Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu William Lukuvi ameitaka Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu kuandaa Daftari la Faida litakaloonesha kazi na shughuli za...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Christian Makonda katika kuhamasisha utengenezaji wa filamu zinazoitangaza Tanzania.
0 Reactions
19 Replies
651 Views
Kwa utamaduni wa ccm mtu akishahudumu kwenye nafasi kubwa kama waziri mkuu, spika, makamu wa rais, vyeo hivyo vitamtosha hadi atapostaafu. Pia kuna utanaduni wa kubadilisha marais kwa dini...
6 Reactions
28 Replies
935 Views
WAZIRI MKUU ATOA SALAMU ZA POLE KIFO CHA WILLIAM LUKUVI Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba, akiwa katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha (PICC)...
0 Reactions
1 Replies
216 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ameshtushwa na kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Lukuvi kwani walizungumza jana na...
3 Reactions
19 Replies
532 Views
Naona sasa kama imekuwa slogan ya kuwakashifu wanaCCM wanapofariki Hii kauli sio kauli ya wana CCM wote Sitetei juu ya alichosema mwenyekiti wa CCM Lakini isiwe sababu ya kuwahukumu wote...
7 Reactions
48 Replies
770 Views
Tatizo kubwa CCM haijiamini kama Chama tena! ndiyo maana wanatumia dola . Yaani wameshidwa kushindana kwa hoja za maendeleo na makada na viongozi wengi hawana vipaji vya kushinda kwa hoja. Kingine...
1 Reactions
2 Replies
127 Views
Mahakama ya Rufaa, iliyoketi jijini Dodoma jana ilipata maelezo kutoka kwa mawakili wa wadawa kuhusiana na marejeo ya shauri la madai Na. 8323/2026 shauri la msingi, pamoja na Maombi madogo namba...
1 Reactions
9 Replies
318 Views
Wakati napata kahawa nyeusi nikijiandaa kupata usingizi wa usiku, ghafla nikawaza ndugu johni ilisemwa ni moyo. Lakini pia benyamini, jobu, wiliamu, kwandikwe, dugulile, kleopa na hata yule mama...
2 Reactions
8 Replies
272 Views
Katika hali isiyo ya kawaida, Kwa kauli na mienendo yake ya hivi karibuni, Anna Tibaijuka ameonesha wazi kukosa haya kwa kiwango cha kutisha, anafanya mambo ambayo hata mtoto mdogo hawezi kufanya...
1 Reactions
26 Replies
514 Views
Hayupo, hana uwezo au viongozi wa Chadema masalia hawamuamini? Kulikoni viongozi wa Chadema masalia ndio wanabwabwaja zaidi mambo ya kisheria zaidi ya mwanasheria mwenyewe? Kama yupo, sidhani...
2 Reactions
40 Replies
474 Views
Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Festo Kiswaga, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea ubunge katika Jimbo la Isimani, mkoani Iringa, katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza na waandishi wa...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Leo Machi 24, 2026 Mahakama ya rufaa itaanza kusikiliza maombi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ya kutaka yafanyike marejeo (revision) ya mwenendo wa kesi ya mgawanyo wa mali za Chama...
2 Reactions
7 Replies
367 Views
Habari za muda huu wana-JF, Kuna taarifa muhimu sana kutoka Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) ambayo kila mwenye biashara, ofisi, au anayetumia CCTV nyumbani kwake anapaswa kuijua mapema...
22 Reactions
81 Replies
2K Views
Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea...
27 Reactions
610 Replies
39K Views
March 03, 2021 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo Makazi William Lukuvi amekutana na Watumishi wa Jiji la Mwanza idara ya ardhi na wengine, Waziri Lukuvi akiendelea na kikao nje kukawa na...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa William Lukuvi Bado yupo kwenye mbio na mchaka mchaka wa kukimbizana na vijana kuutafuta ubunge, bado anaona kuna mambo bado hajakamilisha vizuri kwa wapiga...
6 Reactions
77 Replies
3K Views
MEMBER OF PARLIAMENT CV GENERAL Salutation Honourable Member picture First Name: William Middle Name: Vangimembe Last Name: Lukuvi Member Type: Constituency Member Constituent...
1 Reactions
18 Replies
8K Views
Salam! Naweza kusema Mh. William Lukuvi ni miongoni mwa viongozi wachache walioweza kusifiwa kwa utendaji wao angali wakiwa hai Jana baada orodha ya mawaziri waliochwa kwenye baraza la mawaziri...
23 Reactions
135 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…