiyo chadema yake Kwa sasa kinachomdrive...
7 Reactions
90 Replies
4K Views
Huu ni ukweli kulingana na uzoefu wangu. Nchi wahisani wamekuwa na masharti magumu mno. Mengi ni kuhakikisha tunabaki tulivyo miaka nenda rudi. Serikali ichukue jukumu la kuendeleza uchumi wetu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nchi yenye watu ambao wana vichwa vyenye uwezo wa ku-observe their nature, kufikiri na kubuni njia mbalimbali za kutatua matatizo yao yanayo wakabili practically, ndiyo nchi yenye maendeleo...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…